Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Na wanakuwa kweli kweli, watoto wa afu mbili wengi ukiwaangalia unaweza kudhani ni wa late 80's.Swadakta basi niseme umri ni dhana, miaka ni kipimo.
Hawa wenzetu wanawai sana kupevuka kwaiyo inatakiwa tuwazidi miaka mingi ili twende nao sawa ki umri
Hahaa alafu Wana majukumu mengi kuliko sisi watu wazima.Na wanakuwa kweli kweli, watoto wa afu mbili wengi ukiwaangalia unaweza kudhani ni wa late 80's.
Juzi nilikutana na mmoja kwenye usafiri alivyoniambia tu ana 19yrs nilibaki nmepigwa na butwaa, kashazeeka angali mdogo.
Amejichokea hoi mwenyewe anakwambia anangojea tu mtu aje amvalishe pete akaishi nae, nikajisemea huyu hata namba sitaki.Hahaa alafu Wana majukumu mengi kuliko sisi watu wazima.
Ukihoji majukumu yao ndio utachoka kabisa
Looseball kama hizo uwe unachukua namba kwa matumizi ya baadae mkuu..si unajua ata saa mbovu Kuna wakati inasema ukweliAmejichokea hoi mwenyewe anakwambia anangojea tu mtu aje amvalishe pete akaishi nae, nikajisemea huyu hata namba sitaki.
Uvivu tu wa kutafuta mali zako, urithi wa huyo bibi utakutokea puani! Wataibuka ndugu na wajukuu siku ya msiba na hautaambulia kitu.Yeye 68 mimi 28. Ndio mke wangu wa ndoa
Mtego huo, we jichanganye uishie kupostiwa na mishumaa nusu albinoKumbe we panya ni chalii sana uwe unatoa heshima nisijekupasua wakatoa heshima za mwisho
Yupo sahihi mkuu π
Wasikutishe dogo mbona mudi alikuwa na mke wa miaka 9Kwa sheria ya nani?