Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
Are the same sema tu wamekuwa viewed and explained tofauti according to each ones interest and percepective ila story zao ziko alike somehow ila kuna slight differences. Na pia inawezekana Yesu na Issa tunaoambiwa habari zao story zote zimepindishwa kwa interest flan.
Ninachojiuliza kuna maslahi gan kumfananisha Yesu na Nabii Issa?
are the same sema tu wamekuwa viewed and explained tofauti according to each ones interest and percepective ila story zao ziko alike somehow ila kuna slight differences. Na pia inawezekana Yesu na Issa tunaoambiwa habari zao story zote zimepindishwa kwa interest flan
Mh! sijawahi kusikia pepo linatolewa kwa jina la Issa. Ila najua kwa Jina la Yesu, jina lipitalo majina yote linatoka.
maxshimba yupo wapi jamani, jamaa angemwaga nondo utata wote uishe hapa.
Waislamu wanadanganya watu, eti Yesu ndio lssa bin Mariam, lakini hawa ni watu wawili tofauti kabisa.
Yesu alizaliwa kwenye hori la ng'ombe na lssa bin Mariam yeye alizaliwa chini ya mtende.
Ni kweli kabisa!
1. Yesu ni mwokozi wa wanadamu - ni njia (ya kwenda kwa Mungu), ukweli (wenyewe) na uzima (wa milele).
2. Alizaliwa, aliteswa, akafa na kufufuka na atakuja tena kuwahukumu wazima na wafu na utawala wake hauna mwisho. Issa hakuteswa, hajafa na wala hana uwezo wa kuwapa watu uzima wa milele au kuwahukumu wazima na wafu.
3. Yesu yupo na wanaomwamini hadi mwisho wa nyakati lakini Issa hapana! Ngoja nivute pumzi kwanza.