Sasa walitumia nini kama haikuwepo biblia agano la kale limekuwepo tangu zama za mitumeHujathibitisha juu ya uwepo wa Biblia zama za Mtume, kadhalika uliyi yaandika yanazua maswali mengine mengi, unatakiwa uje kuyajibu. Maliza kwanza hili la uthibitisho, kisha naomba unitajie huyo muandishi wa Qur'aan alikuwa nani na ilikuwaje skapotosha ?
Kijana unaniuliza tena mimi ? Walitumia mabaki ya vitabu yakiwa peke yake, yaani Taurati kivyake, Injili kivyake. Ndiyo maana nataka unipe ushahidi wewe kwamba Biblia ilikuwepo.Sasa walitumia nini kama haikuwepo biblia agano la kale limekuwepo tangu zama za mitume
Mi wapi nimesema Biblia wenyewe ni Wayahudi tu ?Nalijua hili ya kuwa Uyahudi ni dini. Hili swali nimeuliza nipewe jibu hiyo Biblia ya Mayahudi ni nini ? Sasa unaniuliza tena mimi ?
Nachojua mimi Mayahudi hujinasibu kuwa wanamfata nabii Musa yaani wanafata Taurati, Taurati ambayo wao husema ina vitabu vitano, na wanaamini vitabu hivyo vitani vimeandikwa na nabii Musa kwa Mkono wao, kuna kitabu kinaitwa al-Qadim (Mwanzo), al-Khuruuj (kutoka) vingine nimevisahau. Sasa hii Biblia ya Mayahudi ndiyo ipi ?
Hili tunalipata katika ile Taurati waisemayo wao, sasa nakuuliza wewe hili tamko Biblia wenyewe Mayahudi wanalitumia au wewe umeamua kuleta sanaa na kuwafanya wao hawana akili ? Ndiyo maana nikakuuliza swali nikiwa namaanisha haya.
Vipi kuhusu Zaburi Wayahudi hawaiamini ?Wayahudi hawaamini Injili Wala agano kipya. Wanaamin torati pekee kitabu Cha musa. Waislamu na wakristo na Wayahudi wa Orthodox wanaamin Injili na torati. So uislam na wakristo Imani ni moja. Wayahudi wale wajudaism hawaamini juu ya yasu kuwa ndiye Messiah.
Hebu tuwekee hapa Injiri ya Yesu ambayo ipo kwenye Qurani.Kwa habar za Yesu ktk bible na ISSA ktk quraan ziko sawa. Zote zinakiri ISSA na YESU walizaliwa bila biological father na zote zinakiri kuwa YESU au ISSA ndo Masihi yaani mwana wa Mungu. Wale mayahudi walomsulubisha Yesu waliungana na walioanzisha Dola ya Rumi katika Ile vita ya msalaba kuileta uongo kuwa YESU hakufufuka Kwa waislamu Ili wagombane na kuingiza ibada ya sanamu Kwa wakristo Ili wagombane wao Kwa wao. Ili mpinga Kristo awe ndani ya ukristo.
Kwann biblia imebeba nini si ni jumla ya hivyo vitano tofauti tofauti na kuviweka pamoja.Hivi kwa ulimwengu wa Sasa tungeweza kutumia magombo?Kijana unaniuliza tena mimi ? Walitumia mabaki ya vitabu yakiwa peke yake, yaani Taurati kivyake, Injili kivyake. Ndiyo maana nataka unipe ushahidi wewe kwamba Biblia ilikuwepo.
Ukiwaangalia tu Mayahudi wenyewe wakiongelea Taurati wanamaanisha imejumuisha vitabu Vitano, kwa ujumla wanasema Taurati. Sasa hili tamko la Biblia kwanza si tamko la lugha ya kiebrania ni tamko la Kigiriki kwa asili na Kilatini kadhalika, kwa maana ya Kitabu kwa umoja au vitabu.
Tukisema ni Biblia ya Kiyahudi, maana yake ni kitabu cha Kiyahudi na wao wana vitabu vyao.
Si vibaya tukaweka na vifungu vya biblia.Fafanuzi.
Baada ya wazazi wake kukosa mahali pa kulala nyumba zote za mji wa bethlehem zikiwa zimejaa hata nafasi isipatikane kwa wageni sababu ilikuwa wakati wa sensa nyumba zilikuwa zimejaa wageni toka miji mingine,nae uchungu ukampata hata asipate mahali,Yusuf mumewe akaomba hata zizi la kulaza ng'ombe.
Ndivyo nilishakupaSi vibaya tukaweka na vifungu vya biblia.
Sasa utulize akili, sijasema wewe ndiyo umeniuliza. Nimesema nimeuliza hilo swali, sababu kuna mtu amesema hayo.Mi wapi nimesema Biblia wenyewe ni Wayahudi tu ?
Hebu unaposoma mada ya mtu tulia akili kidogo
Biblia hata Free Mason wana Biblia vilevile.
Tuliza kichwa
Kijana swali langu jepesi sana na liko wazi. Nimeomba nipewe ushahidi ya kuwa Biblia ilikuwepo kipindi cha Mtume wetu, iwe kama kitabu pweke au vingi, ukisoma Biblia yenu ambayo tamko hilo limekuwa maalumu kwa kitabu chenu ni kuwa halina hata kitabu kimoja cha asili kama kilivyo kuanzia Taurati, Zaburi mpaka Injilo ya nabii Issa.Kwann biblia imebeba nini si ni jumla ya hivyo vitano tofauti tofauti na kuviweka pamoja.Hivi kwa ulimwengu wa Sasa tungeweza kutumia magombo?
Maana hata QURAN mwanzoni haikuwa imechapiswa kama kitabu, watu walikuwa wakihifadhi kichwani kama ilivyo agano la karne kabla ya hata magombo
Umenipa wapi andika kabisa ni andiko fulani wengine sio wataalamu wa biblia.Ndivyo nilishakupa
Umenipa wapi andika kabisa ni andiko fulani wengine sio wataalamu wa biblia.
Kusema biblia haikuwepo kabla ni kichekesho ndugu sasa hao waumini wa Mwanzo walitumia mafundisho gani,sanduku la agano lilibeba nini,Kijana swali langu jepesi sana na liko wazi. Nimeomba nipewe ushahidi ya kuwa Biblia ilikuwepo kipindi cha Mtume wetu, iwe kama kitabu pweke au vingi, ukisoma Biblia yenu ambayo tamko hilo limekuwa maalumu kwa kitabu chenu ni kuwa halina hata kitabu kimoja cha asili kama kilivyo kuanzia Taurati, Zaburi mpaka Injilo ya nabii Issa.
Qur'aan ilikusanywa na kuwekwa katika nakala kama ilivyo, tofauti na vitabu vyenu vyote mmekuja kukusanya masalia na uchafu mwingi ambao manabii hawakufundisha mafundisho hayo kama vile utatu mtakatifu, uungu wa nabii Issa (Yesu) na mfano wa hayo.
Bado una deni toka kwangu kwa yale uliyo yasema huko juu kwamba Uislamu umeanzishwa na mapadri au ukatoliki, nasubiri ushahidi wa hili, kadhalika uthibitisho ya kuwa kipindi cha Mtume wetu Muhammad ilikuwepo Biblia.
Shukrani.
Sijui hujaelewa wapi kijana ? Hapa nataka ushahidi usilete maneno matupu.Kusema biblia haikuwepo kabla ni kichekesho ndugu sasa hao waumini wa Mwanzo walitumia mafundisho gani,sanduku la agano lilibeba nini,
Hata Yesu aliingia kwenye nyumba ya ibada na akasoma biblia.Biblia inakamilikaje sasa bila vitabu vya agano la kale.
Kwani nini maana ya biblia, nimekuelewesha Sana ndugu labda kama unayo majibu yako.
Swali lako ni nini hasa mbona unaonekana unaelezwa kitu usicho kielewa.Sijui hujaelewa wapi kijana ? Hapa nataka ushahidi usilete maneno matupu.
Hao walikuwa wanatumia mabaki katika vitabu vya kale yaani Taurati, Zaburi na Injili, mpaka yupo swahaba wa Mtume alionekana ameshika kipande cha karatasi cha Taurati.
Mimi nataka unipe ushahidi, kama mlizoea au mmezoea kusikia tu maneno bila kufanya utafiti, hapa itajulikana.
Asomaye na agahamu, Anza na surat 3:45, pia ingia You tube, andika Nabii Ilyas ameeleza Kwa undani sana mambo muhimu yaliyopotoshwa ktk quraan yanayohusu ISSA kama Masihi. Fuatilia Kwa makini utagundua mkristo na muislamu ni Imani moja na ni ndugu. Maadui wa ukristo ni papa na Roma na Wayahudi wasioamini habar za Yesu na mapepo yaliyoingiza ibada ya sanamu kanisani na kumuinua Mary aabudiwe na wakati Yeye mwenyewe alimwamini Yesu kama MasihiHebu tuwekee hapa Injiri ya Yesu ambayo ipo kwenye Qurani.
Maana Injiri ndio imebeba habari za Yesu.
Hebu tuwekee hiyo Injiri ya Qurani tuione hapa.
Japo sura moja tu.
Kusema biblia haikuwepo kabla ni kichekesho ndugu sasa hao waumini wa Mwanzo walitumia mafundisho gani,sanduku la agano lilibeba nini,
Hata Yesu aliingia kwenye nyumba ya ibada na akasoma biblia.Biblia inakamilikaje sasa bila vitabu vya agano la kale.
Kwani nini maana ya biblia, nimekuelewesha Sana ndugu labda kama unayo majibu yako.