Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 14,677
- 18,561
Nukuu iweke hapo hiyo Injiri ya Isa iliyoko kwenye Qurani.Asomaye na agahamu, Anza na surat 3:45, pia ingia You tube, andika Nabii Ilyas ameeleza Kwa undani sana mambo muhimu yaliyopotoshwa ktk quraan yanayohusu ISSA kama Masihi. Fuatilia Kwa makini utagundua mkristo na muislamu ni Imani moja na ni ndugu. Maadui wa ukristo ni papa na Roma na Wayahudi wasioamini habar za Yesu na mapepo yaliyoingiza ibada ya sanamu kanisani na kumuinua Mary aabudiwe na wakati Yeye mwenyewe alimwamini Yesu kama Masihi
Usiogope majini ndugu, mbona Mimi ni mkristo lakini nimefuatilia. Ukitaka kujua Kweli tafiti. Amwaminiye Yesu kwelkwel anaogopwa na majini,mapepo even shetani mwenyewe. Ndio utashambuliwa bt hawatakushinda. Mimi mapepo yaliyopo Facebook na YouTube yamekuwa yakinitumia video chafu kama mtego, ukiangalia tu unapunguzwa nguvu ya Imani Yako.Nukuu iweke hapo hiyo Injiri ya Isa iliyoko kwenye Qurani.
Mi sisomagi vitabu wanavyoshea Binadamu na Majini.
Malaika anamtokea Mariamu, muda huohuo anamkabidhi Mimba.
Mariam anasikia uchungu hapo hapo na anaenda kujifungua.
Isa ananza kuongea walipomwuliza Mariam wapi kamtoa mtoto muda siku hiyo hiyo alipomaliza kujifungua mtoto Isa.
Hii sio tabia ya Binadamu.
Labda ya Majini.
Isa alikuwa miongoni mwa Majini labda.
Watu mnabishana hadithi za kusadikika
Wapi mimi nimesema naogopa Majini. ?Usiogope majini ndugu, mbona Mimi ni mkristo lakini nimefuatilia. Ukitaka kujua Kweli tafiti. Amwaminiye Yesu kwelkwel anaogopwa na majini,mapepo even shetani mwenyewe. Ndio utashambuliwa bt hawatakushinda. Mimi mapepo yaliyopo Facebook na YouTube yamekuwa yakinitumia video chafu kama mtego, ukiangalia tu unapunguzwa nguvu ya Imani Yako.
Soma Sura ya Majini katika Qurani yako.Ebu toa aya.
Issa alizaliwa hapo hapo baada ya mimba yake kutungwa?
Kwani nini maana ya biblia,kitu kikikusanywa pamoja sababu ya maendeleo ya technology ya uchapishaji kinabadili Yaliyomo.Ungesema hivyo vitabu vitatu havipo kwenye biblia hapo ungeeleweka.Biblia ni ya kwenu
Watu wa zamani walikuwa na vitabu vitatu tu.
Taurati ya Musa
Zaburi ya daudi
Na injili ya yesu.
haya hyo biblia mmeitoa wapi?
Usipo paona soma Sura ya MariamuEbu toa aya.
Issa alizaliwa hapo hapo baada ya mimba yake kutungwa?
Kwani nini maana ya biblia,kitu kikikusanywa pamoja sababu ya maendeleo ya technology ya uchapishaji kinabadili Yaliyomo.Ungesema hivyo vitabu vitatu havipo kwenye biblia hapo ungeeleweka.
Si Kweli ndugu, Malaika Gabriel alileta ujumbe, Mariam alisikia na kuamini, muda ulipita baadae ndo yusuphu alipomkaribia mchumba wake akashtuka kumuonya ana mimba. Muda ulipita. Na mimba hiyo ilitimiza miezi ya kibinadamu. Ushangae jambo Hilo dogo. Katika Kila watu Sita kati ya kumi Kwa wastani, 4kati ya kumi ndo binadamu kamili. 6 Kati ya kumi ni nusu mtu nusu PEPO. Tumesoma nao, wanaona kama kawaida, wengine unafanya nao KAZI bila kuwajua.Malaika anamtokea Mariamu, muda huohuo anamkabidhi Mimba.
Mariam anasikia uchungu hapo hapo na anaenda kujifungua.
Isa ananza kuongea walipomwuliza Mariam wapi kamtoa mtoto muda siku hiyo hiyo alipomaliza kujifungua mtoto Isa.
Hii sio tabia ya Binadamu.
Labda ya Majini.
Isa alikuwa miongoni mwa Majini labda.
Soma Sura ya Majini katika Qurani yako.
Usipo paona soma Sura ya Mariamu
Usipo paona nitakuweka hapa.
Unatakiwa umjue adui Yako na anafanyaje KAZI, usipojua ni ngumu kupambana nae. Roho mtakatifu akiwa ndani yako ni KAZI yake kukufundisha.Wapi mimi nimesema naogopa Majini. ?
Majini ni roho chafu binafsi mimi sitaki kujihusisha nazo.
Hakuna urafiki kati ya Mkristo na Majini.
Katika Biblia Yesu amesema Mapepo ni adui zetu.
Mungu kupitia Manabii pia ilikataza shirika na Majini.
Ukitaka Urafiki na Majini Silimu uwe Mwislamu.
Usitake kutafsiri biblia ifanane na ilivyokuja vitabu vingine ambavyo hata UJAJI wake tu bado ni shaka kama ni maneno ya Mwenyezi Mungu au maneno ya wanadamu.Biblia kashushiwa mtume gani?
Usitake kutafsiri biblia ifanane na ilivyokuja vitabu vingine ambavyo hata UJAJI wake tu bado ni shaka kama ni maneno ya Mwenyezi Mungu au maneno ya wanadamu.
Mitume walitumia biblia maana ndio ilikuwa ni muongozo wa mafundisho ya imani.
Kwani Yaliyomo kwenye biblia ni tofauti na Yaliyomo kwenye zaburi taurati na injili?.Kaka Musa alipewa taurati inajulikana
Daudi alipewa zaburi inajulikana
Yesu alipewa injili inajulikana.
Hyo biblia kashushiwa mtume gani!?
Huo mkusanyiko wa vitabu mnavyosema vimeunda biblia kautengeneza Nani?
Wacha kujitoa ufahamu sema ukweli kuzaliwa kwa Isa hakukuwa kwa kawaida soma hapa.Issa alitimiza miezi 9.
Kama watoto wengine.
Kwani unataka kusema yesu alizaliwa tarehe 25 mwezi wa 12?
Kwani Yaliyomo kwenye biblia ni tofauti na Yaliyomo kwenye zaburi taurati na injili?.
Au biblia au QURAN ya kitabuni ni tofauti na zile zilizomo online?