Shehe Farsy katika Qurani yake ya tafsiri ya Kiswahili katumia Jina la Isa.

Mi najiuliza ni kwanini asitumie jina la Yesu ambalo ndio la Kiswahili ?

Waarabu Wakristo wanatumia jina la Yesu wanamwita Yasu.

Mtu anayebisha afungue sasa hivi kwenye YouTube video clips asikilize nyimbo za Waarabu Wakristo wanavyo imba Jina la Yesu kwa kutaja Yasu na sio Isa.

Kwanini wasi imbe Isa ?

Hapa inaonekana jina la Isa sio la Kiarabu wala la Kiswahili. Bali ni la Dini ya Kiislamu pekee.

Kwenye Qurani ya Kiswahili linatumika jina la Isa. Na ni kitabu pekee kinachotumia hilo jina. Kwanini asiandikwe Yesu humo ?
 
Quran Ni KITABU Cha mashetan ,sijui unaongelea kitu gan
 
Wakristo jifunzeni jambo hapa. Kama hizi ni nukuu kweli za Quran. Hapo wanaosemwa kumuabudu Yesu na Mariam ni Wakristo! Maana yake habari za bikira Maria kwenye Kanisa si za juzi ni toka karne za awali ndio maana hapa tunatuhumiwa.... nilitaka tuone hilo sio kujibu tuhuma.
 
UISLAMU UMEANZISHWA NA ROMAN CATHOLIC , ELEWA HILO

Kipind Quran inaandikwa tayari Ukristo ulishakuwepo na Yesu alikuwa anatambulika Ni MUNGU ,

Hiyo time traveling inatokea wapi

Yaan leo nije na Kitabu niseme Wanadhambi wanaomuita Yesu Ni Mungu, useme ni time traveling?

Wakati Biblia ipo miaka mingi kabla ya Quran


NDIO maana TUNASEMA UISLAMU Ni Dhehebu la Roman Catholic
 
wewe mkristo na yesu wako na hao waislam na mtume wao wote wapumbavu.
nyie Ni wajinga hasa wewe, maelezo meeengi yote ya kukaririshwa na ukiambiwa Leo yesu alikuwa mtu mweusi nadhani utarusha ngumi kabisa. Fool
Acha wajinga wajifunze huenda wakaelimika wewe mwenye akili pita kwa mbali
 
YESU alizaliwa mwaka wa 6 kushuka chini, kipindi hicho walikuwa wanaenda mpaka mwaka 2000 kisha wanaanza kurudi kinyume nyume hawaendelei, kwahiyo mwaka 6 YESU akazaliwa, alipofufuka na kupaa wataalam na wandishi wakaona umuhimu wake hapana aliyetokea nakufanya mambo makubwa kama haya huo mwaka aliozaliwa ndiyo ukaanza kuhesabiwa mwaka 1
 
Kizazi cha nyoka [emoji3]
 
Ila kuna swali huwa najiuliza hivi ilikuaje hadi huu mkusanyiko wa vitabu kwa maana biblia ukawa ndio kitabu kimoja chenye kutambulika kwamba ndio kitabu cha waumini wa Yesu kwa maana wakristo?
Kuna wataalam na wasomi walifanya hiyo kazi yakukusanya hivyo vitabu, Agano la kale lilikuwepo na baada ya YESU likazaliwa Agano jipya kama mwinjili Luka alikuwa msomi Dr .
 
Allah ndiyo nani? Halafu hakuna yesu kuna YESU /Yesu ukisikia majina ya pekee ndiyo kama hayo MUNGU na YESU
 
Kuna wataalam na wasomi walifanya hiyo kazi yakukusanya hivyo vitabu, Agano la kale lilikuwepo na baada ya YESU likazaliwa Agano jipya kama mwinjili Luka alikuwa msomi Dr .
Yani ilikuwaje hivyo vitabu vikawa vinawahusu wakristo?
 
Yani ilikuwaje hivyo vitabu vikawa vinawahusu wakristo?
Agano la kale lilianza katika mlolongo wake yaani vitabu vya Musa vikafuata vya manabii na vyote vilikuwa vinatabiri ujio wa masiha yaani YESU , kama cha Nabii Isaya ambacho hata yeye YESU alikisoma, ukisoma injili ya Mathayo utaona ukoo wa YESU mpaka Adam, nayote hayo aliandikwa kwa uwezo wa Mungu au roho Mtakatifu
 
Uongo
 
Issa sio Yesu kijana, tafuta uongo mwingine
Baba yake ni nani ?

Moja ya maajabu ya Mola Muumba ndo hayo... Mariam alipandikiziwa mimba bila kuingiliwa na mwanaume yoyote... Hivyo, logically, Issa ( Yesu) hana baba....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…