mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,419
- 17,765
uliza maswali ya maana.Hawa mama yake nani?
Basi kwani Adamu na Hawa wasiwe miungu kwanzauliza maswali ya maana.
hawa ni mama ya wanadamu wote. hakuna nyuma yake mtu. yeye na mume wake ndio source ya wanadamu. chanzo chao ni kuumbwa,
Yesu haymo katika hiyo chain kwanza anasema huku alikuja tu alkuwa mbingūni ndio maana kaja nje ya mifumo yetu.
hili tu linatosha umuangalie upya
Yesu sio Issa.Wanajipendekeza tu, Issa bin Maryam sio Yesu Kristo Mwana Wa Mungu
Kama ilivyo Biblia sio Quran wala Uislam sio Ukristo!
Kila mmola akiridhika na imani yake hakutakuwa na shida tena!
Nashangaa navysosema sijakuekewa. Sasa kwamaelezo yako ndio uonyeshe huo uongo uko wapi na wewe umejuaje hilo ? Kusema tu bila kuonyesha ithibati wewe unaingia katika kundi la waongo.
JIBU LAKO;Mtume, wake zake, rafiki zake wote na waislam wote huitwa kwa ubin Wa baba. Hata wote kwenye taurat,zabur,injil, hakuna anayetumia jina la mama.
Mfano Juma Bin Said.
Kwa nini Sio Issa Bin Yusufu?
Je mnakubali kisirisiri kuwa Yesu ni Mungu aliyekuja kupitia Marian na sip trndo la ndoa kati ya Mariam na Yusufu?
hawawezi kuwa miungu kwa sababu wameumbwa froms scratch na historia ya kuumbwa kwao iko wazi.Basi kwani Adamu na Hawa wasiwe miungu kwanza
[NOTE] JIBU LIPO.
Kwa sababu hana baba mwanadamu, na Yule mama ni njia tu wala ukute hata DNA haziendani maana aliingia tumboni mwakd kwa uwezo nje ya ubinadamu ankutoka kisha kupaa kurudi alikotokahata sasa yuko hai anakushangaa unavyohangaika.JIBU LAKO;
Si Issa Bin Mariam pekee atumie ubin wa mama huenda hujakutananao kutokana na kutokufahamu
Uliza tena
Yesu hawezi kuwa Mungu kwa sababu amezaliwa.hawawezi kuwa miungu kwa sababu wameumbwa froms scratch na historia ya kuumbwa kwao iko wazi.
ukisema hao ni miungu basi kila kiumbe ni Mungu.
Ila Yesu japo alionekana katika ubainadamu waislam wanasema hana Baba yeye anasema ni kweliSijazaliwa kama nyie maana mimi sikuanzia tumnoni mwa mama nilikuwepo humo nilipita tu kwa uwezo ambao hakuna mawanadamu mwingine aliyepitia huo.
Ndio maana anasema '' Nilishuka kutoka Mbinguni'' haya yote hutaki.
Huenda? Huenda pia si mungu uko hapo?Kwa sababu hana baba mwanadamu, na Yule mama ni njia tu wala ukute hata DNA haziendani maana aliingia tumboni mwakd kwa uwezo nje ya ubinadamu ankutoka kisha kupaa kurudi alikotokahata sasa yuko hai anakushangaa unavyohangaika.
Mkuu Yule ndio Uhai. Uzima
rudia sasa kusoma Yohana Moja, mbona ameeleza vizuri. Tena sio kiumbe au kiumbwa ni muumba.
Umekuja na hekaya tofauti kabisa na nilichokuuliza.
Umeandika mwenyewe Yesu alizaliwa pasi baba ndo maana mnamnasibisha na mamaake, nikakuuliza alizaliwaje pasi baba? No answers
Nmeuliza nani mwingine mnamu-address kwa ubin wa mama? No answers
Mantiki ni neno au wazo linalosaidia kufikia muafaka wa jambo kama ni la kweli au la!
Sasa kwa mantiki yako ile huoni kama Yesu hakuwa kiumbe wa kawaida kuna jambo kubwa sana juu yake?
Kuna tofauti kati ya mtu ambae hajaelewa na yule ambaye ameelewa ila bado analinda misimamo yake. Pia huwa siingii katika mijadala ya kumtafuta mshindi bali mawazo na mitazamo iliyopo sahihi. Ngoja niwaache wafu muendelee kuzikana. I'M OUT
Kwa sababu hana baba mwanadamu, na Yule mama ni njia tu wala ukute hata DNA haziendani
Ninaandika kwa Ligha yako, nikiwa nimevaa vazi la uislam ndio maana nimesema ''ukute''. Ila Yesu alikuwa Mungu ambaye uweza wake wote wa kiungu aliupukutisha na kutoutumia badala yake alimtegemea, ndio maana hadi sasa unamtafuta baba Yake unamkosa, na unakili biologically hakuna mwanadamu aliyezaliwa bila Baba. Hivyo Huyu ni zaidi ya Mwanadamu.Hii sentensi imeomyesha ujinga wako wa wazi. Hivi walimu wenu waliwafundisha muwe wajinga au ? Yaani jambo linaonyesha wazi kabisa hulijui lakini unalipigania. Sasa hii kauli "...ukute...." inaonyesha huna hakika kama anavinasaba vya MARIAM au la,sasa unacho bisha hapo nini ?
tupe mwingine wa mfano huo ili tusione jambo kubwa nyuma yake baada ya kuwalinganisha.Sababu mantiki ni fani,naomba utumie misingi ya fani ya mantiki kupata ukweli wa maneno yako ya kuwa kisa YESU amezaliwa pasi na baba basi kuna jambo kubwa sana juu yake.
na unakili biologically hakuna mwanadamu aliyezaliwa bila Baba.
Yesu hakuhitaji hayo maana ndiye aliyewaumba Adam na Hawa wakiwa na Baba Yake. Baba Yake Haitaji Kumzaa wotenwapo milele
tupe mwingine wa mfano huo ili tusione jambo kubwa nyuma yake baada ya kuwalinganisha.
najaribu kuweka huwenda ili nikusaidie kufikiri bila jazba za kidni.Huenda? Huenda pia si mungu uko hapo?
kama kutokuwa na baba wala mama pekee hakukufanyi kuwa mungu
kuwa na baba bila mama hakukufanyi kuwa mungu
vipi kuwa na mama bila baba kukufanye mungu?
Uislamu upi ?Kwenye uislamu wanatumia ubin wa mama.