hivi wanaposema Waisilamu watawauwa wakristo ni wapi?ebu jaribu kurudi kwenye historia ni Dini gani iliyouwa watu wengi katika kuenezwa kwake?na mpaka sasa hivi taifa gani linaloongoza kwa kuvuruga amani duniani?
 
Kijana nimeshakujua huna hoja

Wewe MTU akikuambia kazaliwa Chini ya mtende moja Kwa moja ushajua mji, nchi na bara alilozaliwa?

Embu Subiri wakubwa zako wafungue mafaili na vitabu wake kukusaidia Mkuu. Mada hii Ipo juu ya uwezo wako.
Labda utafute hoja nyingine ambayo unaweza kuipinga Kati ya hizo nilizotoa kudhihirisha kuwa issa na Yesu ni mhusika mmoja.

Watu wanafuatilia, hivyo ni vizuri mjiweke Sawa isijeteteresha Imani za Waumini
 
Sijajua wanalenga Kupata nini.
Alafu wengi wamedanganywa kuwa sijui Biblia imebadilishwa, ukiambiwa wailete ambayo haijabadilishwa wanabaki kukutolea macho😂😂
Mfano kuna mmoja hapa hapa Jamiiforum nilimuuliza swali kakimbia mazima, hajajibu.

Anasema Biblia imebadilishwa akaleta na vi-evidence uchwara. Lakini huyo huyo akasema Yesu sio Mungu, lakini proof anazoleta ni maandiko kutoka kwenye Biblia.

Nikamuuliza kama unasema Biblia imebadilishwa, una uhakika gani hayo maandiko ya Biblia unayoleta kutetea hoja yako, hayajabadilishwa?

Siku ya tatu leo nasubiri jibu, bado yuko kimya.
 
Sasa mimi nimeshika hiki nilichonacho ww unanambia dada ake Musa!!!

Mm namjua Mariam Mama ake Issa uyo wa dada ake Musa mm simjui na huu ndo ukweli

Naiamini Qur-an haijasema na haitosema uongo kamwe
TORATI
Sasa mimi nimeshika hiki nilichonacho ww unanambia dada ake Musa!!!

Mm namjua Mariam Mama ake Issa uyo wa dada ake Musa mm simjui na huu ndo ukweli

Naiamini Qur-an haijasema na haitosema uongo kamwe
Kitabu Cha TORATI Cha Musa kilikuwepo kabla ya Quraan.

Vitabu vya INJILI vilikuwepo kabla ya Quraan.

Baada ya warumi kushindwa kuwadhibiti Mitume waliohubiri INJILI , wakaamua kumtumia mmoja wa wayahudi kumwendea mtume na kuandika kitabu chenu ambacho kimekiri kukubali vitabu vyote vilivyotangulia.

Romee pale ndo wameandika kitabu chenu na kuasisi dini zote, na mission yake anaelekeza kuwaunga dini yenu na catolicano ziwe dini moja kumwabudu mnyama.

Mtatoka tu huko na tutaungana wote sababu tunaamini juu ya uwepo wa Mungu mmoja Yesu Kristo.

Amen
 
Sawa upo sahihi Mkuu....
 
Basi Sawa upo sahihi kabisa..... Bikra Mariam Mama yake Yesu na Bikra Mariam Mama yake Issa ni watu wawili tofauti 👏🏼
Historia inamkataa maria mama wa Isa , maana ata tukijaribu kumleta kwenye biblia tujaribu kumfitisha anaenda kuwa ndugu yake Musa tena kaka na dada , biblia inagoma kabisa
 
Historia inamkataa maria mama wa Isa , maana ata tukijaribu kumleta kwenye biblia tujaribu kumfitisha anaenda kuwa ndugu yake Musa tena kaka na dada , biblia inagoma kabisa
Okay, Upo sahihi
 
hivi wanaposema Waisilamu watawauwa wakristo ni wapi?ebu jaribu kurudi kwenye historia ni Dini gani iliyouwa watu wengi katika kuenezwa kwake?na mpaka sasa hivi taifa gani linaloongoza kwa kuvuruga amani duniani?
1.Wayahudi Si Wakristo ulifahamu Hilo sababu wao hawaamini juu ya Kuzaliwa Kwa Yesu bila baba wa mwili.

2.Pia Judaism hawaamini juu ya kufa na kufufuka Kwa Yesu.

3. Pia hawaamini kuwa YESU ndiye atakayerudi kuuhukumu Ulimwengu.

Hivyo mkristo na mwislamu ktk Imani na vitabu vyao wanaAMINI mambo hayo 3 ya msingi na ndipo undugu na UMOJA wao unapoanzia.

Aliyewafanya waislamu na Wakristo waonane maadui ni Judaism.

We are one brethren.

Amen
 
Binafsi nilisoma kwa hamu sana kutaka kujua huo utofauti...Kimapokeo ya kinadharia...najua Yesu ndo Issa.
Jinsi unavyotoa tofauti na ulinganifu hakuna sehemu ambazo zinakinzana-isipokuwa umebaze kwenye kutokua na taarifa au kwa sababu kitabu kimoja kimekaa kimya haimaaniishi kuwa sivyo ilivyokua...

Mfano ukisema Yesu alizaliwa Bethlemu kwenye zizi la ng'ombe.Huwezi ukasema sababu Qurani haisemi alizaliwa wapi basi ni vitu viwili tofauti....Qurani ingesema labda Issa alizaliwa Medina na huku Biblia inasema Yesu akizaliwa Bethlehemu..then ungekuwa na point.
Kumbuka, Quran haikuwa interested sana kumuongelea Issa..na kama kugusia tu..WAKATI kwenye Biblia Yesu ndo main character...hasa agano jipya.

Kwa hiyo binafsi sijaona huo utofauti...bado hujaweza kutoa fact zinazokinzana...zote za upande mmoja.
 

😀😀
Kwenye Quran kuna nchi ya shina la mtende, vizuri wanazuoni wanafuatilia hiyo nchi Kwa sasa Ipo wapi.

Biblia;

Luka 2:4-10Biblia Habari Njema (BHN)​

4. Yosefu pia alifanya safari kutoka mjini Nazareti mkoani Galilaya, na kwa vile alikuwa wa jamaa na ukoo wa Daudi, alikwenda mjini Bethlehemu mkoani Yudea, alikozaliwa mfalme Daudi.
5. Alikwenda kuhesabiwa pamoja na mchumba wake Maria ambaye alikuwa mjamzito.
6. Walipokuwa huko, siku yake ya kujifungua ikawadia,
7. akajifungua mtoto wake wa kwanza wa kiume, akamvika nguo za kitoto, akamlaza horini kwa sababu hawakupata nafasi katika nyumba ya wageni.
8. Katika sehemu hizo, walikuwako wachungaji wakikesha usiku mbugani kulinda mifugo yao.
9. Malaika wa Bwana akawatokea ghafla, na utukufu wa Bwana ukawaangazia pande zote. Wakaogopa sana.
10. Malaika akawaambia, “Msiogope! Nimewaleteeni habari njema ya furaha kubwa itakayowapata watu wote.
 
Historia inamkataa maria mama wa Isa , maana ata tukijaribu kumleta kwenye biblia tujaribu kumfitisha anaenda kuwa ndugu yake Musa tena kaka na dada , biblia inagoma kabisa
We ni mbumbu wa mambumbu Musa na Yesu wamepishana miaka 2000 Kwa hiyo umbumbu wako unakutuma ukubali kuwa katika hiyo miaka 2000 katika nchi ya Israel hajatokea mtu mwingine mwenye jina la Imran zaidi ya baba yake Musa?

Nyinyi wagalatia ni wa kuonewa huruma sana dini yenu ni ya uongo ndio maana maandiko ya kweli ya Mungu lazima yakuchapeni

Haya endeleeni kudanganyana na kufarijiana Kwa ujinga mlio nao
 

Yesu alisulubishwa akafa na Siku ya tatu akafufuka.
Issa hajasulubishwa, hakufufuka, bado hauoni kuwa ni Wahusika Wawili tofauti.
 

Madai ya Wayahudi kama dini hayaondoi uhusika wa Wahusika Wawili kama walivyoripitiwa kwenye Biblia na Quran.

Wayahudi hawaamini hivyo lakini wapo pia wanaoamini ingawaje ni percent ndogo.
Hapa tunachojadili ni kama vitabu vinavyowaelezea hao Wahusika.
Na sio kama wanavyoaminiwa.
 
Ukikisoma Kwa makini ukilinganisha na vitabu inavyovikubali utagundua Kuna mseto na mchanganyo wa hatari.

Ni kama aliyeandika aliamini kamwe wasomaji hawatokuja fanya utafiti wowote BAADAYE.
 
Nyinyi ndio akili zenu za chooni na huyo mbakaji wenu wa mtoto wa miaka sita,qurani ni kitabu kilicho andikwa na wahuni tu wa mtaani na mungu wenu wa kiarabu allah ambae ni shetani wa kuzimu ndio anawaongoza ninyi wapumbavu
Nenda kwa Mackenzie hakutoe pepo kwa jina la Brian Deacon. Nashukuruni serikali inaingilia. Angetokea mchungaji mmoja awashughulikie wote mazezeta wa kubadilishiwa maandiko
 
Soma comment yangu hapo juu inaquote vifungu vya Quran vinavyoeleza ISSA/ Yesu alizaliwa bila baba wa mwili, alikufa na kufufuka, na ndiye alama ya kiyama, atakayekuja kuuhukumu Ulimwengu juu ya DHAMBI .
 
hivi wanaposema Waisilamu watawauwa wakristo ni wapi?ebu jaribu kurudi kwenye historia ni Dini gani iliyouwa watu wengi katika kuenezwa kwake?na mpaka sasa hivi taifa gani linaloongoza kwa kuvuruga amani duniani?
Hakuna Mahali ukristo umeenezwa Kwa kuuwa watu.

Judaism AGANO la kale na INJILI ya Kristo ni two different things.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…