The Best Of All Time
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 3,282
- 7,730
Yeshua ni kiaramaic.... Kiebrania ni YahushuaBiblia ya kiarabu ilibadilishwa majina miaka 1880s,maana mji wa hijja kwenye biblia kipindi hicho uliandikwa bacca, waislam waliposoma biblia wakawaambia makasisi,matokeo yaliyofuata jina likabadilishwa,hata kwenye biblia za kiswahili hapajaandikwa ismail Bali Ishmael kufuata matamshi ya kiebrania,so biblia ya kiarabu yesu kuitwa yashu ni yaleyale tu,yeshua si kigiriki ni kiebrania,Wana version mbili wanavyoandika Hilo jina kwa kirumi,yeshua na y'shua...linatamkwa 'yiishias', kiebrania hakina 'e' ni Aramaic/semitic Kama kiarabu,kwenye 'yiishias' ondoa 'sh' ya kiebrania weka 's' ya Kiarabu Kama kwenye Ishmael na ismail uone unapata jina gani
Huu ni uongo..... Kiebrania inatamkwa kama Yahushua.......kama mtu anayetoa na kuvuta pumzi , ukitaka yi, unavuta au kutoa pumzi?Biblia ya kiarabu ilibadilishwa majina miaka 1880s,maana mji wa hijja kwenye biblia kipindi hicho uliandikwa bacca, waislam waliposoma biblia wakawaambia makasisi,matokeo yaliyofuata jina likabadilishwa,hata kwenye biblia za kiswahili hapajaandikwa ismail Bali Ishmael kufuata matamshi ya kiebrania,so biblia ya kiarabu yesu kuitwa yashu ni yaleyale tu,yeshua si kigiriki ni kiebrania,Wana version mbili wanavyoandika Hilo jina kwa kirumi,yeshua na y'shua...linatamkwa 'yiishias', kiebrania hakina 'e' ni Aramaic/semitic Kama kiarabu,kwenye 'yiishias' ondoa 'sh' ya kiebrania weka 's' ya Kiarabu Kama kwenye Ishmael na ismail uone unapata jina gani
Huyo ni muongo kabisa Hana elimu ya Lugha ya Kiebrania.Unaelimu yoyote ya Isimu ya Lugha?
Tafsiri na ukalimani nayo uliwahi kupata Elimu yake?
Yesu Kiarabu sio Isa
Wala issa Kwa Kiswahili sio Yesu.
Quran inasema Mariam alilelewa katika nyumba ya Mzee Zakaria ni baba wa Yohana mbatizaji[emoji3][emoji3]
Kwenye Quran kuna nchi ya shina la mtende, vizuri wanazuoni wanafuatilia hiyo nchi Kwa sasa Ipo wapi.
Biblia;
Luka 2:4-10Biblia Habari Njema (BHN)
4. Yosefu pia alifanya safari kutoka mjini Nazareti mkoani Galilaya, na kwa vile alikuwa wa jamaa na ukoo wa Daudi, alikwenda mjini Bethlehemu mkoani Yudea, alikozaliwa mfalme Daudi.
5. Alikwenda kuhesabiwa pamoja na mchumba wake Maria ambaye alikuwa mjamzito.
6. Walipokuwa huko, siku yake ya kujifungua ikawadia,
7. akajifungua mtoto wake wa kwanza wa kiume, akamvika nguo za kitoto, akamlaza horini kwa sababu hawakupata nafasi katika nyumba ya wageni.
8. Katika sehemu hizo, walikuwako wachungaji wakikesha usiku mbugani kulinda mifugo yao.
9. Malaika wa Bwana akawatokea ghafla, na utukufu wa Bwana ukawaangazia pande zote. Wakaogopa sana.
10. Malaika akawaambia, “Msiogope! Nimewaleteeni habari njema ya furaha kubwa itakayowapata watu wote.
uko tayali upewe ukweli?Hakuna Mahali ukristo umeenezwa Kwa kuuwa watu.
Judaism AGANO la kale na INJILI ya Kristo ni two different things.
Umenena vyema,Huyo ni muongo kabisa Hana elimu ya Lugha ya Kiebrania.
Eliya anaitwa Eli-yahu....Yesu anaitwa Yahu-shua , Yeremia anaitwa Yime-Yahu, Isaya anaitwa Yesha-Yahu ambapo Yahu ni jina la Mungu...
Sasa anasema Yi, kwenye Maandiko ya Kiebrania hakuna neno Yi inayomwakilisha Mungu.
Nipo tayari.uko tayali upewe ukweli?
Relax , kama alitokea kwenye biblia hayupo , ndio maana nimekwambia maria wa Isa anashindwa ku fit kwenye biblia Anafit awe dada yake MusaWe ni mbumbu wa mambumbu Musa na Yesu wamepishana miaka 2000 Kwa hiyo umbumbu wako unakutuma ukubali kuwa katika hiyo miaka 2000 katika nchi ya Israel hajatokea mtu mwingine mwenye jina la Imran zaidi ya baba yake Musa?
Nyinyi wagalatia ni wa kuonewa huruma sana dini yenu ni ya uongo ndio maana maandiko ya kweli ya Mungu lazima yakuchapeni
Haya endeleeni kudanganyana na kufarijiana Kwa ujinga mlio nao
Kumbuka Musa na haruni walikuwa na dada aliitwa Miriam na baba Yao aliitwa amram , apa ndio pedophile Muhammad alipo ingia kingi kwa kuchanganya na Mariam mama wa Yesu alipo kuwa antunga character wake IsaWe ni mbumbu wa mambumbu Musa na Yesu wamepishana miaka 2000 Kwa hiyo umbumbu wako unakutuma ukubali kuwa katika hiyo miaka 2000 katika nchi ya Israel hajatokea mtu mwingine mwenye jina la Imran zaidi ya baba yake Musa?
Ulitakiwa uanzie aramaic alikuwa anaitwaje? Unaleta mambo Yeshua mara Jesus mara Yesu wakati matamshi pipa na mfuniko.Wewe badala upangue hata hoja moja naona umeamua kuongea yanatokufurahisha.
Nafikiri ungechagua hoja walau moja unayoweza kuipangua kusaidia upande wako kuliko ulivyofanya
shukrani, lakini Mungu ni mmoja ila katika utendaji kazi katika biblia tunaona nafsi3 lakini ni Mungu Mmoja soma isaya 7:14 imerudiwa katika mathayo 1:22 Emmanuel maana yake Mungu pamoja nasi/GOD with us soma pia yohana 14:9Kaka Yesu ni Mwana WA MUNGU.
Ana Uungu ndani yake lakini anabaki kama mwana WA MUNGU ALIYE hai.
🙏
Aisee yni bado unanilazimisha niamini unachoamini?TORATI
Kitabu Cha TORATI Cha Musa kilichokuwepo kabla ya Quraan.
Vitabu vya INJILI vilikuwepo kabla ya Quraan.
Baada ya warumi kushindwa kuwadhibiti Mitume waliohubiri INJILI , wakaamua kumtumia mmoja wa wayahudi kumwendea mtume na kuandika kitabu chenu ambacho kimekiri kukubali vitabu vyote vilivyotangulia.
Romee pale ndo wameandika kitabu chenu na kuasisi dini zote, na mission yake anaelekeza kuwaunga dini yenu na catolicano ziwe dini moja kumwabudu mnyama.
Mtatoka tu huko na tutaungana wote sababu tunaamini juu ya uwepo wa Mungu mmoja Yesu Kristo.
Amen
Ulitakiwa uanzie aramaic alikuwa anaitwaje? Unaleta mambo Yeshua mara Jesus mara Yesu wakati matamshi pipa na mfuniko.
Hoja yangu ukichukulia kwa muundo wa kutofanana majina haina mashiko.
Qur'an imetangulia kabla ya biblia ya kiarabu, kingereza na kiswahili. Walikaa wakapanga huko Roma.
Chunguza hilo jina la Yesu nchi mbalimbali majina yanayotumia kuna wakristo wanatumia Isus, Isa, Iso.
Uwelewa wako mdogo unachukulia sample ya lugha zilizoikuta kiarabu kwa miaka mingi kama kingereza na kiswahili
Aisee yni bado unanilazimisha niamini unachoamini?
Kamwe haitotokea
Nyinyi mna dini yenu na sisi tuna dini yetu
😆😆😆Oneni bhangi hiziKurani kitabu cha mchongo kilicho andikwa na waganga wa kienyeji ndicho kilichokuja kupotosha ukweli uliopo
Ndgu zangu waislam em njooni mtujuze hapa,hili suala wanaliongea sana kwenye mihadhara hasa wakienda sehemu zenye wakristo wengi.
Binafsi sijawahi kuona wakristo wakitumia Quran kama rejea yao ila waislam ni mara nyingi hufanya hivyo.
Kwa maana hiyo hulitaja saana jina Yesu wakisema ndie Issa.
FaizaFoxy njoo utujuze hapa, Yesu ni Issa au ni watu tofauti?? Kama ndio ni kwanini na kama sio kwanini waislam hupenda kumtumia Yesu kama Issa??