mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,419
- 17,765
Wewe umesema hana Baba, Tumekubaliana Yusufu sio Baba wake wa Kumzaa, Japo alipaswa kutumia hata jina lake basi. Siamini hata alipoenda shule aliitwa Yesu Mariam.Kutokuwa na mwingine hakumaanishi kuwa ni jambo kubwa mpaka nyinyi mkaamua kumuita Mungu.
Hivi ukitazama suala la kiumbe ambacho kipo hai mpaka muda huu mpaka itakapo karibia kiama unafikiri ni Yesu pekee ?
Lakini uhai,sio kwa Yesu bali kuna viumbe viko hai huko makaburini vinaendelea kuruzukiwa na Allah aliye juu.
Sasa sijaona hata hoja za uongo za kuwafanya nyinyi mumfanye Yesu kuwa ni mungu zaidi ya ujinga na kuchupa mipaka.
Yesu ndio ni mungu kwa mujibu wa baadhi ya wakristo ila si wakristo wote.najaribu kuweka huwenda ili nikusaidie kufikiri bila jazba za kidni.
Ila Yesu Kuwa Mungu hilo halina mjadala.
Mada kama hizi ni kutafuta kutoboa kona za mioyo Yenu ili mfikiri upya kwa nini Yesu na Sio Muhammad, na Bibilia na sio Quran.
Narudia tena '' Wenda'' ukajua
Yesu hakuhitaji hayo maana ndiye aliyewaumba Adam na Hawa wakiwa na Baba Yake. Baba Yake Haitaji Kumzaa wotenwapo milele
Hata waislam wote hawaamini mtume ni nabii wao wa mwisho ndio maana mnabaguana shia, hamadiaya, sunni etc.Yesu ndio ni mungu kwa mujibu wa baadhi ya wakristo ila si wakristo wote.
Kiumbe hai makaburini. Hii Kali ya quranKutokuwa na mwingine hakumaanishi kuwa ni jambo kubwa mpaka nyinyi mkaamua kumuita Mungu.
Hivi ukitazama suala la kiumbe ambacho kipo hai mpaka muda huu mpaka itakapo karibia kiama unafikiri ni Yesu pekee ?
Lakini uhai,sio kwa Yesu bali kuna viumbe viko hai huko makaburini vinaendelea kuruzukiwa na Allah aliye juu.
Sasa sijaona hata hoja za uongo za kuwafanya nyinyi mumfanye Yesu kuwa ni mungu zaidi ya ujinga na kuchupa mipaka.
Nionyeshe Binadamu Aliyezaliwa Bila Baba ukiacha Yesu ambaye anaitwa Immanuel (Mungu pamoja na wanadamu).Hivi huwa huogop kusema uongo ? Nani amekiriya kuwa hakuna binadamu aliyezaliwa bila baba ?
Sasa Yesu mama yake nani ? Na kwanini Yesu iwe Mungu mkuu ndio baba ake ? Yaani baba ake kivipi ? Maana ubaba ni wa aina mbili :
1. Baba wa nasaba
2. Baba mlezi
Huu ubaba ake Yesu unaingia katika aina gani ?
Yeye anasema Baba Yake Yuko Mbinguni Alikotoka yeye. Yeye na Huyo Baba yake ni Kitu Kimoja.
Alikuwa sawa na baba yake kimaumbile au kinguvu ?Kabla ya Kuja kwa njia ya Mariam, Alikuwa Yu namna ya Mungu sawa na Baba yake, Ameanza Kuwa na Baba kabla hata mariam hajazaliwa. Maana anasema kabla ya Ibrahim mimi niko.
HIYO NI KWA MUJIBU WA BIBLIAHata waislam wote hawaamini mtume ni nabii wao wa mwisho ndio maana mnabaguana shia, hamadiaya, sunni etc.
sio hoja yangu.
Wakristo kukataa Yesu ni Mungu mfano JW haimzuii Kuwa Mungu, Haimpori sifa zake.
Ila yeye Ametuhakikishia siku ya kiyama kila kinywa kitakili, na kila Goti litapigwa.
Niafadhali uanze kumsujudia sasa kuliko umsujudie siku ukiwa umechelewa alafu ukubali kabisa kula fire maana utasema hata mitale na midimu aliniambia. Moyo ulisadiki lakni niliogopa dini yangu itanionaje nikikana imani?
Nionyeshe Binadamu Aliyezaliwa Bila Baba ukiacha Yesu ambaye anaitwa Immanuel (Mungu pamoja na wanadamu).
YESU NI MUNGU AU MWANA WA MUNGU?Hata waislam wote hawaamini mtume ni nabii wao wa mwisho ndio maana mnabaguana shia, hamadiaya, sunni etc.
sio hoja yangu.
Wakristo kukataa Yesu ni Mungu mfano JW haimzuii Kuwa Mungu, Haimpori sifa zake.
Ila yeye Ametuhakikishia siku ya kiyama kila kinywa kitakili, na kila Goti litapigwa.
Niafadhali uanze kumsujudia sasa kuliko umsujudie siku ukiwa umechelewa alafu ukubali kabisa kula fire maana utasema hata mitale na midimu aliniambia. Moyo ulisadiki lakni niliogopa dini yangu itanionaje nikikana imani?
Hata waislam wote hawaamini mtume ni nabii wao wa mwisho ndio maana mnabaguana shia, hamadiaya, sunni etc.
AMEKAA KUUMENI KWA MUNGU BABA?Hata waislam wote hawaamini mtume ni nabii wao wa mwisho ndio maana mnabaguana shia, hamadiaya, sunni etc.
sio hoja yangu.
Wakristo kukataa Yesu ni Mungu mfano JW haimzuii Kuwa Mungu, Haimpori sifa zake.
Ila yeye Ametuhakikishia siku ya kiyama kila kinywa kitakili, na kila Goti litapigwa.
Niafadhali uanze kumsujudia sasa kuliko umsujudie siku ukiwa umechelewa alafu ukubali kabisa kula fire maana utasema hata mitale na midimu aliniambia. Moyo ulisadiki lakni niliogopa dini yangu itanionaje nikikana imani?
Chanzo cha Binadamu yoyote ni Kuzaliwa ukiacha adamu ambaye aliumbwa kwa udongo na mkewe.Yesu hawezi kuwa Mungu kwa sababu amezaliwa.
Halafu unasema kuwa ".... hakuna mwanadamu mwengine aliepitia huo" inamaana Yesu anasema yeye ni Binaadamu lakini sio sawa na binaadamu wengine 🙂
Wakristo kukataa Yesu ni Mungu mfano JW haimzuii Kuwa Mungu, Haimpori
Chanzo cha Binadamu yoyote ni Kuzaliwa ukiacha adamu ambaye aliumbwa kwa udongo na mkewe.
Naona umepata funzo la kuwa usiwe unaongea story za maskani katika mijadala ya kielimu,wenzako wanasoma wewe unaleta hisia usizo weza kuzitetea ? Acha kabisa tabia ya kuhisi hisi,soma uelewe.
Tuko pamoja.
Adamu ni baba wa watu si pamoja na mama wa Yesu.adam ndie baba wa watu. labda niseme baba yake ni udongo labda unielew.
naomba baba yake yesu Vinginevyo sio mtu ukikoswa maelezo, maana wanadamu wote ambao wa kwanza ni ibrhm wanajulikana wanavyopatikanw
Yesu sio Kiumbe.Ila unajichanganya sana ujue,hapa unakiri ya kuwa Yesu ni kiumbe na suala la kiumbe mwingine kuzaliwa bila baba hilo sijapinga. Ndio maana nikakuuliza ya kuwa kuzaliwa kwake bila baba ndio mkamfanya kuwa Mungu ? Lakini musa huo huo unasema baba yake ni Mungu ? Embu tuliza akili kisha uje upya.
umeandika kwa hekima...Personal attacks na character assassination ni dalili kuu za watu wasio na upeo mkubwa kifikra. Mimi ni mtu huru kifikra na wewe ni ndege unaefurahia kukaa ndani ya CAGE, huwezi kujua ladha ya kuwa huru na lazma utauchukia uhuru. Usisahau kingine, sounding philosophical doesn't make you sound smart to people of my kind but the content and substance found within your words; I used to respect you from a far ila nikiri "you are a DISSAPOINTMENT kwangu leo".
Hao ni waislam wanatumia quran.Ina maana hao wanao mkataa kuwa Yesu sio Mungu wanatumia mawazo yao au wanatumia maandiko ?