Endelea kujifariji ukijiminya korodani
 
Umewahi kuigusa Qur'an kweli!?..hata Kama hukuwahi,unadhani kujua issa kazaliwa wapi ni mission ya Qur'an!?

Acha kukukwepa hoja,kimsingi kurwani inapwaya sana,ni kitabu cha kuungaunga visa vya wayahudi na mitume wa kiyahudi.
 
Acha uvivu kijana. Ingia hata youtube andika "how to pronounce Jesus in aramaic" halafu uone kama itakuja uongo uliouandika.
Hahahaha .....ni-youtubike wakati vitabu vipo?
Alafu pili Hawa wayahudi wa Sasa wanaongea Yiddish sio pure Hebrew, mi sio mjinga.
 

Wafuuasi wa mudi wengi ni vilaza.
 
Yesu na Isa ni watu wawili tofauti, hawafanani kwa chochote.
Ukisoma injili nne zile, na Suratul Mariam, utajua tofauti zao.
 

Nakushauti rudia kusoma upya,harafu usikaze fuvu iruhusu akili yako ipokee mtazamo mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…