But why kila nikifungua ZBC nakuta sheikh anasema,Huyo wanae muita Yesu ndio Issa.🤔🤔🤔Nini tatizo?Yesu na Isa ni watu wawili tofauti, hawafanani kwa chochote.
Ukisoma injili nne zile, na Suratul Mariam, utajua tofauti zao.
Leo wanajikanyaga, wanayakuta mambo ambayo ni tofauti wanayoambiwa kwenye mihadhara.Nakushauti rudia kusoma upya,harafu usikaze fuvu iruhusu akili yako ipokee mtazamo mpya.
Brain washed na wanasoma Injili zile nne juujuu, wasome mwanzo mwisho kama wataongeaBut why kila nikifungua ZBC nakuta sheikh anasema,Huyo wanae muita Yesu ndio Issa.🤔🤔🤔Nini tatizo?
Ulivosema Tu Issa Haijulikani Kazaliwa mkoa Gan Inajulikana Kazaliwa Chini Ya Mtende tu Nikaacha Kuufatilia Uzi.
Kama Hili Tu Hujui Basi Kuna mengi Umedanganya au Hauyajui Kwa undani
Binafsi Isa Inajulikana Kazaliwa wapi
Pili ukisema kuwa Isa sio Yesu, ni sawasawa na kusema dini ya Kiislamu ni uongo, so hapo watajaribu Kila namna wamrelate Isa na Yesu Ili ionekane kuwa Mungu wao alikuwaga Mungu wa Wayahudi.But why kila nikifungua ZBC nakuta sheikh anasema,Huyo wanae muita Yesu ndio Issa.🤔🤔🤔Nini tatizo?
Kumbuka Musa na haruni walikuwa na dada aliitwa Miriam na baba Yao aliitwa amram , apa ndio pedophile Muhammad alipo ingia kingi kwa kuchanganya na Mariam mama wa Yesu alipo kuwa antunga character wake Isa
Ulitakiwa uanzie aramaic alikuwa anaitwaje? Unaleta mambo Yeshua mara Jesus mara Yesu wakati matamshi pipa na mfuniko.
Hoja yangu ukichukulia kwa muundo wa kutofanana majina haina mashiko.
Qur'an imetangulia kabla ya biblia ya kiarabu, kingereza na kiswahili. Walikaa wakapanga huko Roma.
Chunguza hilo jina la Yesu nchi mbalimbali majina yanayotumia kuna wakristo wanatumia Isus, Isa, Iso.
Uwelewa wako mdogo unachukulia sample ya lugha zilizoikuta kiarabu kwa miaka mingi kama kingereza na kiswahili
Aisee yni bado unanilazimisha niamini unachoamini?
Kamwe haitotokea
Nyinyi mna dini yenu na sisi tuna dini yetu
Mkuu YESU AKUZALIWA KWENYE HOLI LA NG’OMBE kuwa makin kusoma hii haya najua we ni Msomi iv kweli unashindwa kujua hapa biblia haijui yesu wapi kazaliwa eneo lip SOMA KWA UMAKIN
IKIWA KATIKA KUKAA HUKO SIKU ZAKE ZA KUZAA ZIKATIMIA AKAJIFUNGUA MTOTO WAKE WA KWANZA WA KIUME AKAMVIKA NGUO ZA KITOTO
AKAMLAZA HORIN KWA SABABU HAWAKUPATA NAFAS KATIKA NYUMBA ZA WAGEN
LUKA 2:6-7
Hapo tunaona yesu kalazwa horin na sio kuzaliwa na kisa
Mkuu we ni mwanafisii sana naomba udadavue hili andiko
Na wasitumie Biblia kama reference.Tuambie Yesu alizaliwa wapi?
Yesu alizaliwa Nazareth, Huko Bethlehem ya Yuda nje ya Jiji la Yerusalem(Mji wa Daudi. Alizaliwa kwenye Usiku kwenye Hori la Ng'ombe, katika utawala wa Rumi Chini ya Herode.Tuambie Yesu alizaliwa wapi?
Unasemaje? Qur'an ipi isiyotosheleza? na haitoshelezi kwenye nyanja ipi ya maisha? Qur'an ina sura 114 na karatasi 300 kwa mpangilio wa chapa nyingi maarufu, umewahi kuisoma hata asilimia 10? na baada ya kuisoma kuelewa maana na makusudio yake?.
Sisi tunamaliza umri tukitafuta ubobezi kwenye tafsiri ya Qur'an wewe mmakonde mwenzetu tena usiye muislamu unapata wapi guts za kusema ni kitabu kisichotosheleza kuwa ni muongozo, kuna kitabu gani basi kitatosheleza kama Qur'an ina mapungufu? forex for dummies au?.
Sijataka kuingilia mjadala wa ISSA na YESU kwasababu nimeona hauna mantiki ni kama kusema CCM sio CHAMA CHA MAPINDUZI kwasababu hiki kingine kina jina refu, ila nimekuwa curious kujua upungufu wa Qur'an, karibu kwa mjadala.
Toleo la biblia la kiswahili la impremanto wewe umeliona!?..kaulize kanisani wakupe,toleo la biblia tulilotumia 1990s mwishoni tu limebadilishwa,maneno Kama swaumu, sikukuu ya IDD,kuwatawadha miguu wanafunzi yametolewa na kuweka mengine mfano kuwaosha miguu wanafunzi nk, nimekwambia kiebrania yesu akiitwa y'shua, kiebrania Ishmael wakati kiarabu ismail, tofauti ya sh na s, kwenyewe y'shua toa sh weka s ili upate kwa kiarabu jina litatamkwa vipi,au Ishmael siyo ismail!?..vizuri umeweka kigiriki hapo,linatamkwaje kigiriki kwa mujibu wa ulivyoandika?
Ina maana kitabu Cha Qur'an iliyotafsiriwa na Yusuf Ali haijakamilika?Unasemaje? Qur'an ipi isiyotosheleza? na haitoshelezi kwenye nyanja ipi ya maisha? Qur'an ina sura 114 na karatasi 300 kwa mpangilio wa chapa nyingi maarufu, umewahi kuisoma hata asilimia 10? na baada ya kuisoma kuelewa maana na makusudio yake?.
Sisi tunamaliza umri tukitafuta ubobezi kwenye tafsiri ya Qur'an wewe mmakonde mwenzetu tena usiye muislamu unapata wapi guts za kusema ni kitabu kisichotosheleza kuwa ni muongozo, kuna kitabu gani basi kitatosheleza kama Qur'an ina mapungufu? forex for dummies au?.
Sijataka kuingilia mjadala wa ISSA na YESU kwasababu nimeona hauna mantiki ni kama kusema CCM sio CHAMA CHA MAPINDUZI kwasababu hiki kingine kina jina refu, ila nimekuwa curious kujua upungufu wa Qur'an, karibu kwa mjadala.
Uzuri ni kuwa Imani ya uislamu haitaji approval kutoka Kwa watu wa dini nyengine. Amini utakavyoamini lakini Imani yako haibadilishi chochote juu Imani ya uislamu. Uislamu utakuwa vilevile.
Unavyokaza fuvu hadi unatia aibu,biblia hufanyiwa tafsiri ili iendane na mabadiliko ya lugha sehemu mahalia.
Mbona kwenye King James Version ya 1611 hakuna neno Swaumu, idd Wala sheikh?Toleo la biblia la kiswahili la impremanto wewe umeliona!?..kaulize kanisani wakupe,toleo la biblia tulilotumia 1990s mwishoni tu limebadilishwa,maneno Kama swaumu, sikukuu ya IDD,kuwatawadha miguu wanafunzi yametolewa na kuweka mengine mfano kuwaosha miguu wanafunzi nk, nimekwambia kiebrania yesu akiitwa y'shua, kiebrania Ishmael wakati kiarabu ismail, tofauti ya sh na s, kwenyewe y'shua toa sh weka s ili upate kwa kiarabu jina litatamkwa vipi,au Ishmael siyo ismail!?..vizuri umeweka kigiriki hapo,linatamkwaje kigiriki kwa mujibu wa ulivyoandika?