Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 4,152
- 8,631
Hoja huvunjwa kwa hoja, leta ya kwako nzito zaidi tuijadili.Hapa nimeshuhudia maneno mengi ya kutaka kuaminiasha ujinga na wala hakuna hoja yoyote ya msingi uliyoitoa kujibu hoja za uzi,kimsingi maneno matupu na umepuyanga.
Qur'an walioitarjim kwa lugha nyingine yoyote wamejitahidi kwa kutumia tafsiri tofauti tofauti lakini hakuna lugha inayoweza kuwa na ufasaha wa lugha iliyotumika kwenye Qur'an.Ina maana kitabu Cha Qur'an iliyotafsiriwa na Yusuf Ali haijakamilika?
Hoja zingine hizi
Yesu alikufa, Isa hakufa alafu unasema ni kama CCM na Chama Cha Mapinduzi.
Nionyeshe sehemu kwenye Biblia inayosema Yesu hakufa ndo tuamini usawa wa Yesu na Isa.
Siku ukielewa maana ya mitume ni nini nafikiri tutapunguza nguvu kubwa kujadili vitu visivyo na msingi, kwa ufupi imani ya kiislamu ina nguzo zake na katika hizo ni kuwaamini mitume wote, ni mamoja tumetajiwa habari zao au hatukutajiwa.Waliwauwa mitume gani?kumbe uislamu umeiba mitume wa wayahudi?
Issa gani aliezaliwa madina akafia makkah, au unamzungumzia issa shivji?.Robby,Issa kazaliwa miaka 600Anno Dominos.....Issa kazaliwa Madina kafia Makkah,Yesu kazaliwa Bethlehem zamani kabisaa huko enzi za za utawala wa Rumi kipindi Cha kina Ceisar Agustus na kina Herode,,,Issa kazaliwa Karne 6 baada ya Yesu...Sasa anakuwa vipi mtu mmoja,hakuna hoja hapa
Huu ni uthibitiho wa usadiki na Imani za kimchongo mchongo hahahaahaaaa dadadadeki dunia hii ni nyoko.Labda tukusaidie,kwanza ujue jinsi hivi vitabu vilivyoandikwa,lakini ni wajibu wako mwenyewe kuamini au kutokuami,Biblia inatokana na vitabu vya
Hizo hadithi huwa mnasoma na kuzielewa kweli,Yesu hata uhukumu ulimwengu, lakini atakuja kipindi kinachokalibia na mwisho wa dunia na atamkuta mtu mmoja anaitwa Masiha Dajal ambaye atawapitisha watu katika mitihani migumu ya imani, ukimfuata umepotea, ukimkataa umeokoka
Yesu atamuuwa masiha Dajal, naye atakufa, maana katika mwisho wa dunia kila kitu kitakufa, mpaka malaika watakufa, atabaki Mungu peke yake kama alivyoumba dunia, ndiyo utakapoanza ufufuo kwa viumbe wake, na mtu wa kwanza kufufuliwa atakuwa Mtume Muhammad (S.A.W) baada ya hapo itaanza hukumu, itachukua miaka alfu5 huku watu wamesimama hakuna kulala wala kula, huo ndiyo Uisilamu elimu pana hakuna kitu kilichofichwa
Nimekubali mimi nimekubali mimi nimekubali mimi naomba ufalme wako wa fikra na uchambuzi wa kimantiki na maudhui na wenye rejea udumu milele na milele, Amina.
Mimi Kama Wadiz
Hii hoja ya Yesu kuwa sio Issa ni ya kijinga sana sijui kwanini watu hawaoni hili? Nilidhani mleta mada pengine angeleta hii hoja kwa mtindo wa tofauti kama kuthibitisha kuwa Qur'an haimkusudii Yesu(wa kwenye biblia) inapomzungumzia Issa.
Kwa kufanya hivyo ndio tungeweza kujua kuwa Qur'an na Biblia inazungumzia wahusika wawili tofauti na si mkusudiwa huyo huyo mmoja ila kaelezewa kwa maelezo tofauti, sasa ukiishia tu kuonyesha hizo tofauti za kwenye Biblia na Qur'an bado sio uthibitisho wa madai ya kwamba Issa sio Yesu hasa ukizingatia Qur'an imekuja baada ya Biblia hivyo hizo tofauti sio za bahati mbaya.
Issa siyo Yesu. Mtoa mada amekwisha prove. Musilazimishe huyo msela wenu wa kwenye Quran afanane na YesuQUR'AN siyo kitabu Cha wasifu/biography,ni kitabu Cha kumuongoza mtu kumjua muumba wake na vile anataka Aishi duniani, Quran imetaja manabii wengi toka Adam,lut, Ibrahim mpaka Muhammadi,we unataka itaje majina yao wote na koo na wanafunzi wao!!?..yesu kiebrania yeshua au y'shua...Sasa kiebrania ismail wanasema Ishmael,toa hiyo sh bakiza 's' Kisha tamka uone linakuja jina gani,ukiona kazi google kigiriki jina yesu,utapata na linavyotamkwa,yesu hakuzaliwa kwenye zizi la ng'ombe Kama wengi mnavyoamini,hori la ng'ombe ni pahala ng'ombe wanatumia kula na kunywa,na alipozaliwa ilikua mid summer,kiasi wafuga ng'ombe waliweza ona mifugo yao usiku,mid summer tende huwa mbivu Kama Quran ilivyosema kwenye mazazi ya ISSA/yesu...kukataa issa si yesu ni ujuha unaotokana na kukosa hoja
Endelea kupigiza kichwa sakafuni mpaka upate sigida. Sijaona waarabu wenye sigida. Ni nyie tu waafrika na tafsiri zenu mbovuEndelea kujifariji ukijiminya korodani
Usihamishe magoli. Zoroastrianism haijamtaja Yesu wala huyo msela wenu Issa.Hoja ya miaka itakuangusha....
Dini ya Zoroastrianism na vitabu vyake ina miaka zaidi ya 3500 kuliko AGANO LA KALE....kwa hiyo wao ni wakweli zaidi ya wote hao waliofuata?!!![emoji1787][emoji1787]
Hicho kitabu kiliandikwa na wahuni halafu Muhammad anadanganya eti aliteremshiwa. Ndiyo kimezaa dini ya kihuni. Imagine mtu anaambiwa akijiua kutetea Imani yake eti kuna mabikra 72 wanamsubiri peponi. !! Yaani huko peponi hakuna cha maana zaidi ya ngono?? Uhuni mtupuUmeandika kama vile Qur'an imekuja kuyskinisha biblia, Qur'an imekuja kuweka sawa yaliyopotishwa kwenye biblia.
Visa vilivyomo kwenye biblia ni tofauti kabisa na ukweli ndiyo kwenye Qur'an vikaja kuwekwa visa halisi, siyo vya mikono ya watu.
Mitume ni wale wale lakini ni kosa kubwa kabisa kudhani visa ni vile vile.
Pumbavu hili hapa,kubadili neno IDD Hadi sikukuu ya kuandama mwezi na kuwatadha miguu Hadi kuwaosha miguu ni kuendana na mabadiliko ya lugha ya sehemu Mahalia!?Unavyokaza fuvu hadi unatia aibu,biblia hufanyiwa tafsiri ili iendane na mabadiliko ya lugha sehemu mahalia.
Kama huvielewi ni wewe na upeo wako usiseme havina uhalisia.kwanini watanzania tunapenda kufatilia vitu ambavyo havina uhalisi wala maana
Habari ndo hiyo,YESU KRISTU ni MUNGU.Kwanza niseme inaonekana umesoma au umesimuliwa Quruani kama hadithi lakini siyo kwa kuielewa ndiyo maana hukuilewa,nitaanza na hapa uliposema Yesu atakuja kuwahukumu wanadamu,kwani Yeye ndiye aliyewaumba?Mwenye uwezo wa kuwahukumu Wanadamu ni Mungu peke yake ambaye ana sifa zote za Uungu,hakuzaliwa hafi,hana mwanzo wala mwisho
Kwa kutokujua hicho tu unaonekana mwenyewe elimu yako ni ndogo kiasi kwamba huna uwezo wa kumchambua Issa na Yesu
unaona unakadha fuvu kwa YESU ambaye ni mungu wa wazunguHabari ndo hiyo,YESU KRISTU ni MUNGU.