Quran imeandikwa na watu na uandishi wake ulikuwa na makosa mengi sana. Tukisema tuamgalie usahihi wa kihistoria,kisayansi na kinabii hakuna mtu atakayebisha usahihi wa Bible na upungufu wa Quran.

Kwa maana hiyo basi kama Biblia zaidi ya mara 100 inamtaja Yesu kama Mungu hakuna namna huyu jamaa asiwe Mungu. Na hata hiyo Quran sometimes inajicontradict na kumtambua Yesu kama Mungu,iko hivyo unless tukubaliane na mtoa mada kuwa Issa sio Yesu Kristu.
 
Mbona kwenye King James Version ya 1611 hakuna neno Swaumu, idd Wala sheikh?
Nionyeshe hapa King James Version ya 1611 na siyo hii Biblia ya Kiswahili iliyotafsiriwa na masheikh kwasababu wazungu walikuwa hawajui lugha ya Kiswahili.
Johan Ludwig krapf ndiye aliyetafsiri biblia kwa kiswahili kwa Mara ya kwanza,siyo masheikh
 
Bro,acha kunyonya sehemu za Siri alfajir
 

Cha ajabu Yesu- yaana Kwa mujibu wako ni Mungu huwa anajisikia anamahitaji kama binaadamu mwingine anaenda chooni haja kubwa na ndogo, ana kula kama wengine, kujamba, kuchoka, kulala na kuamka nafikiri hata kujisikia hamu ya kufanya mapenzi atakua anahisi

Sitaki kuwafananisha issa na yesu kama nyie msivyotaka ila naona wakristo wengi wanamtukana YESU wao Kwa kupitia Issa bin mariam- kuna kitu hakipo Sawa

Na nipo mkono mmoja na wakristo wote wanaosema kuwa YESU sio Mungu bali ni mjumbe wa MUNGU
 
QURAAN INAMTAMBUA YESU KAMA " MESSIAH" MWANA WA MUNGU, NA MUNGU.

Surah Al Imran Ayat 45(quraan 3:35)

Says. And when the Angel said, " O Mary! Allah gives you the glad tidings of command from him, his name shall be " MESSIAH " Jesus, the son of Mary.

Wanaosoma vizuri Quraan wamamwamini Yesu kama Messiah mwana wa Mungu aliye hai, ambaye ni njia Kweli na Uzima.

Islam's na Waliookoka ni ndugu moja. Wote wanaAMINI katika Mungu mmoja Yesu Kristo.

Amen.
 
Muhammad (ﷺ) said, "By Him in Whose Hands my soul is, surely (Jesus,) the son of Mary will soon descend amongst you and will judge mankind justly ;.....Sahih al-Bukhari 3448
Maandiko yao hawayaelewi ila wanajifanya kuelewa maandiko ya wengine.
Anyway naskia Issa atakuja kwanza kuona.
Halafu ataanza kuua Nguruwe wote hawasemi kwanini aue Nguruwe aache Mbwa.
 
Yesu maana yake Mwokozi.
Isa maana yake nini
 
Upo nje ya hoja ndugu.
 
Quraan 3:45 Inamtaja Yesu ndiye Messiah.

Messiah ni mwana wa Mungu, Hivyo messiah Yesu ni Mungu.

Ni HASARA Kwa mwislam kutomwamini Yesu maana ndiye AJAYE kuuhukumu Ulimwengu,

Kwa maana ingine ndiye aliyeumba Ulimwengu,

Alikuja ktk mwili wa mwanadamu Ili Kuokoa Ulimwengu juu ya DHAMBI.

NB. Ni Bora umwamini Yesu kuliko kutoamini na umkute ndiye anayewatupa motoni wasiomwamini.

Quran 43:61 Inamtaja ISSA/Yesu Kristo Messiah ndiye atakayekuja kuuhukumu Ulimwengu juu ya DHAMBI.

Amen
 
Mtume ukimtazama kwa umakini ni kuwa moja ya lengo lake ni kupotosha ukweli ulioandikwa ktk Biblia.

Eti mama wa Yesu ni dada wa damu wa Nabii musa.
Kumbuka Musa alikuwa na dada aliyeitwa Miriam.
 
Kumbe Isa ni Esau kwa Kibrania.
Dah....Huyo Mtume alikuwa laghai haswa.
 
Mtume ukimtazama kwa umakini ni kuwa moja ya lengo lake ni kupotosha ukweli ulioandikwa ktk Biblia.

Eti mama wa Yesu ni dada wa damu wa Nabii muda.
Kumbuka Musa alikuwa na dada aliyeitwa Miriam.
Huyo ndiye aliyewachanganyia habari Islam's wasimjue Yesu,hakuwahi kufanya miujiza wowote na matendo yake hayaendani na Nabii wa Mungu.
 
Kihistoria Ukristo umeua Watu wengi kuliko Dini yoyote. Lakini hiyo sio mada Kwa Leo
Nakupinga, Yesu hakuagiza mauwaji ya wasiomwamini katika kueneza kwake.

Mambo hayo ya mauwaji yameratibiwa na Mpinga kristo chini ya yule aliyejivika mamlaka Eti amekabidhiwa Kanisa na Petroo, mtu huyo ni Raisss na ni kiongozi wa dini Fulani. Yeye ndo amejiambatisha na mifumo ya kisirukali duniani.

Kristo ni Pendo na Amani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…