Huyo isa sijui hao jamaa walimuokota kwenye jalala gani na kuanza kumfananisha na yesu
Wayahudi wametoka hadi filamu ya Matendo ya ndugu yao Yesu.

Katika filamu hiyo inaonyesha
1.Yesu akizaliwa,
2.Yesu akihubiri injiri
3.Yesu akiteswa
4.Yesu akisuribiwa msalabani
5.Yesu Akifa
6. Yesu akifufuka
7. Yesu akipaa Mbinguni.

Je Waislamu mnakubali hayo matendo pia yalimhusu Isa ?

Kama hamyakubali basi huyo Isa sio yule Yesu Myahudi.

As simpo as zati.
 
Ujaji wao
Issa atakuja kupambana na Masihi dajal Masihi wa Wayahudi, akija isa ndio dalili za kiama.
Yesu Kristo atakuja kulichukua kanisa atabakia mawinguni waliowake watakuwa na uwezo wa kupaaa kwenda kumlaki yaani unyakuo.
Na kuua Nguruwe wote. Halafu ataoa mke na kuanza maisha ya familia.
 
Mbona simulizi za kwenye Agano Jipya ni tofauti maana inasema ya kuwa Yuda Iskarioti alijiua, na Wala hakuteswa msalabani.
Na Agano Jipya imeandikwa na Ina miaka zaidi ya 600 kabla ya Qur'an.
 
Qurani ingekuwa ni kitabu sahihi kingeunganishwa kwenye Biblia.

Yaani Biblia ingekuwa na vitabu vyote yaani.
Torati, Zaburi, Injiri, Qurani.

Ila kutokana na ujanja ujanja wa Mtume maandiko yake hayapatani na ya Biblia.

Mfano
Mtume kayasilimisha Majini na kuyaingiza kwenye Dini ya Kiislamu kwa mala ya kwanza.
Majini na Ukristo ni vitu viwili tofauti kabisa.
Wakristo tunayona Majini ni roho chafu, koo za Ibrisi Shetani.

Je kwakuwa Ibrisi ni kiumbe cha Mungu inamaanisha naye kasilimu na kuwa Mwislamu?

Ki ukweli kabisa kule kwetu tunauona Uslamu kama Dini ya Kichawi.
 
Hahahaha .....ni-youtubike wakati vitabu vipo?
Alafu pili Hawa wayahudi wa Sasa wanaongea Yiddish sio pure Hebrew, mi sio mjinga.
Vitabu gani umesoma kinachoeleza hayo? Usilete porojo za Mwamposa. Kwanza classical hebrew imeshakufa zamani haitumiki.
Unakosa akili kufananisha kingereza na kiswahili lugha hazina muda mrefu kulinganisha na kiarabu.
 
Nchi gani hizo si uzitaje??
Unashindwa hata kuchangamsha ubongo. Ngoja nikusaidie kutokana akili yako imefungwa kutojua tofauti yake ya nchi na nchi

OccitanJèsus
PiedmonteseGesù
PolishJezus
PortugueseJesus
RomanianIisus (Eastern Orthodox) / Isus (other denominations)
RussianИисус (Iisus)
SardinianGesùs
SerbianIsus / Исус
SicilianGesù
Sinhalaජේසුස් වහන්සේ - Jesus Wahanse (Catholic Church), යේසුස් වහන්සේ - Yesus Wahanse (Protestantism)
ShonaJesu
SlovakJežiš
SlovenianJezus
SomaliCiise
SpanishJesús
SwahiliYesu
TajikИсо (Iso)
TamilYesu (இயேசு)
Teluguయేసు - ఏసు - Yesu
Thaiเยซู - "Yesu"
Turkishİsa, Yeşua
TurkmenIsa
UkrainianІсус (Isus)
Urduعیسیٰ
UzbekIso
VenetianJesu
VietnameseGiêsu, Dêsu
WelshIesu
XhosaYesu
YorubaJesu
Zomi (Tedim-Chin)Zeisuh (most common), Jesuh
ZuluuJesu
 
Katika bibilia Kuna Yesu wawili

1) YESU AMBAYE NDIO ISA

UTABIRI WA MANABII KUHUSU UJIO WA YESU/ ISA

Mathayo 2:6
Nawe Bethlehemu, katika nchi ya Yuda, Hu mdogo kamwe katika majumbe wa Yuda; Kwa kuwa kwako atatoka mtawala Atakayewachunga watu wangu Israeli.

YESU / ISA ANATHIBITISHA UTABIRI UMETIMIA

Mathayo 15:24
Akajibu, akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.

Yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.

NABII MUHAMMAD KUPITIA QURAN ANAPIGILIA MSUMARI KUWA YESU / ISA ALITUMWA NA MUNGU KAMA MTUME KWA WANA WA ISRAEL
Quran 61:6
Na Isa bin Mariamu alipo sema: Enyi Wana wa Israili! Hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu, ninaye thibitisha yaliyo kuwa kabla yangu katika Taurati, na mwenye kubashiria kuja Mtume atakaye kuja baada yangu; jina lake ni Ahmad!

2) YESU AMBAYE SIO ISA ILA NI GALASA LILILOTENGENEZWA NA PAULO NA NDIO YESU WA WAKRISTO

Tito 2:13
tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu;

Nakubaliana na wakristo Kwa 100% kuwa Yesu wao wanaye muhubiri na kumuabudu makanisani sio Isa iliyetajwa ndani ya Quran.
 
Vitabu gani umesoma kinachoeleza hayo? Usilete porojo za Mwamposa. Kwanza classical hebrew imeshakufa zamani haitumiki.
Unakosa akili kufananisha kingereza na kiswahili lugha hazina muda mrefu kulinganisha na kiarabu.
Biblia imeandikwa Kwa kutumia classical Hebrew na ikitafsiriwa kwenda kwenye lugha ya Kigiriki kabla ya Kristo, sijui unaongea vitu gani.
Toleo la King James 1611 hakuna neno sheikh, Wala idi Wala neno lolote la kiarabu.
 
Mathayo unayotumia inasema Yesu alikufa, na alikuwa na Yesu hata kabla ya Paulo.
 
1) YESU AMBAYE NDIO ISA

Yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.
Huyo Isa alikuwepo kabla ya ulimwengu kuwepo ? Na ana Baba ?

Yohana 17: 5 Sasa, Baba, nitukuze mbele yako kwa ule utukufu niliokuwa nao kabla ya kuumbwa ulimwengu.
 
Huyo Isa alikuwepo kabla ya ulimwengu kuwepo ? Na ana Baba ?

Yohana 17: 5 Sasa, Baba, nitukuze mbele yako kwa ule utukufu niliokuwa nao kabla ya kuumbwa ulimwengu.
Jamaa hajui anachokiandika, kasoma Injili nne juujuu, ukisoma kwa umakini UTAGUNDUA kuwa Yesu sio Isa
 
Si ndio maana Tunasema hatuna taarifa zake sahihi,au chini ya mtende?
Nabii issa alayhi ssalaam ni mtume kwa wana wa israeli so alizaliwa hukohuko kwao, na hakuwa mtume wa waarabu wala watu wa race nyingine.

Ama huu mtende usikuzuzue ulikuwa ni muujiza tu kwa mariam, maana hizo tende zilitoka kwenye kigogo kisichokuwa na uhai na pia alitolewa kijito kidogo cha maji baridi, hii yote ni miujiza kwaajili ya ukubwa wa jambo la nabii iysa alayhi ssalaam, ama habari za hori la ng'ombe mimi sizijui maana sijui usahihi wake na zinapingana na maelezo yaliyokuja kwenye Qur'an, kwani alipopata ule ujauzito alijitenga mbali na watu, na mind you hatuna issa mwingine zaidi ya huyuhuyu mnayemuabudu na habari za nyinyi kumuabudu zimetajwa kwenye Qur'an kwa uwazi kwasababu yeye ametangulia na walioanza kumuabudu sio wanafunzi wake kabisa kabisa.
 
Biblia imeandikwa Kwa kutumia classical Hebrew na ikitafsiriwa kwenda kwenye lugha ya Kigiriki kabla ya Kristo, sijui unaongea vitu gani.
Toleo la King James 1611 hakuna neno sheikh, Wala idi Wala neno lolote la kiarabu.
Fanya uchunguzi vizuri. Agano la kale ndiyo limetumika 'Classical Hebrew' kitabu ambacho wanatumia wayahudi. Agano jipya lilitumia "koine greek", ambacho kigiriki cha zamani ambacho kimeshajifia.

Waliotunga biblia wote wamewaelezea we unaleta ya kutunga. Unafuata kitabu hata historia yake hauifahamu
 
Hatumwabudu Isa , tunamwabudu Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo aitwaye YHWH kama tulivyoambiwa na Mitume katika Matendo ya Mitume.
 
Nimekaa darasani kwa zaidi ya miaka 9 na najua nachokiandika.
Unajua Septuangit Bible wewe?
Ilikuwepo kabla ya Kristo na ikitafsiriwa kwa lugha ya Kigiriki na Wayahudi walikuwa wanaitumia sana.
 
Isa alizaliwa mji gani, chi gani na , chini ya utawala upi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…