Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 4,152
- 8,631
Kuna kaswali kadogo nikuulize mkuu, hili agano jipya liliandikwa na nani?.Mbona simulizi za kwenye Agano Jipya ni tofauti maana inasema ya kuwa Yuda Iskarioti alijiua, na Wala hakuteswa msalabani.
Na Agano Jipya imeandikwa na Ina miaka zaidi ya 600 kabla ya Qur'an.
Hakuna aliyetunga Biblia, iliandikwa na imetafsiriwa. Hakuna maneno ya Kiislamu mule katika matoleo yote yasiyo ya KiswahiliFanya uchunguzi vizuri. Agano la kale ndiyo limetumika 'Classical Hebrew' kitabu ambacho wanatumia wayahudi.
Agano jipya lilitumia "koine greek", ambacho kigiriki cha zamani ambacho kimeshajifia. Waliotunga biblia wote wamewaelezea we unaleta ya kutunga. Unafuata kitabu hata historia yake hauifahamu
Na wanafunzi wa Yesu.Kuna kaswali kadogo nikuulize mkuu, hili agano jipya liliandikwa na nani?.
Na wanafunzi wa Yesu walioshiriki naye pamoja na pia na wengine ambao walimuamini YeyeKuna kaswali kadogo nikuulize mkuu, hili agano jipya liliandikwa na nani?.
Umelishwa matango mapori. Umelishwa matango mapori kwa kuambiwa kitu hata kukisoma haukijui.Nimekaa darasani kwa zaidi ya miaka 9 na najua nachokiandika.
Unajua Septuangit Bible wewe?
Ilikuwepo kabla ya Kristo na ikitafsiriwa kwa lugha ya Kigiriki na Wayahudi walikuwa wanaitumia sana.
Katika bibilia Kuna Yesu wawiliHuyo Isa alikuwepo kabla ya ulimwengu kuwepo ? Na ana Baba ?
Yohana 17: 5 Sasa, Baba, nitukuze mbele yako kwa ule utukufu niliokuwa nao kabla ya kuumbwa ulimwengu.
Unaona hapo utofauti wa ujinga wa kutafsiri ovyo bila kutoa kwenye "original source"? Matokeo yake wanafanya yao.Hakuna aliyetunga Biblia, iliandikwa na imetafsiriwa. Hakuna maneno ya Kiislamu mule katika matoleo yote yasiyo ya Kiswahili
Hebrew haina letter J. Utuambie hiyo Joachim umetoa wapi. Umemezeshwa Joseph, John, Jesus na wewe ukaamini bila kutumia akili.Babu yake Yesu Mzaa Mama ni Joachim!
Babu yake isa ni imrani!
[emoji116][emoji116]
وَمَرْيَمَ ابْنَتَ عِمْرَانَ الَّتِي أَحْصَنَتْ فَرْجَهَا فَنَفَخْنَا فِيهِ مِن رُّوحِنَا وَصَدَّقَتْ بِكَلِمَاتِ رَبِّهَا وَكُتُبِهِ وَكَانَتْ مِنَ الْقَانِتِينَ
[ ATTAH'RIIM - 12 ]
Na Mariamu binti wa Imrani, aliye linda ubikira wake, na tukampulizia humo kutoka roho yetu, na akayasadiki maneno ya Mola wake Mlezi na Vitabu vyake, na alikuwa miongoni mwa wat'iifu.
Unaelewa maana ya kukusudiwa/mkusudiwa mkuu? Unachokifanya wewe hapa ni kutuambia kuwa Qur'an inapomuelezea Isa haimkusudii Yesu kwa sababu maelezo yake hayafanani sawa sawa na ya kwenye biblia. Point ni kwamba anayekusudiwa ni ndio huyo huyo mmoja kwamba Qur'an inapomtaja Isa ndio humkusudia huyo huyo Yesu aliyepewa injili na kuzaliwa bila baba na kupinga kuwa hakuwa Mungu wala mtoto wa Mungu.Sasa Kama Quran inamkusudia Issa ndiye Yesu Wakati huohuo Quran inasema Yesu Hakusulubishwa bali walifananishiwa mtu na issa aliepa kifo bado unaona aliyekusudiwa na Quran ndie Yesu?
Embu jibu hizo hoja kwenye mada Mkuu.
Mbona sijaona hata mmoja anayejitahidi kuzipangua hizo hoja
Umenukuu Yohana kuthibitisha Isa , na Mimi nimenukiu apo apo sasa jibu maswali kama nilivyoliuliza1) YESU AMBAYE NDIO ISA
Yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.
Nasema Agano la Kale ndio, hakuna neno sheikh Wala idi mule.Umelishwa matango mapori. Umelishwa matango mapori kwa kuambiwa kitu hata kukisoma haukijui.
Mtafute professor Bart Denton Ehrman aliyesomea mambo hayo akupe somo vizuri anayejua lugha nyingi ikiwemo hicho kigiriki na kiyahudi.
Ujifunze 'new testament' imepatikana lini na kupachikwa pamoja na old statement.
Ukigusia septuangit unagusa kwenye agano la kale na sio agano jipya.
Mi natumia KJV , the oldest translation na huko hakuna neno la Kiislamu huko, na pia Yesu alikufa.Unaona hapo utofauti wa ujinga wa kutafsiri ovyo bila kutoa kwenye "original source"? Matokeo yake wanafanya yao.
Hiyo tofauti ya KJV na NIV. Hapo sijakuwekea RSNIV ya karibuni watu walivyobadilisha mambo.
Matokeo makanisani wahuni wanawafanya wanavyotaka kwa kutafsiri ovyo maandiko.
View attachment 2610734
Waislamu wanadanganya watu, eti Yesu ndio lssa bin Mariam, lakini hawa ni watu wawili tofauti kabisa.
Yesu alizaliwa kwenye hori la ng'ombe na lssa bin Mariam yeye alizaliwa chini ya mtende.
Watu hawa wana tofauti nyingi sana, nawaomba ndugu waislam waache kumlinganisha Yesu na lssa.
Na nimesema Septuangit ilikuwepo kabla ya Kristo usichokielewa ni nini?Umelishwa matango mapori. Umelishwa matango mapori kwa kuambiwa kitu hata kukisoma haukijui.
Mtafute professor Bart Denton Ehrman aliyesomea mambo hayo akupe somo vizuri anayejua lugha nyingi ikiwemo hicho kigiriki na kiyahudi.
Ujifunze 'new testament' imepatikana lini na kupachikwa pamoja na old statement.
Ukigusia septuangit unagusa kwenye agano la kale na sio agano jipya.
Namba 10 ni uongo uliotukuka.P
- Mungu Baba alitewaumba Adamu na Eva/Hawa ni Mungu mmoja kwa Waislamu na Wakristo, hivyo The Almighty God ndie Allah Subhana Wataala
- Nabii Ibrahim ndio Nabii Abraham aliyeeazaa Wakristo na Waislamu.
- Waislamu ni uzao wa mwana wa kwanza wa Nabii Ibrahim aitwae Ismail aliyezaliwa na mjakazi wa ki Misri Hagir.
- Wakristo ni uzao wa mwana wa pili wa Ibrahim aitwae Asaka aliyezaliwa na mkewe Sarah.
- Isaka akamzaa Yakobo ambaye ndie Israeli.
- Yakobo akazaa watoto 12 ambao walihamia Misri na kuishi utumwani kwa miaka 400!
- Musa akawakomboa wana wa Israel toka utumwani Misri
- Musa ndie alikabidhiwa amri Kuu za Mungu ambazo ni zile zile za Wakristo na Waislamu.
- Kitabu cha Kumbukumbu la Torati ndani ya Biblia Takatifu, ndicho hicho hicho cha Taurat ya kwenye Quran Tukufu
- Nabii Issa Bin Maryam wa kwenye Quran Tukufu ndiye Yesu Kristo wa kwenye Biblia
Sisi Wakristo Tunaangalia Ujumbe wa Andiko!; Sio kama waislamu wanao Kariri qaraa!Unaona hapo utofauti wa ujinga wa kutafsiri ovyo bila kutoa kwenye "original source"? Matokeo yake wanafanya yao.
Hiyo tofauti ya KJV na NIV. Hapo sijakuwekea RSNIV ya karibuni watu walivyobadilisha mambo.
Matokeo makanisani wahuni wanawafanya wanavyotaka kwa kutafsiri ovyo maandiko.
View attachment 2610734
Ukiwa unasujudu kwenye swala zako utapata sijida(hiyo alama nyeusi).hujasoma Aya niliyokupa,naiweka TenaLakini hana huo uchafu kwenye paji la uso kama wewe!!