inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,805
- 22,633
Uwongo,agano jipya Lina vitabu 27,kati ya hivyo inasadikika 13 vimeandikwa na Paulo,kati ya hivyo ni 6 ndiyo Kuna uhakika kweli vimeandikwa na Paulo,Paulo alikua akimpinga yesu,yesu alipoondoka Paulo akielekea Damascus Syria akadai kutokewa na yesu na kupewa utume,so Paulo hakuwahi kuwa mwanafunzi wa yesuNa wanafunzi wa Yesu.
Mwanafunzi wa Yesu sio lazima amuone Yesu uso kwa uso, kwa kumuamini ni umehesabiwa kuwa mwanafunzi wa Yesu.Uwongo,agano jipya Lina vitabu 27,kati ya hivyo inasadikika 13 vimeandikwa na Paulo,kati ya hivyo ni 6 ndiyo Kuna uhakika kweli vimeandikwa na Paulo,Paulo alikua akimpinga yesu,yesu alipoondoka Paulo akielekea Damascus Syria akadai kutokewa na yesu na kupewa utume,so Paulo hakuwahi kuwa mwanafunzi wa yesu
Nimekuambia katika bibilia Kuna Yesu wawili huyo mmoja mnaemuita Mungu mkuu, Mungu, sijui mwana wa Mungu huyo ndio Yesu wenu wakristo na Mimi Sina shida nakubali 100% huyo sio IsaUmenukuu Yohana kuthibitisha Isa , na Mimi nimenukiu apo apo sasa jibu maswali kama nilivyoliuliza
Huyo Isa alikuwepo kabla ya ulimwengu kuwepo ? Na ana Baba ?
Yohana 17: 5 Sasa, Baba, nitukuze mbele yako kwa ule utukufu niliokuwa nao kabla ya kuumbwa ulimwengu.
Kama ni uongo huu ni wa Phd!Uwongo,agano jipya Lina vitabu 27,kati ya hivyo inasadikika 13 vimeandikwa na Paulo,kati ya hivyo ni 6 ndiyo Kuna uhakika kweli vimeandikwa na Paulo,Paulo alikua akimpinga yesu,yesu alipoondoka Paulo akielekea Damascus Syria akadai kutokewa na yesu na kupewa utume,so Paulo hakuwahi kuwa mwanafunzi wa yesu
Kitabu Cha Yohana unacho nukuu na kusema ni Isa ameandikwa humo , kinasemaNimekuambia katika bibilia Kuna Yesu wawili huyo mmoja mnaemuita Mungu mkuu, Mungu, sijui mwana wa Mungu huyo ndio Yesu wenu wakristo na Mimi Sina shida nakubali 100% huyo sio Isa
Yesu/ Isa anakujibu swali lako kama haujaelewa au hauliamini hili andiko sema
Yohana 20:17
Yesu akamwambia. Usinishike; kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba. Lakini enenda kwa ndugu zangu ukawaambie, Ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu.
Unakulupuka kunukuu Aya ikutetee ujinga wako ambayo kilicho Andikwa ndani Hukiamini!Nimekuambia katika bibilia Kuna Yesu wawili huyo mmoja mnaemuita Mungu mkuu, Mungu, sijui mwana wa Mungu huyo ndio Yesu wenu wakristo na Mimi Sina shida nakubali 100% huyo sio Isa
Yesu/ Isa anakujibu swali lako kama haujaelewa au hauliamini hili andiko sema
Yohana 20:17
Yesu akamwambia. Usinishike; kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba. Lakini enenda kwa ndugu zangu ukawaambie, Ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu.
issa ni jina na yesu ni nenoYESU Alipo zaliwa sauti ilitoka JUU. HALELUYAAA.
Kwa mujibu ku lani isa alipozaliwa sauti ilitoka chini! duu.
Nyinyi mna mtindio wa ubongo mbona hamuelewi nimekuambia huyo Yesu mtoto wa Mungu sijui Mungu sijui mwana wa Mungu huyo ni wenu na huyo sio IsaUnakulupuka kunukuu Aya ikutetee ujinga wako ambayo kilicho Andikwa ndani Hukiamini!
ww Unaamini Yesu Baba yake ni Mungu??[emoji101]
muhammad ni mtume wa Mungu ni maneno ya nani??Ukiwa unasujudu kwenye swala zako utapata sijida(hiyo alama nyeusi).hujasoma Aya niliyokupa,naiweka Tena
QUR'AN 48:29
Muhammadi mtume wa m/Mungu...utawaona wakiinama na kusujudu wakitafuta fadhila na radhi za mwenyezi Mungu.Alama zao zi katika nyuso zao kwa 'athari ya kusujudu'.Huu ndiyo mfano wao katika TAURATI.Na mfano wao katika INJILI
Nyinyi mna mtindio wa ubongo mbona hamuelewi nimekuambia huyo Yesu mtoto wa Mungu sijui Mungu sijui mwana wa Mungu huyo ni wenu na huyo sio IsaKitabu Cha Yohana unacho nukuu na kusema ni Isa ameandikwa humo , kinasema
Yohana 17: 5 Sasa, Baba, nitukuze mbele yako kwa ule utukufu niliokuwa nao kabla ya kuumbwa ulimwengu.
Sasa ujibu maswali yangu
Isa ana Baba ?
Isa alikuwepo kabla ya ulimwengu kuwepo?
Kama huwezi kujibu ayo maswali achana na kunukuu vitabu visivyo muhusu Isa
Mungu yesu kafufuliwa na MUNGU Tena!!?..unaona njia ya mwongo ilivyo fupi!!..biblia hiyohiyo inasema yesu MUNGU,huu ni upogo unadhihirisha uwongo,kwa hiyo hata wewe uliyemwamini yesu kuwa ni Mungu nawe ni mwanafunzi wake!?Mwanafunzi wa Yesu sio lazima amuone Yesu uso kwa uso, kwa kumuamini ni umehesabiwa kuwa mwanafunzi wa Yesu.
Pili hata wale waliokuwa na Yesu uso Kwa uso waliandika kuwa Yesu alikufa na Mungu akamfufua siku ya tatu.
Na Paulo anasema kitu kilekile, so hakuna tofauti hapo.
Mathayo aliandika Yesu alikufa na KUFUFULIWA.
Yohana aliandika Yesu alikufa na KUFUFULIWA..
Petro alisema waziwazi kuwa Yesu alikufa na KUFUFULIWA katika kitabu cha Matendo ya Mitume.
Ni sawa, kwa maana agano jipya ni maneno yao au maneno ya yesu au maneno ya allah?.Na wanafunzi wa Yesu.
Kwahyo tunaweza kukata kauli kwamba hilo agano ulilotaja si maneno ya muumba wa mbingu na nchi kwa ukamilifu wake kwasababu kumechanganyika maneno ya wanadamu ndani yake na hakuna regulator wa kutunza usahihi wake, na mbona naambiwa agano jipya na la kale hukmu zake zinagongana?.Na wanafunzi wa Yesu walioshiriki naye pamoja na pia na wengine ambao walimuamini Yeye
Soma ewe Amanu.Mungu yesu kafufuliwa na MUNGU Tena!!?..unaona njia ya mwongo ilivyo fupi!!..biblia hiyohiyo inasema yesu MUNGU,huu ni upogo unadhihirisha uwongo,kwa hiyo hata wewe uliyemwamini yesu kuwa ni Mungu nawe ni mwanafunzi wake!?
Hakuna mtu kalipinga andiko[
Huyu anaeongea hapa ni Yesu/ Isa hivyo mkilipinga hili andiko sushangai
Yohana 20:17
Yesu akamwambia. Usinishike; kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba. Lakini enenda kwa ndugu zangu ukawaambie, Ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu[/B]
Unaposema maneno ya kiislamu unamaanisha nini, hivi unatambua kuwa source ya Qur'an, torati, injili na zaburi ni moja? unalijua hili?.Hakuna aliyetunga Biblia, iliandikwa na imetafsiriwa. Hakuna maneno ya Kiislamu mule katika matoleo yote yasiyo ya Kiswahili
Kuna vitabu vya Allah , injili ya Isa ,Zaburi ya muislamu Daudi ,torati ya muislamu Musa , vitabu vyote Allah kakiri vimepoteaUnaposema maneno ya kiislamu unamaanisha nini, hivi unatambua kuwa source ya Qur'an, torati, injili na zaburi ni moja? unalijua hili?.