Tatizo sio Jina! Jee Maana ya Jina ina Mlingano??issa ni jina na yesu ni neno
ukifuatilia kwa makini kila jamii ama nchi inajina lake. kwa mfno. Jesus, Yesu lkn alikiwa na jina lake pia ni lipi?
Hawawezi thubutu kutumia jina Yesu , wanapiga kelele humu tu lakina hakuna translation ata moja ya Koran ya kiswahili imetumia hilo jina la YesuIsa maana yake ni wekundu uliochanganyika na weupe. kwa maneno mengine ni uzeruzeru.
Yesu maana yake Mwokozi.
Nauliza kama Yesu ni Jesus kwa Kiswahili.
Mbona Qurani zote za Kiswahili zinaogopa kuandika jina la Yesu kwa Kiswahili na zimeandika Isa?
Yaani tungeliona ndani ya Qurani za Kiswahili Jina la Yesu badala ya Isa. kama kweli Jesus ni Isa kwa Kiswahili.
Tukisema unakusudia kudanganya watu tutakuwa tunakosea? ibrahim alayhi ssalaam ndiye baba halali wa ismail na is-haqa na huyu ismail alayhi ssalaam ndiye aliyetaka kuchinjwa kwa kauli ya sahihi.Ukweli ni huu hakunaga nabii isa , ila Kuna jina Yesu lipo , kila kitu waislamu wametengeneza wanaamini Kwa kitu hakipo kiuhalisia . Na nabii isa sio Isa ni issaka ni mtoto wa abrahamu so elewa hili ukristo upo ila uislamu ni dini ya kuconectiwa ni ya mchongo ,
Anza Kwa hivi uislamu umetokea wapi?? Hapo zamani kulikuwa na Ambraham na mkewe Sara.
Walikuwa wanapendana sana ila Wana utajiri ndio Mungu akamtuma malaika amwambie abrahamu azae na kijakazi wake wakapata mtoto mwanaume siku zikasonga maisha yakaenda akawa mkubwa ila Mungu akasema anataka uzao wa halali wa abrahamu ndipo Sara akazaa uzeeni na baada yakuzaliwa Issaka.
Ndio yule mtoto wa nje akatimuliwa na mama yake , ndioo akaona haina haja ya kumwabudu Mungu aliyekuwa wa baba yake ndio akaanzisha dini yake ambayo ndio ya kiislam ambayo yeye ndio alikuja kupata waumini wake hadi Sasa ndio nyie .
Wewe mwenyewe ni pepo hwishi kubadilika mara mufti lion mara mgenTatizo sio Jina! Jee Maana ya Jina ina Mlingano??
Maana ya Yesu ni MWOKOZI nenda popote Maana haibadiliki!
Issa lina Maana gani??
Kemea pepo kwa Jina la issa kama halikukuvamia rohoni!
Kemea kwa Jina la Yesu uone pepo atakavyo chimba!
Kwa taarifa muhammamekufa bila kutamka Jina la Yesu!
Angetamka tu Angepona!
Ishmaeli ni mtoto wa nje wa Abraham ila sio wandani , wa nje ya ndoa isaka ndio mtoto wa ndoa wa Abraham na yeye ndio alitakwa kuchinjwa na babaye ambapo Mungu alimuamuru afanye hivyo kama sadaka so acha kudanganya jamiiTukisema unakusudia kudanganya watu tutakuwa tunakosea? ibrahim alayhi ssalaam ndiye baba halali wa ismail na is-haqa na huyu ismail alayhi ssalaam ndiye aliyetaka kuchinjwa kwa kauli ya sahihi.
Na yeye ndiye babu wa waarabu baada ya kuchangamana na waarabu wa kabila la bani jurhuum wakati amehamishwa hapo yeye na mama yake haajar, na kuhamia hapo hawakuhama kwa kufukuzwa bali ibrahim aliwaleta mwenyewe kwa amri ya mola wake, na yeye akapewa utume kama alivyopewa baba yake na mdogo wake is-haqa pia na huyu is-haqa alayhi ssalaam ndiye baba yake na yaaqub alayhi ssalaam ambaye ndiye israeli mwenyewe na ndio baba wa wana wa israeli, ukiona katika Qur'an pamesemwa enyi wana wa israeli! basi ni koo zao 12 ambazo zimetokana na watoto 12 wa huyu nabii yaaqub alayhi ssalaam ambaye mmoja wa watoto wake ni nabii yuusuf alayhi ssalaam na benjamin pia, na yuusuf aliishi nchi ya misri kwa miaka mingi na kisa chake kimeelezwa kwenye Qur'an kwa urefu na usahihi kuliko mahala popote pale.
Ukitizama kwa umakini na uchambuzi wa kina utagundua familia ya ibrahim alayhi ssalaam ilikirimiwa kwa kupewa ufalme na utume kwa kiwango cha juu kabisa, na mitume wengi walitoka kwa upande wa is-haqa alayhi ssalaam ila upande wa ismail alayhi ssalaam ulimtoa mtume mmoja tu nae ni mtume muhammad swala na salaam ziwe juu yake na nasabu yake mpaka kwa ismail alayhi ssalaam imetunzwa na kuhifadhiwa kwa ukamilifu wake, hii ni dalili kuwa wanawachuoni wa kiislamu wamebobea katika uandishi na uhifadhi wa historia kuliko watu wowote wale.
"Au wanawahusudu watu kwa yale aliyowapa allah kwa fadhila zake? basi kwa hakika tuliwapa familia ya ibrahim kitabu na hekima na tukawapa wao ufalme mkubwa."
Qur'an 4:54
Hili ni kusema mitume wengi baada ya nabii ibrahim alayhi ssalaam ni kutokana na kizazi chake yeye na ndio maana huitwa baba wa mitume, na ni mamoja wamepitia kwa njia ya ishaqa au ismail amani iwe juu yao.
Kujibu swali lako kwa ufupi, tafuta kwanini mayahudi walihamia bara arabu wakafanya ukazi katika mji wa madinah hata kabla mtume muhammad swala na salaam ziwe juu yake hajazaliwa, ukipata majibu karibu kwa mjadala.
Nilikueleza jana kuwa huwezi kamwe kumtofautisha nabii issa alayhi ssalaam na jina la yesu kwa upande kwa kihebrania, kwasababu huyu nabii issa ndiye uzi mwembamba baina ya ukristo na uislamu, kinachoendelea ni kumtofautisha ili kuvunja hoja zilizowashinda nguvu ta karne na karne, japo kuna mambo ya kurekebisha kwenye bandiko la Pascal Mayalla.Namba 10 ni uongo uliotukuka.
Acha kupotosha wewe kafiri…Duniani dini ni moja tu, UislamUnajua maana ya dini kwanza?
Ukishajua maana ya dini ndo jawabu tosha
Ata wale wanosema hawana dini sio kweli bali mfumo wa maisha wanoufuata ndo dini yao
Tuwekee hiyo source tuone MlinganoUnaposema maneno ya kiislamu unamaanisha nini, hivi unatambua kuwa source ya Qur'an, torati, injili na zaburi ni moja? unalijua hili?.
Mkuu nabii iysa alayhi ssalaam alikuja kuabudiwa baadae baada ya kina paulo kuwadanganya watu na kujifanya wametokewa na roho mtakatifu, na hili limetajwa katika Qur'an kwa urefu.Katika bibilia Kuna Yesu wawili
1) YESU AMBAYE NDIO ISA
UTABIRI WA MANABII KUHUSU UJIO WA YESU/ ISA
Mathayo 2:6
Nawe Bethlehemu, katika nchi ya Yuda, Hu mdogo kamwe katika majumbe wa Yuda; Kwa kuwa kwako atatoka mtawala Atakayewachunga watu wangu Israeli.
YESU / ISA ANATHIBITISHA UTABIRI UMETIMIA
Mathayo 15:24
Akajibu, akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.
Yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.
NABII MUHAMMAD KUPITIA QURAN ANAPIGILIA MSUMARI KUWA YESU / ISA ALITUMWA NA MUNGU KAMA MTUME KWA WANA WA ISRAEL
Quran 61:6
Na Isa bin Mariamu alipo sema: Enyi Wana wa Israili! Hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu, ninaye thibitisha yaliyo kuwa kabla yangu katika Taurati, na mwenye kubashiria kuja Mtume atakaye kuja baada yangu; jina lake ni Ahmad!
2) YESU AMBAYE SIO ISA ILA NI GALASA LILILOTENGENEZWA NA PAULO NA NDIO YESU WA WAKRISTO
Tito 2:13
tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu;
Shida yako ipo wapi nimekuambia huyo Yesu GALASA mlilotengenezewa na Paulo wengine wanamuita Mungu mkuu ,wengine Mungu ,wengine sijui mwana wa Mungu
Nimekuambia nakubaliana na wakristo 100% huyu Yesu wenu sio Isa wa ndani ya Quran
Ila kama unamuongelea Yesu/ Isa alitajwa ndani ya Quran lete hoja zenye mashiko
Yesu/ Isa wa ndani ya Quran sifa zake ni hizi
Amezaliwa na Mariam bint Imran
Amepewa utume na Mungu Kwa ajili ya Wana wa Israel
Amepewa kitabu Cha Injili
Hahahaaa huyo baba yake ni nani!?Soma ewe Amanu.
Yohana 10:17 Ndiposa Baba anipenda, kwa sababu nautoa uhai wangu ili niutwae tena.
18 Hakuna mtu aniondoleaye, bali mimi nautoa mwenyewe. Nami ninao uweza wa kuutoa, ninao na uweza wa kuutwaa tena. Agizo hilo nalilipokea kwa Baba yangu.
Katika Qur'an imekuja عيسى بن مريم wao wakatafsiri issa mwana wa maryam, ubaya uko wapi?.Isa maana yake ni wekundu uliochanganyika na weupe. kwa maneno mengine ni uzeruzeru.
Yesu maana yake Mwokozi.
Nauliza kama Yesu ni Jesus kwa Kiswahili.
Mbona Qurani zote za Kiswahili zinaogopa kuandika jina la Yesu kwa Kiswahili na zimeandika Isa?
Yaani tungeliona ndani ya Qurani za Kiswahili Jina la Yesu badala ya Isa. kama kweli Jesus ni Isa kwa Kiswahili.
Wala watu hawakuamrishwa kutibu kwa kutumia majina ya wanadamu wenzao, bali watu wameamrishwa kumtegemea muumba wa mbingu na nchi peke yake na hilo ni ibada.Tatizo sio Jina! Jee Maana ya Jina ina Mlingano??
Maana ya Yesu ni MWOKOZI nenda popote Maana haibadiliki!
Issa lina Maana gani??
Kemea pepo kwa Jina la issa kama halikukuvamia rohoni!
Kemea kwa Jina la Yesu uone pepo atakavyo chimba!
Kwa taarifa muhammad amekufa bila kutamka Jina la Yesu!
Angetamka tu Angepona!
Haajar hakuwa mwanamke wa mtaani bali alikuwa kijakazi wake na sarah ndiye aliyemwambia amuoe ili wapate mtoto kutokana na yeye kuzeeka, ibrahim alayhi ssalaam ni mtume kamwe watu hawa hawafanyi makosa makubwa ya kutia aibu kama kuzaa nje ya ndoa, na wamekingwa na makosa.Ishmaeli ni mtoto wa nje wa Abraham ila sio wandani , wa nje ya ndoa isaka ndio mtoto wa ndoa wa Abraham na yeye ndio alitakwa kuchinjwa na babaye ambapo Mungu alimuamuru afanye hivyo kama sadaka so acha kudanganya jamii
Umenena ila woote hao kama unavotaka kuwatenganisha hakuna kati yao aliewahi sema kwa mdomo wake sio mtu amsemee,mimi ni Mungu mniabudie.Waislamu wanadanganya watu, eti Yesu ndio lssa bin Mariam, lakini hawa ni watu wawili tofauti kabisa.
Yesu alizaliwa kwenye hori la ng'ombe na lssa bin Mariam yeye alizaliwa chini ya mtende.
Watu hawa wana tofauti nyingi sana, nawaomba ndugu waislam waache kumlinganisha Yesu na lssa.
Kijakazi hakuolewa ila Abraham alioa mke wapili ,Hivi ndivyo vizazi vya Ishmaeli, mwana wa Ibrahimu, ambaye Hajiri, Mmisri, mjakazi wa Sara, alimzalia Ibrahimu. Na haya ndiyo majina ya wana wa Ishmaeli, kwa majina yao, na kwa vizazi vyao. Mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli, ni Nebayothi, na Kedari, na Abdeeli, na Mibsamu, na Mishma, na Duma, na Masa, na Hadadi, na Tema, na Yeturi, na Nafishi, na Kedema. Hao ndio wana wa Ishmaeli, na hayo ni majina yao,Haajar hakuwa mwanamke wa mtaani bali alikuwa kijakazi wake na sarah ndiye aliyemwambia amuoe ili wapate mtoto kutokana na yeye kuzeeka, ibrahim alayhi ssalaam ni mtume kamwe watu hawa hawafanyi makosa makubwa ya kutia aibu kama kuzaa nje ya ndoa, na wamekingwa na makosa.
Ni katika ukristo pekee utakuta mitume wanatukanwa kuwa ni walevi, mara wamezini na watoto wao wa kike, mara wameingiliwa kinyume na maumbile, mara wameiba wake wa majirani zao na matusi kama hayo, ibrahim ni mtume na ana heshima kubwa na ni kipenzi cha allah haimpasii yeye kuzaa nje ya ndoa.
Kuna swali nimekuuliza pale chini kwenye bandiko langu la juu nipatie majibu inshaallah.
Nyinyi mna mtindio wa ubongo mbona hamuelewi nimekuambia huyo Yesu mtoto wa Mungu sijui Mungu sijui mwana wa Mungu huyo ni wenu na huyo sio Isa
Ila Yesu/ Isa anasema baba yake ndio baba yetu na Mungu wake ndio Mungu wetu
Huyu anaeongea hapa ni Yesu/ Isa hivyo mkilipinga hili andiko sushangai
Yohana 20:17
Yesu akamwambia. Usinishike; kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba. Lakini enenda kwa ndugu zangu ukawaambie, Ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu
Isa alikufa au hakufa?Nilikueleza jana kuwa huwezi kamwe kumtofautisha nabii issa alayhi ssalaam na jina la yesu kwa upande kwa kihebrania, kwasababu huyu nabii issa ndiye uzi mwembamba baina ya ukristo na uislamu, kinachoendelea ni kumtofautisha ili kuvunja hoja zilizowashinda nguvu ta karne na karne, japo kuna mambo ya kurekebisha kwenye bandiko la Pascal Mayalla.
"Na hizo ndizo hoja zetu tulizompa ibrahim kuhojiana na watu wake, tunamnyanyua kwa daraja tumtakaye, hakika mola wako ni mwenye hekima mwenye elimu."Tuwekee hiyo source tuone Mlingano
Injili ipi unayosema, hii ya akina Mathayo au Kuna nyingine?Unaposema maneno ya kiislamu unamaanisha nini, hivi unatambua kuwa source ya Qur'an, torati, injili na zaburi ni moja? unalijua hili?.
Kuna maswali nilikuuliza kule juu kuhusu agano jipya na la kale ungenijibu tungepata majibu ya hili swali.Isa alikufa au hakufa?
Yesu alikufa na KUFUFULIWA na Mungu Mkuu.
Sasa wanakuwaje sawa?