Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 4,152
- 8,631
Mathayo ni nani? injili ni kitabu alichoteremshiwa nabii issa alayhi ssalaam mathayo ni nani tena?.Injili ipi unayosema, hii ya akina Mathayo au Kuna nyingine?
Kwa mujibu wa Koran yakub alikpataje jina la Israel? Na jina Israel Lina maana gani?na yaaqub alayhi ssalaam ambaye ndiye israeli mwenyewe na ndio baba wa wana wa israeli,
2 Petro 1:21Kwahyo tunaweza kukata kauli kwamba hilo agano ulilotaja si maneno ya muumba wa mbingu na nchi kwa ukamilifu wake kwasababu kumechanganyika maneno ya wanadamu ndani yake na hakuna regulator wa kutunza usahihi wake, na mbona naambiwa agano jipya na la kale hukmu zake zinagongana?.
Baina ya agano jipya na la kale kumepita miaka mingapi ya uandishi mkuu.
Mi natumia BIBLIA nzima, AGANO JIPYA Lina miaka 600 , Ina Maana Allah alikuwa wapi miaka yote mpaka aseme imekosewa?Kuna maswali nilikuuliza kule juu kuhusu agano jipya na la kale ungenijibu tungepata majibu ya hili swali.
Injili ya Mathayo Ina miaka zaidi ya 600 kabla ya kuzaliwa Kwa Mtume Muhammad. Inaeleza habari na mafundisho ya Yesu KristoMathayo ni nani? injili ni kitabu alichoteremshiwa nabii issa alayhi ssalaam mathayo ni nani tena?.
Nabii issa ndiye alikuja na injili huyo mathayo mimi simfahamu.
Kwahyo injili ni kitabu kimetoka wapi na amekuja nacho nani?.Injili ya Mathayo Ina miaka zaidi ya 600 kabla ya kuzaliwa Kwa Mtume Muhammad. Inaeleza habari na mafundisho ya Yesu Kristo
Yohana 10:30Hahahaaa huyo baba yake ni nani!?
Tuwekee hiyo source tuone Mlingano
Mtume kasema Isa ni Mwana wa Mariam, dada wa Musa na Haruni.Katika Qur'an imekuja عيسى بن مريم wao wakatafsiri issa mwana wa maryam, ubaya uko wapi?.
Yohana 20:17Yohana 10:30
Mimi na Baba tu umoja.
31 Basi Wayahudi wakaokota mawe tena ili wampige.
32 Yesu akawajibu, Kazi njema nyingi nimewaonyesha, zitokazo kwa Baba; kwa ajili ya kazi ipi katika hizo mnanipiga kwa mawe?
33 Wayahudi wakamjibu, Kwa ajili ya kazi njema hatukupigi kwa mawe; bali kwa kukufuru, na kwa sababu wewe uliye mwanadamu wajifanya mwenyewe u Mungu.
Haya nawewe okota mawe umpige kama walivyofanya Wayahudi.
Hapana Yesu alijifisha na kujifufua mwenyewe.Isa alikufa au hakufa?
Yesu alikufa na KUFUFULIWA na Mungu Mkuu.
Sasa wanakuwaje sawa?
Sawa point yako?.Mtume kasema Isa ni Mwana wa Mariam, dada wa Musa na Haruni.
Kutoka 15:20
Na Miriamu, nabii mke, ndugu yake Haruni, akatwaa tari mkononi mwake; wanawake wakatoka wote wakaenda nyuma yake, wenye matari na kucheza.
Yeye ndiye BabaYohana 20:17
Yesu akamwambia usinishike kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba.lakini nenda kwa ndugu zangu ukawaambie.ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni BABA YENU kwa Mungu wangu naye ni MUNGU WENU
Hiki kitabu ndio umeamrishwa ukifuate kikupatie muongozo katika maisha yako yote?.Mi natumia BIBLIA nzima, AGANO JIPYA Lina miaka 600 , Ina Maana Allah alikuwa wapi miaka yote mpaka aseme imekosewa?
AGANO la Kale lilianza tokea miaka 1200 kabla ya Kristo.
Soma Qura 19:28Sawa point yako?.
Yohana 10:30
Mimi na Baba tu umoja.
31 Basi Wayahudi wakaokota mawe tena ili wampige.
32 Yesu akawajibu, Kazi njema nyingi nimewaonyesha, zitokazo kwa Baba; kwa ajili ya kazi ipi katika hizo mnanipiga kwa mawe?
33 Wayahudi wakamjibu, Kwa ajili ya kazi njema hatukupigi kwa mawe; bali kwa kukufuru, na kwa sababu wewe uliye mwanadamu wajifanya mwenyewe u Mungu.
Haya nawewe okota mawe umpige kama walivyofanya Wayahudi.
Alipokua anasulubiwa alisema 'Baba wasamehe,hawajui walitendalo'... unamaanisha alikua anajiambia mwenyewe!?..'huwezi kufika kwa Baba bila kupitia Mimi' napo alikua kavurugwa Kama wewe!?...huwa unafikiri kweli!?Yeye ndiye Baba
Mbona una kichwa kigumu namna hiyo.
Yohana 14:8
Filipo akamwambia, Bwana, utuonyeshe Baba, yatutosha.
9 Yesu akamwambia, [emoji117]Mimi nimekuwapo pamoja nanyi siku hizi zote, wewe usinijue, Filipo? Aliyeniona mimi amemwona Baba; basi wewe wasemaje, Utuonyeshe Baba?
Unataka tukuamini wewe au Yesu mwenyewe aliyeongea ?
Yohana 10:30Pamoja na Mungu
Nyinyi mnaodai kuwa Yesu alikuwa Mungu, mnashikilia kuwa yeye hakuwa Mungu aliyetengeka, bali ni mmoja na ni Mungu yule yule mwenye mwili.
Nyinyi mnaunga mkono imani hii kutokana na mstari wa 30 wa Injili kwa mujibu wa Yohana, sura 10, ambayo ndani yake Yesu anaripotiwa kuwa amesema,
“Mimi na Baba ni kitu kimoja.” Nje ya muktadha, mstari huu unaashiria uungu wa Yesu.
Hata hivyo, pale Wayahudi walipomtuhumu kwa kudai uungu, kwa kutegemea sentesi hiyo, Yohana 10:34 “Yesu akawajibu, Je, haikuandikwa katika Torati yenu ya kwamba, Mimi nimesema, Ndinyi miungu? Ikiwa aliwaita
miungu wale waliojiliwa na neno la Mungu;"
Amewabainishia, kwa mfano wa maandiko unaojulikana sana kwao, kuwa yeye alikuwa anatumia lugha ya kistiari ya manabii ambayo haipaswi kufasiriwa kwa kujipachika uungu yeye mwenyewe au kwa mtu mwingine yoyote.
Ushahidi zaidi unachukuliwa kutoka katika mstari wa kumi na wa kumi na moja wa Injili kwa mujibu wa Yohana, sura ya 14, pale watu walipomtaka Yesu awaonyeshe Baba, naye inaaminiwa alisema:
"Husadiki ya kwambi mimi ni ndani ya Baba, na Baba yu ndani yangu; Hayo maneno niwaambiayo mimi siyasemi kwa shauri langu; lakini Baba akaaye ndani yangu huzifanya kazi zake. Mnisadiki ya kwambi mimi ni ndani ya Baba, na Baba yu ndani yangu; la! Hamsadiki hivyo, sadikini kwa sababu ya kazi zenyewe.”
Ibara hizi zingeashiria uungu wa Yesu, kama sehemu iliyobakia ya Injili hiyo hiyo inapuuzwa.
Hata hivyo, aya tisa baadaye, katika Yohana 14:20, pia Yesu anarekodiwa akiwaambia wanafunzi wake,
"Siku ile mtatambua ya kuwa mimi ni ndani ya Baba yangu, nanyi ndani yangu, nami ndani yenu.” Kwa hiyo, kama maelezo ya Yesu "Mimi ni ndani ya Baba, na Baba yu ndani yangu; yanamaanisha kuwa yeye ni Mungu, basi vivyo hivyo iwe kwa wanafunzi wa Yesu.
Hii sentensi ya kiishara inamaanisha umoja wa lengo na sio umoja wa asili.
Tafsiri ya kiishara inasisitizwa zaidi katika Yohana 17:20-21, pale Yesu aliposema,
"Wala si hao tu ninaowaombea; lakini na wale watakaoniamini kwa sababu ya neno lao. Wote wawe na umoja; kama wewe, Baba, ulivyo ndani yangu, nami ndani yako; hao nao wawe ndani yetu; ili ulimwengu upate kusadiki ya kwamba wewe ndiwe uliyenituma.
Hiyo ayat ni Qauli ya nani??Mkuu nabii iysa alayhi ssalaam alikuja kuabudiwa baadae baada ya kina paulo kuwadanganya watu na kujifanya wametokewa na roho mtakatifu, na hili limetajwa katika Qur'an kwa urefu.
"Na kumbuka pale allah atakaposema: ewe issa mwana wa maryamu! hivi wewe uliwaambia watu, nifanyeni mimi na mama yangu kuwa ni miungu miwili badala ya allah? (issa) atasema, ninakutakasa kukutakasa! hainipasii mimi kusema ambayo si haki yangu, ikiwa nilisema basi bila ya shaka umekwisha yajua, wewe unayajua yaliyo ndani ya nafsi yangu, lakini mimi siyajui yaliyo katika nafsi yako, hakika wewe ndiye mjuzi mno! wa yale yaliyofichikana."
Qur'an 5:116
Na jambo hili kwasababu ni la zamani kidogo limetajwa mno kwenye Qur'an na ukristo huu umetajwa vyema sana humo pamoja na imani ya utatu mtakatifu ambao allah hakuwaandikia wao katika vitabu vyao vilivyotangulia.