Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 14,677
- 18,561
Hapa waliingizwa chaka nyingine na hawana namna ya kupaondoa.Kama alitokea ndio huyo mama wa Isa na hajaandikwa popote kwenye biblia , nimekwambia tukijaribu kumfitisha lazima tukamuweke na Musa , kinyume chake mama wa Isa hafiti kwenye biblia
Wazazi na ndugu wa damu wa Isa , tuna Imran , Maryam , Harun na Issa hii ni Koran
3;35. Alipo sema mke wa Imran: Mola wangu Mlezi! Nimekuwekea nadhiri kilichomo tumboni mwangu kuwa wakfu........
36. Basi alipo mzaa alisema: Mola wangu Mlezi! Nimemzaa mwanamke(Maryamu)
19:28 “Ewe dada yake Haruni. Baba yako hakuwa mtu mbaya.
66;12. Na Mariamu binti wa Imrani, aliye linda ubikira wake,
Uslamu ni dini ambayo haijakamilika yaani haijitoshelezi katika mafundisho yake. KwasababuKwa hiyo ndio mnavyodanywa na hao wachungaji wenu huko kanisani kuwa katika nchi ya Israel mtu mwenye jina la Imrani ni mmoja tu ambaye ndio baba yake Musa
Musa na Yesu wamepishana miaka 2000 Kwa hiyo katika miaka yote 2000 katika nchi ya Israel hakujawahi kutokea watu wengine wenye majina ya Imrani zaidi ya baba yake Musa
Nyinyi wagalatia ndio maana mmepotea vichwa vyenu havina uwezo wa kufikiria
Akili yako ipo likizo as if [emoji15][emoji12]Kwa tafsiri ya mgen[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Alichanganya madesaHapa waliingizwa chaka nyingine na hawana namna ya kupaondoa.
Muhammadi alidhani Miriam mtoto wa Imrani na dada wa Haruni ndio mama wa Yesu.
Najua hii ni kazi Myahudi Waraqa Bin Naufal hakumwelewesha, vizuri Mtume.
Wacha ncheke kwanza.
Quran inasema Mariam mama yake Yesu/ Isa alilelewa katika nyumba ya Zakaria baba wa nabii Yohana mbatizajiMaria mama wa Isa hafiti kwenye biblia kabisa , tukilazimisha afiti anaenda kuwa kaka na dada na Musa
Wazazi na ndugu wa damu wa Isa , tuna Imran , Maryam , Harun na Issa hii ni Koran
3;35. Alipo sema mke wa Imran: Mola wangu Mlezi! Nimekuwekea nadhiri kilichomo tumboni mwangu kuwa wakfu........
36. Basi alipo mzaa alisema: Mola wangu Mlezi! Nimemzaa mwanamke(Maryamu)
19:28 “Ewe dada yake Haruni. Baba yako hakuwa mtu mbaya.
66;12. Na Mariamu binti wa Imrani, aliye linda ubikira wake,
Hapo waliingizwa cha kikeHapa waliingizwa chaka nyingine na hawana namna ya kupaondoa.
Muhammadi alidhani Miriam mtoto wa Imrani na dada wa Haruni ndio mama wa Yesu.
Najua hii ni kazi Myahudi Waraqa Bin Naufal, hakumwelewesha vizuri Mtume.
Wacha ncheke kwanza.
Muhammad alichanganya kidogoKwa hiyo ndio mnavyodanywa na hao wachungaji wenu huko kanisani kuwa katika nchi ya Israel mtu mwenye jina la Imrani ni mmoja tu ambaye ndio baba yake Musa
Musa na Yesu wamepishana miaka 2000 Kwa hiyo katika miaka yote 2000 katika nchi ya Israel hakujawahi kutokea watu wengine wenye majina ya Imrani zaidi ya baba yake Musa
Nyinyi wagalatia ndio maana mmepotea vichwa vyenu havina uwezo wa kufikiria
Tunaona kwenye koran inamtaja Issa, Babu yake ni Imran na Uncle zake ni Haruni na MussaQuran inasema Mariam mama yake Yesu/ Isa alilelewa katika nyumba ya Zakaria baba wa nabii Yohana mbatizaji
Vipi hapo unasemaje?
Na ukitaka kujua ilikuwaje Hadi akalelewa na Zakaria pia Quran itakujibu
Nyinyi wagalatia Quran inakuchapeni sana
Quran 3:37
Tena Mola wake Mlezi akampokea kwa mapokeo mema na akamkuza makuzo mema, na akamfanya Zakariya awe mlezi wake. Kila mara Zakariya alipo ingia chumbani kwake alimkuta na vyakula. Basi alimwambia: Ewe Maryamu! Unavipata wapi hivi? Naye akasema: Hivi vinatoka kwa Mwenyezi Mungu; na Mwenyezi Mungu humruzuku amtakaye bila ya hisabu.
Jina la Baba yake Musa ni Imran(Amramu) na Mama yake ni Yokebedi. (Hesabu 26:59).Muhammad alichanganya kidogo
Imran - Musa - harun-Miriam
Muhammad akaja na
Imran - haruni - Mariam - Isa
Taja maana ya Jina IsaBaadhi ya majina ya watu watukufu kama Yesu hutolewa na Mwenyezi Mungu mwenyewe mwenye kujua lugha zote na hikima zake.Achana na maana.Hata mtume Muhammad pia jina lake limetoka kwake. Angalia jinsi Allah aiyetukuka alivyotoa jina la Yesu kumwita Issa. (Qur’an 3.45) - Kumbukeni waliposema malaika Ewe Maryam! Mwenyezi Mungu anakupa habari njema za (kumzaa mtoto bila ya mume, bali kwa kutamkwa) neno tu litokalo kwake (la kukwambia "zaa" ukazaa pasina kuingiliwa) Jina lake ni Masih, Isa mwana wa Maryamu, mwenye hishima katika dunia na akhera, na miongoni mwa waliopelekwa mbele ya Mwenyezi Mungu.
Akili yako ipo likizo as if [emoji15][emoji12]
msúkule wahed...[emoji38][emoji38][emoji38]Yako iko kwa Pengo???[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Tunaona kwenye koran inamtaja Issa, Babu yake ni Imran na Uncle zake ni Haruni na Mussa
-3;35. Alipo sema mke wa Imran: Mola wangu Mlezi! Nimekuwekea nadhiri kilichomo tumboni mwangu kuwa wakfu........
36. Basi alipo mzaa alisema: Mola wangu Mlezi! Nimemzaa mwanamke(Maryamu)
-19:28 “Ewe dada yake Haruni. Baba yako hakuwa mtu mbaya.
-66;12. Na Mariamu binti wa Imrani, aliye linda ubikira wake,
Kwa point hizo hapo juu kutoka koran Huyu Issa akija kwenye biblia anatakiwa awe alikuwepo kipindi cha Mussa na alikuwa na Undugu na Musa na Haruni (Miaka kama 1500 kabla ya Yesu), ila biblia hakuna maali popote kwenye agano la kale linamtaja Issa na kina Mussa na Haruni
Unasema Bibilia inamambo yaliyo pindishwa ukweli, ili uweze kujua imepindishwa lazima uwe na original una compare nayo Je unaweza kuweka zote mbili iliyopindishwa na ambayo haijapindishwa?
Unaweza kutuambia Koran iliandikwa miaka mingapi baada ya Muhammad kufariki?
Bado nipo...........
msúkule wahed...[emoji38][emoji38][emoji38]
Taja maana ya Jina Isa
Mfano Jina Daniel Ni Mungu anahukumu
Yoshua/Yehoshua Ni Mungu anaokoa
Israel Ni Umeshindana na Mungu ukashinda
Maana ya Jina ISA Ni Nini?
Ujue nyie waislamu hata tukiwauliza Israel ,Suleiman, Daudi maana zake Ni Nini hamjui ,ila mnabwabwaja tu
Leta hoja za Isa na YesuUnabishana na mtu ambae anaona binadamu mwenzake ndio muumba wake .je mtaelewana kweli.???
Leta hoja za Isa na Yesu
Mjinga gani anaona binadamu mwenzake ndie muumba wake ?
Kwenye ukristo hakuna Imani ya kuwa binadamu ndie muumba
Mungu ni RohoKwa hivyo unaamini Yesu mtu si Mungu?