Hii stori imekaa kidini zaidi na ukichukua upagani na ku argue katika dhana ya kuona Kwa macho Ili uamini basi stori Zote ni wrong! Maana hakuna kati yetu aliemuona Yesu Wala Nabii Issa!

Vitabu vya ancient history vinamtaja Yesu kama kijana wa kipalestina!!

Tofauti ni Katika dini

Uislam

Nabii Issa AS alizaliwa na Mariam bila baba Katika familia bora na alikuwa binadamu kama sisi na hakusulubiwa Wala hakufa msalabani kwakuwa alikuwa Mtume hawezi kulaaniwa kwa kuangikwa msalabani kama biblia inavyosema na logically Mtu hufa mara moja na akienda kuzimu huwa harudi. Kwahiyo kama Nabii Issa AS alipaa basi alipaa akiwa hai na atarudi kuwakana waliomzushia na atakufa na kuzikwa kama binadamu wengine. Atakufa one time.

Ukristo

Yesu alizaliwa na Mariam bila baba na ni Mungu na alikufa msalabani na akawekwa kwenye pango na akafufuka siku ya tatu na akawa anawatokea wanafunzi wake baadae akapaa na atarudi duniani kuwakana waliomzushia uongo na atakufa Tena mara ya pili na kuzikwa. Hii dhana Ina walakini maana Mtu hufa mara moja tu na pia kama Yesu ni Mungu Ina maana alipokufa msalabani Mungu wengine wawili Mungu Baba na Mungu roho mtakatifu nao walikufa au waliumwa sana maana mwenzao alikufa mfano wa mapacha walioungana mmoja akifa na mwingine anafuata this means dunia haikuwa na Mungu by that time Yesu anakufa!

It is just a personal decision kuamini unachotaka!

But jamani tutumie our brains maandiko yamechakachuliwa sana na kwanza hatuna uhakika nani aliandika biblia na Kwa maslahi Gani! Wazungu wameshasahau dini wanakula Bata tu wakiamini ukifa imeisha hiyo!!
 
Kuna vitu lakini vinakosa mantiki kwa hoja hii hapa. Maan katika amri za Mungu alizoletewa Mussa biblia inaandika kuwa usizini usitamani mali ya mwenzio ikiwemo mke wa mwenzio. Sasa kuna kisa nimeona kuwa Mohammad alijitwalia mke wa mtoto wake wa kufikia. Je hili halipingani na amri ya Mungu ya usizini na usitamani mali ya mwenzio. Lakini pia inaonesha yule kijana alienda kumlalamikia mtume kuwa mke wake anamsumbua na mtu akamjibu kuwa endelea nae tu halafu baadae anamuoa tena yeye( hapa nanusa kukiukwa kwa amri ya kutomshuhudia jirani yako uongo pia au unafiki kwa tafsiri sahihi) lakini pia hapa haoa naona kuna uwizi wa mke. Sasa hyo tourati ya Mussa kwa hawa ndugu zetu inamaanisha nini?
 

Hapa halijazungumziwa jina tu ni context nzima. Maan hata Yusuph baba wa Yesu anafanana jina na Yusuph mtoto wa israel. Shida haiwez kuwa eti ukoo mzima unachukuliwa kama ulivo. Miryam mtoto wa Imran mama yake Haruni na Mussa duu.
 
Mimi nachelea kusema kuwa nabii issa ni mtu wa kufikirika hajawahi kuwapo duniani
 
Mimi nachelea kusema kuwa nabii issa ni mtu wa kufikirika hajawahi kuwapo duniani
Nabii Issa anakusudiwa Yesu, sasa wanaodai kwamba Issa mtu mwengine hakukusudiwa Yesu basi hao ndio wenye kubuni mtu wa kufikirika.
 
Andiko lao hapo linasema mwana wa pekee atokae Kwa baba huyo baba ni nani?

Na katika post zako zilizotangulia ulitoa andiko lenye sifa hizi ukasema hizi ni sifa za Yesu

Naye ataitwa jina lake,
1. Mshauri wa ajabu,
2. Mungu mwenye nguvu,
3. Baba wa milele,
4. Mfalme wa amani


Vipi unataka kusema bibilia inajichanganya katika hili?

Niambie

Baba ni nani?
Mwana wa pekee ni nani ?
Baba wa milele ni nani?
Mungu mwenye nguvu ni nani?


Maana bado Nina mandiko kama mia Yesu mwenyewe anakataa kuwa yeye sio Mungu
 
Ukishindwa kujibu majibu yako haya hapa

Mnahubiriana Yesu fake kanisani

1)YESU AMBAYE NDIO ISA

UTABIRI WA MANABII KUHUSU UJIO WA YESU/ ISA

Mathayo 2:6
Nawe Bethlehemu, katika nchi ya Yuda, Hu mdogo kamwe katika majumbe wa Yuda; Kwa kuwa kwako atatoka mtawala Atakayewachunga watu wangu Israeli.

YESU / ISA ANATHIBITISHA UTABIRI UMETIMIA

Mathayo 15:24
Akajibu, akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.

Yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.

NABII MUHAMMAD KUPITIA QURAN ANAPIGILIA MSUMARI KUWA YESU / ISA ALITUMWA NA MUNGU KAMA MTUME KWA WANA WA ISRAEL

Quran 61:6
Na Isa bin Mariamu alipo sema: Enyi Wana wa Israili! Hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu, ninaye thibitisha yaliyo kuwa kabla yangu katika Taurati, na mwenye kubashiria kuja Mtume atakaye kuja baada yangu; jina lake ni Ahmad!

2) YESU AMBAYE SIO ISA ILA NI GALASA LILILOTENGENEZWA NA PAULO NA NDIO YESU WA WAKRISTO

Tito 2:13
tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu

Hayo maelezo yako yote yanamuhusu huyo Yesu wa Paulo na ndio Yesu wa wakristo na hilo ni GALASA ambalo halijawahi kuwepo hapa duniani

Na ndio maana Imani yenu inapingana na maneno na mafundusho Yesu/Isa
 
Isa wanadai alizaliwa kwenye mitende wanadai pia alikuwa anavaa kanzu na baraghashia na huku mkononi akiwa hakosi tasbihi
 
Hivi
Hivi unaelewa ulichokiandika au umejizima data??
 
Ngoja nikupe mfano rahisi sana.

Musa alipochukuliwa na Binti Farao,
Mama yake Musa ilibidi ajibadilishe kuwa Housegirl ili amlee mwanaye Musa.

Kule kwa Binti Farao Mama ya Musa alijitambulisha kama dada wakazi kwakuwa angewaambia yeye ndiye Mama wa Musa asingeweza kumwokoa mwanaye kwanye himaya ya Farao. Alizungimza kama Housegirl wakati sio dada wa kazi.

Nakuuliza hivi, Wewe kama ungekuwa kwenye Nyumba ya Binti Farao ungemwona Mama ya Musa kama nani ?
Jibu ni kama Housegirl.

Ndio maana Yohana anasema
Hapo Mwanzo Yesu alikuwa Mungu na aliamua kuuchukua mwili wa Binadamu ile aje kuongea na sisi.

Nasisi tukamwona kama Mwana wa Mungu. Kumbe sio.
Angejitambilisha kama ni Mungu hangeweza kuongea na sisi kwakuwa watu wasinge msikiliza.

Yohana 1:14 Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.

("kama" ila sio Mwana pekee, ni Mungu mwenyewe.)

Yohana 10:30 Mimi na Baba tu umoja.

31 Basi Wayahudi wakaokota mawe tena ili wampige.

32 Yesu akawajibu, Kazi njema nyingi nimewaonyesha, zitokazo kwa Baba; kwa ajili ya kazi ipi katika hizo mnanipiga kwa mawe?

33 Wayahudi wakamjibu, Kwa ajili ya kazi njema hatukupigi kwa mawe; bali kwa kukufuru, na kwa sababu wewe uliye mwanadamu wajifanya mwenyewe u Mungu.

34 Yesu akawajibu, Je! Haikuandikwa katika torati yenu ya kwamba, [emoji117]Mimi nimesema, Ndinyi miungu?

(Fikiri ni lini Yesu alisema kwenye Torati wakati hakuwepo wakati wa Torati ? )

Ndio maana katika Injiri kuna wakati Yesu anazungumza kama Mwanadamu.

Sehemu nyingine anazungumza kama Mwana wa Mungu.

Na sehemu nyingine anazungumza kama Mungu mwenyewe.

Lengo lilikuwa kuifundisha kweli yake kwa ufasaha baada ya Manabii mbali mbali kushindwa kuwa sahihi.

Hebu tulia na utafakari kidogo.
 
Hili swali tamu mno naomba nilijibu alafu na Mimi nitakuuliza swali MWISHONI.[emoji16][emoji16][emoji16]Ila nitakujibu kwa text yako mwenyewe sitatoka nje[emoji847][emoji847][emoji847] nayo ni kama hivi[emoji116][emoji116][emoji116] hili NI swali.
YNiambie

Baba ni nani?
Mwana wa pekee ni nani ?
Baba wa milele ni nani?
Mungu mwenye nguvu ni nani?
Jibu NI hili[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Hii uliyotaja linapatikana
Isaya 9:6 Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa,
Tumepewa mtoto mwanamume;
Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake;
Naye ataitwa jina lake,
Mshauri wa ajabu,
Mungu mwenye nguvu,
Baba wa milele,
Mfalme wa amani.

Sasa huyo mtoto mwenye majina na vyeo vya kiuungu ni Nani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] huyu ni yesu Kristo mwenyewe Mathayo 2:6
Nawe Bethlehemu, katika nchi ya Yuda, Hu mdogo kamwe katika majumbe wa Yuda; Kwa kuwa kwako atatoka mtawala Atakayewachunga watu wangu Israeli.

Sasa mbona mitikashi mingi mno iweje yeye akawa ni MUNGU, mshauri,nabii,MFALME n.k. hii NI kwa sababu yeye NI muweza wa yote[emoji16][emoji16][emoji16]

Haaaaaaah kuuumbe kwa hiyo Yesu ndio MUNGU iweje sasa pia yeye kua MWANA WA daudi kama yanenavyo maandiko kua yesu NI mwana WA daudi[emoji847][emoji847][emoji847] maandiko hayo NI kama vile
Mathayo 1:1
Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daudi, mwana wa Ibrahimu.
Mathayo 9:27
Yesu alipokuwa akipita kutoka huko, vipofu wawili wakamfuata wakipaza sauti, wakisema, Uturehemu, Mwana wa Daudi.
Marko 10:47-48
[47]Naye aliposikia ya kwamba ni Yesu Mnazareti, alianza kupaza sauti yake, na kusema, Mwana wa Daudi, Yesu, unirehemu.a wengi wakamkemea ili anyamaze, lakini alizidi kupaza sauti, Mwana wa Daudi, unirehemu.

 

Je yesu mwenyewe anasemaje kuhusu kuitwa mwana wa daudi na yeye NI nani[emoji41][emoji41][emoji41]TUNATAKA andiko aliposema kua yeye NI MUNGU na analiongeleaje hili kuhusu kua mwana wa daudi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] andiko NI hili[emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]Luka 20:41-44


Luka 20:41-44
[41]Akawaambia, Wasemaje watu kwamba Kristo ni Mwana wa Daudi?

[42]Maana, Daudi mwenyewe asema katika chuo cha Zaburi,
Bwana alimwambia Bwana wangu,
Uketi mkono wangu wa kuume,

[43]Hata niwaweke adui zako
Kuwa kiti cha kuwekea miguu yako.

[44]Basi Daudi amwita Bwana; amekuwaje mwana wake?


Hivi kwa kauli hii ya kwenye Aya ya 44 yesu alijibu kua yeye ni Nani ([44]Basi Daudi amwita Bwana; amekuwaje mwana wake?) Soma kwa umakini [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]waislamu chali miguu juu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] yesu ni BWANA MUNGU Kama ilivyosema isaya 9:6[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] au bado unakaza fuvu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

ngoja nikupe ingine ya mwisho hii ya ubatizo sasa[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]


Kula chma hicho[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Mathayo 28:19
[19]Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;

Heeeh Yesu bhana hasemi kwa majina tena Ila kwa jina Tu inamaana NI jina moja Tu[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064] ina maana vyeo vyote hivi ni jina moja Tu[emoji848][emoji848][emoji848]
Jibu ni ndio hili lote ni jina moja sio matatu kwani Baba ni jina au NI cheo? Mwana ni jina au NI cheo? Na Roho mtakatifu ni jina au NI cheo, jibu NI vyote hivi ni vyeo vya jina moja[emoji847][emoji847][emoji847] ngoja tukawaone hawa wanafunzi 11 na petro akiwemo walioagizwa kubatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu; je wamebatiza kwa jina gani maana hapa kawatajia vyeo je jina lipo wapi/ au mwenye vyeo hivi ni Nani[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787]

Kula chuma hicho Matendo ya Mitume 2:38
[38]Petro akawaambia, Tubuni mkabatizwe kila mmoja kwa jina lake Yesu Kristo, mpate ondoleo la dhambi zenu, nanyi mtapokea kipawa cha Roho Mtakatifu.



Sasa huyu petro kabla hata ya Paulo kuitwa kwenye utume, yaani petro alikua mmoja wa wanafunzi 11 walioagizwa wakabatize kwenye
Mathayo 28:16,18-19

[16]Na wale wanafunzi kumi na mmoja wakaenda Galilaya mpaka mlima ule aliowaagiza Yesu.

[18]Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.

[19]Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;


Kwa hiyo kumbe wanafunzi wale 11 waliobatiza kwa JINA la Bwana Yesu Kristo walikua wanajua kua yesu NI MUNGU na ndio aliowamaanishia kua yeye ndie Baba,yeye ndie mwana na yeye ndiye Roho mtakatifu hivi vyeo vyote NI vya mmoja ambaye NI YESU KRISTO.


Ndugu zangu wakristo mtume Muhammad amelaaniwa yeye na ujumbe wake kwa sababu ujumbe wake NI tofauti na ujumbe wa yesu Kristo kuanzia;NDOA, Ibada(wao wanaswali na majini) mtume ameoa mtoto wa umri wa miaka 6 haijawahi kutokea ubakaji kama huu tena kwa mtume wa MUNGU. Na huyu sio mtume wa MUNGU huyu NI mtume wa shetani kwa sababu amelaaniwa kwa maandiko nayo ni Wagalatia 1:8-9
[8]Lakini ijapokuwa sisi au malaika wa mbinguni atawahubiri ninyi injili yo yote isipokuwa hiyo tuliyowahubiri, na alaaniwe.
[9]Kama tulivyotangulia kusema, na sasa, nasema tena, mtu awaye yote akiwahubiri ninyi injili yo yote isipokuwa hiyo mliyoipokea, na alaaniwe.

KWA MAANDIKO HAYA MUHAMMAD AMELAANIWA YEYE NA QURAN YAKE



Swali nililotaka kukuuliza ni hili

Je kwa nini mtume wa MUNGU aoe mtoto wa miaka sita, sifa za mtume ni zipi?
 
[emoji2956]
 
Eti wanashanga Yesu kuwa na majina machache tu ya sifa
Lakini hawashangai Allah kuwa na majina ya sifa 99.
Hivi akina Allah wako 99?

Ona hapa Yesu anazungumza kama Mwana wa Mungu.
Mathayo 10:33
Bali mtu ye yote atakayenikana mbele ya watu, nami nitamkana mbele za Baba yangu aliye mbinguni.

Hapa anazungumza kama Mungu Baba mwenyewe.

Marko 2:5
Naye Yesu, alipoiona imani yao, akamwambia yule mwenye kupooza, [emoji117]Mwanangu, umesamehewa dhambi zako.
6 Na baadhi ya waandishi walikuwako huko, wameketi, wakifikiri mioyoni mwao,
7 Mbona huyu anasema hivi? Anakufuru. Ni nani awezaye kusamehe dhambi isipokuwa mmoja, ndiye Mungu?

(tatizo hawa jamaa zetu wanauliza sio kwa kutaka kujifunza bali kubishana)

Allah ana Majina 99
Je kuna akina Allah 99 ?
 
Hapo uanze kumuhubiria kijana wa kiislamu mtagombana tu😁
 
Pia wanataka kumuelewa Mungu[emoji16][emoji16][emoji16]nawafananisha na watu wa kizazi cha nuhu, MUNGU alisema ataleta mvua kunyesha siku 40 wao wamesema haiwezekani kipindi kikame kama kile[emoji16][emoji16][emoji16]ndio maana nawaita hayawani. Assume kila siku yanasoma bible alafu mkristo anayejitambua hasomi Quran kwa usiliaz kwa sababu NI kitabu kilicholaaniwa wagalatia 1:8[emoji1787][emoji1787]
 
Hapo uanze kumuhubiria kijana wa kiislamu mtagombana tu[emoji16]
Kuna kijana mmoja wa kiislamu amezini alafu ni best yangu sio kiviile, nikamuambia unachofanya NI kosa mbingu utaiskia yaani imeisha Ramadhan juzi Tu leo shabani haijaisha unazini daaaah Mimi na wewe hatutawezana maana Mimi na mdhinifu tofauti. Akang`aka huyo Hadi nimeishiwa pozi[emoji16][emoji16][emoji16]
 

Hapo uanze kumuhubiria kijana wa kiislamu mtagombana tu😁


WANA WA MUNGU

Biblia inasema kwamba: 1. Bwana asema hivi, Is- raeli ni mwanangu mimi, mzaliwa wa kwanza wangu. (Kutoka 4:22).

2. Daudi ni mwana wa Mungu, yeye pia ni mwana wa kwanza. (Zaburi 89: 26-27).

3. ....maana mimi ni baba wa Israeli na Efraim (Ibrahim) ni mzaliwa wa kwanza wangu. (Yeremia 31:9).

Hawa wana wa Mungu wote, kila mmoja wao ni mzaliwa wa kwanza kwa Mungu. Kwanza itakuwaje watoto wote
watatu wawe wazaliwa wa kwanza kwa Mungu.

Pili kwa nini hawa wazaliwa wa kwanza wasiitwe miungu?

Na kama hawa watatu wakubwa hawawezi kuwa miungu wala hawaabudiwi, basi mtoto mdogo Yesu pia hana haki yoyote ya kuitwa Mungu wala hana haki ya kuabudiwa.


4. Suleimani ni Mwana wa Mungu. (Mambo ya Nyakati 22:9-10).

5. Wapatanishao wameitwa Wana wa Mungu. (Mathayo 5:9). Oo! siyo tu bali katika Biblia baadhi ya watu wameitwa miungu. Tena hakuna Mkristo ambaye anawaita miungu wala hawaabudiwi. Kama Biblia inavyosema kwamba:

A. Yesu akawajibu, Je! haikuandikwa katika Torati yenu ya kwamba, mimi nimesema, ndinyi miungu? (Yohana 10:34).

B. Bwana akamwambia Musa angalia, nimekufanya wewe kuwa kama mungu kwa Farao na huyo ndugu yako Harun atakuwa Nabii wako. (Kutoka 7:1).
 
Hapo uanze kumuhubiria kijana wa kiislamu mtagombana tu😁

Hoja ambayo Wakristo mara nyingi huitumia kuonyesha uungu wa Yesu kutoka katika Biblia ni kwamba alikuwa na mamlaka ya kusamehe dhambi.

Hata hivyo, kulingana na Injili ya Yohana wanafunzi pia walikuwa na mamlaka ya kusamehe dhambi.



Yohana 20:23

Mkimsamehe mtu dhambi zake, amesamehewa; usipowasamehe, hawatasamehewa.



Kwa hiyo Wakristo mna njia mbili mbadala.

Ama muwache kubishana kwamba Yesu ni Mungu kwa sababu alikuwa na mamlaka ya kusamehe dhambi.

Au mbadilishe mafundisho yenu na pia muamini kwamba wanafunzi pia ni Waungu.
 


Yesu anavyojikanganya
​


“If I testify on my own behalf, my testimony is valid (John 8:14)

“If I testify about myself, my testimony is not valid. (John 5:31)

The world cannot hate you, but it hates me because I testify that what it does is evil.
(John 7:7)

If you belonged to the world, it would love you as its own. As it is, you do not belong to the world, but I have chosen you out of the world. That is why the world hates you. (John 15:19)

Love one another. As I have loved you, so you must love one another. (John 13:34)

My command is this: Love each other as I have loved you. (John 15:12)

"If anyone comes to me and does not hate his father and mother, his wife and children, his brothers and sisters—yes, even his own life—he cannot be my disciple. (Luke 14:26)

Peace I leave with you, my peace I give unto you: not as the world giveth, give I unto you. Let not your heart be troubled, neither let it be afraid. (John 14:27)

Think not that I am come to send peace on earth: I came not to send peace, but a sword. (Matthew 10:34)

I have come to bring fire on the earth, (Luke 12:49)

Honour thy father and [thy] mother: (Matthew 19:19)

For I am come to set a man at variance against his father, and the daughter against her mother (Matthew 10:35)

"Don't you see that nothing that enters a man from the outside can make him 'unclean'? For it doesn't go into his heart but into his stomach, and then out of his body." (In saying this, Jesus declared all foods "clean.") Mark 7:18

Not that which goeth into the mouth defileth a man; but that which cometh out of the mouth, this defileth a man. (Matthew 15:11)

And the pig, though it has a split hoof completely divided, does not chew the cud; it is unclean for you. You must not eat their meat or touch their carcasses; they are unclean for you. (Leviticus 11:7-8)

Wine [is] a mocker, strong drink [is] raging: and whosoever is deceived thereby is not wise. (Proverbs 20:1)


These twelve Jesus sent out with the following instructions: "Do not go among the Gentiles or enter any town of the Samaritans. Go rather to the lost sheep of Israel. (Matthew 10:5)

"I was sent only to the lost sheep of Israel."
(Matthew 15:24)

I tell you the truth, wherever this gospel is preached throughout the world, what she has done will also be told, in memory of her." (Matthew 26:13)

Therefore go and make disciples of all nations (Matthew 28:19

"Do not go among the Gentiles or enter any town of the Samaritans. Go rather to the lost sheep of Israel. (Matthew 10:5)

Then cometh he to a city of Samaria, which is called Sychar, near to the parcel of ground that Jacob gave to his son Joseph.

There cometh a woman of Samaria to draw water: Jesus saith unto her, Give me to drink. (John 4:5-7)

Think not that I am come to send peace on earth: I came not to send peace, but a sword. (Matthew 10:34)

He said to them, "But now if you have a purse, take it, and also a bag; and if you don't have a sword, sell your cloak and buy one. (Luke 22:36)



But I tell you that anyone who is angry with his brother will be subject to judgment. Again, anyone who says to his brother, 'Raca, is answerable to the Sanhedrin. But anyone who says, 'You fool!' will be in danger of the fire of hell. (Matthew 5:22)

Then said Jesus unto him, Put up again thy sword into his place: for all they that take the sword shall perish with the sword. (Matthew 26:52)


…"for all who draw the sword will die by the sword. (KJV)






You blind fools!
Which is greater: the gold, or the temple that makes the gold sacred? (Matthew 23:17)

Ye fools and blind: for whether is greater, the gift, or the altar that sanctifieth the gift? (Matthew 23:19, KJV)



Honour thy father and [thy] mother: (Matthew 19:19)

Jesus saith unto her, Woman, what have I to do with thee? mine hour is not yet come. (John 2:4)

And he took a child, and set him in the midst of them: and when he had taken him in his arms, he said unto them, Whosoever shall receive one of such children in my name, receiveth me: (Mark 9:36-37)

And I will kill her children with death; and all the churches shall know that I am he which searcheth the reins and hearts: and I will give unto every one of you according to your works. (Revelations 2:23)

But I tell you: Love your enemies and pray for those who persecute you, (Matthew 5:44)

But I say unto you which hear, Love your enemies, do good to them which hate you, (Luke 6:27)

But those mine enemies, which would not that I should reign over them, bring hither, and slay [them] before me. (Luke 19:27)

But those enemies of mine who did not want me to be king over them—bring them here and kill them in front of me." (NIV)

That the saying might be fulfilled, which he spake, Of them which thou gavest me have I lost none. (John 18:9)

While I was with them in the world, I kept them in thy name: those that thou gavest me I have kept, and none of them is lost, but the son of perdition; that the scripture might be fulfilled. (John 17:12)

But whoever disowns me before men, I will disown him before my Father in heaven. (Matthew 10:33)


But he who disowns me before men will be disowned before the angels of God. (Luke 12:9)

"I tell you the truth," Jesus answered, "today—yes, tonight—before the rooster crows twice you yourself will disown me three times." (Mark 14:30)

Immediately a rooster crowed. Then Peter remembered the word Jesus had spoken: "Before the rooster crows, you will disown me three times." And he went outside and wept bitterly. (Matthew 26:75)

The Son of man goeth as it is written of him: but woe unto that man by whom the Son of man is betrayed! it had been good for that man if he had not been born. (Matthew 26:24)

* If Judas betrayed Jesus, then he cannot sit on the throne!

That ye may eat and drink at my table in my kingdom, and sit on thrones judging the twelve tribes of Israel. (Luke 22:3)

And Jesus said unto them, Verily I say unto you, That ye which have followed me, in the regeneration when the Son of man shall sit in the throne of his glory, ye also shall sit upon twelve thrones, judging the twelve tribes of Israel. (Matthew 19:28)

In the same way, let your light shine before men, that they may see your good deeds and praise your Father in heaven. (Matthew 5:16)

TAKE CARE not to do your good deeds publicly or before men, in order to be seen by them; otherwise you will have no reward reserved for and awaiting you] with and from your Father Who is in heaven. (Matthew 6:1, Amplified Bible)

This is how it will be at the end of the age. The angels will come and separate the wicked from the righteous and throw them into the fiery furnace, where there will be weeping and gnashing of teeth.
(Matthew 13:49)

Whether of them twain did the will of [his] father? They say unto him, The first. Jesus saith unto them, Verily I say unto you, That the publicans and the harlots go into the kingdom of God before you. (Matthew 21:31)


Blessed [are] the poor in spirit: for theirs is the kingdom of heaven. (Matthew 5:3)





Blessed [are] they which are persecuted for righteousness' sake: for theirs is the kingdom of heaven. (Matthew 5:10)

"Enter through the narrow gate. For wide is the gate and broad is the road that leads to destruction, and many enter through it. But small is the gate and narrow the road that leads to life, and only a few find it.

(Matthew 7:13-14)

Everyone will be salted with fire. (Mark 9:49)

I tell you the truth: Among those born of women there has not risen anyone greater than John the Baptist; yet he who is least in the kingdom of heaven is greater than he. (Matthew 11:11)

Verily I say unto you, Among them that are born of women there hath not risen a greater than John the Baptist: notwithstanding he that is least in the kingdom of heaven is greater than he. (KJV)

I indeed baptize you with water unto repentance: but he that cometh after me is mightier than I, whose shoes I am not worthy to bear: he shall baptize you with the Holy Ghost, and [with] fire: (Matthew 3:11, KJV)

"I baptize you with water for repentance. But after me will come one who is more powerful than I, whose sandals I am not fit to carry. He will baptize you with the Holy Spirit and with fire. (NIV)

But I tell you, Elijah has already come, and they did not recognize him, but have done to him everything they wished. In the same way the Son of Man is going to suffer at their hands." (Matthew 17:12)

* Jesus said John the Baptist is Elijah.

They asked him, "Then who are you? Are you Elijah?" He said, "I am not." "Are you the Prophet?" He answered, "No." (John 1:21)


* Yet John denies being Elijah!

He answered, "A wicked and adulterous generation asks for a miraculous sign! But none will be given it except the sign of the prophet Jonah. (Matthew 12:39)



"You call me 'Teacher' and 'Lord,' and rightly so, for that is what I am. (John 13:13)


He sighed deeply and said, "Why does this generation ask for a miraculous sign? I tell you the truth, no sign will be given to it." (Mark 8:12)





"I do not accept praise from men, (John 5:41)

They worship me in vain; their teachings are but rules taught by men.' " (Matthew 15:9, Mark 7:7)

No man taketh it from me, but I lay it down of myself. I have power to lay it down, and I have power to take it again. This commandment have I received of my Father. (John 10:18)

* Jesus claims having the power to raise himself

The God of our fathers raised up Jesus, whom ye slew and hanged on a tree. (Acts 5:30)



* It was God who raised Jesus, he didn’t have the power to raise himself
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…