[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ngoja uzidi katika kukua ufike kimo cha kumuelewa Mungu[emoji16][emoji16][emoji16]umosoma post nusu nusu kwa kukulupuka[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]ni vyema kwa ufupi huna andiko linalomkataa yesu si Mungu hiyo ni kweli Mimi nimekuoneaha kua wanafunzi wa YESU KRISTO walipoambiwa nendeni kabatizeni kwa jina la Baba, mwana, na Roho mtakatifu. Ila cha kushangaza wao hwakubatiza hawakutaja hivyo Bali walibatiza kwa jina la Bwana Yesu Kristo kwa kumaanisha kua Baba ni Yesu, mwana ni yesu na Roho mtakatifu ni yesu pia. Hivyo WALIMTAMBUA kua hivyo vyote NI vyeo[emoji847][emoji847][emoji847]si unaona walivyotofautiana na wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]na hao ndio wanafunzi wa YESU KRISTO je Mimi NI nani nipinge[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]oooh " Bwana Yesu nitasthili hukumu nikipinga Jambo hili hiyo NI kweli kabisa, hiyo NI kweli kua MUNGU ana nafsi 1, naamini hivyo Mungu saidia watu wako Bwana Yesu Kristo wasamehe wote wanapinga Jambo hilo nakuomba Bwana. Maana wewe ulisema hata mtu akitoka kutoka kwako na akaja kusema kua jamani aminini yesu ni MUNGU hawataamini Bwana hiyo NI kweli wakataoamini ni wale Tu walioandikwa KATIKA kitabu cha uzima. AMEEN
 
lete andiko Yesu mwenyewe anasema mimi ni Mungu ??
Nimekupa andiko kwenye post namba 1874 inathibitisha hiyo. Anzia kipengele anapowaagiza wanafunzi wake wakabatize kwa jina la Baba,na mwana,na Roho mtakatifu. Soma Hadi mwisho.


Siwezi kubishana na wewe mwenye elimu ya theologia Mimi naamini vile bible inasema, hiyo NI kweli. Lakini pia KATIKA swali hili ongezea ufunuo 1:8 kwamba yeye NI Alfa na omega. Sina uwezo wa kukuelewesha uelewe ila kubali kukaa kilindini pokea Roho wa Mungu ili,ili uamini neno maana Neno NI MUNGU naye neno NI Yesu [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Alafu mkuu WA kutaka kumuelewa Mungu Gavana Gavana pale mwisho kuna swali langu kwenye post namba 1876 naomba unijibu[emoji120][emoji120]
 
Hata mkiongea vipi sisi tunamtambua Mungu wetu anapokuja kukutana nasi.

Hatuwezi kuwasikiliza watu walio nje ya imani ya Kristo.

Hata sielewi jinsi wanavyotumia nguvu kubwa kupinga imani kamili inayojitoshereza na hai hitaji marejeo toka mafundisho yaliyo nje ya Biblia.

Mungu wetu alimtokea Ibrahim kwa Umbo la Mtu. Mwanzo 18:18....
Mungu amekuja tena kuitimiliza Torati kwa kutangaza Habari Njema yaani Injiri ya Kristo. Yohana {1:1} {1:14}

Tito 2:13
" tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu; "

Maandiko yanatuambia hivyo na hatuna haja ya kuwasikiliza walio nje ya imani yetu.
Wabaki na miungu yao.

Wagalatia 1:8
Lakini ijapokuwa sisi au malaika wa mbinguni atawahubiri ninyi injili yo yote isipokuwa hiyo tuliyowahubiri, na alaaniwe.

9 Kama tulivyotangulia kusema, na sasa, nasema tena, mtu awaye yote akiwahubiri ninyi injili yo yote isipokuwa hiyo mliyoipokea, na alaaniwe.

Ni ajabu mtu wa nje ya imani Yetu anakuja kutuonyesha Mungu wetu. Wakati maandiko yao yanakiri wazi kuwa Wao wana Mungu wao na sisi tuna Mungu wetu.
 


Katika tafsiri ya Biblia iitwayo Harper's Bible Commentary anasema:

"Kama lipo jambo lolote katika uchunguzi wa Injili ambalo juu yake wataalamu wamekubaliana, ni kuwa kufika hapa (yaani Marko 16.8) Injili ya Marko inakoma. Sehemu iliyobaki ya sura (yaani 16.9-20) ndio hiyo iitwayo "Kimalizio kirefu" cha Injili.

Kimalizio hicho hakionekani katika nakla za miswada ya zamani, na ambacho ni nyongeza iliyopachikwa katika karne ya pili kutokana na maongezo ya Mathayo, Luka na Matendo...ushahidi wa kale kabisa ulioandikwa juu ya Kufufuka (Yesu) haumo katika Injili bali katika barua ya kwanza ya Paulo kuwapelekea Wakorintho 15.3-8."

Maneno hayo ya Paulo aliyowaandikia Wakorintho na ndio mara ya kwanza kutajwa kufufuka kwa Yesu ni haya:

Kwa maana niliwatolea ninyi hapo mwanzo yale niliyoyapokea mimi mwenyewe, ya kuwa Kristo alikufa kwa ajili ya dhambi zetu, kama yanenavyo maandiko; na ya kuwa alizikwa; na ya kuwa alifufuka siku ya tatu, kama yanenavyo maaandiko; na ya kuwa alimtokea Kefa; tena na wale Thenashara; baadaye aliwatokea ndugu zaidi ya mia tano pamoja; katika hao wengi wanaishi hata sasa, ila baadhi yao wamelala; badaye akamtokea Yakobo; tena na mitume wote; na mwisho wa watu wote, alinitokea mimi, kama ni mtu aliyezaliwa si kwa wakati wake.

1 Wakorintho 15.3-8

Ikiwa kipande chote tangu mstari 9 mpaka mstari 20 katika sura 16 ya Injili ya Marko, kimepachikwa, basi kisa chote cha kufufuka Yesu kimebuniwa.

Mwenye kubuni kisa hichi ni Mtakatifu Paulo.

Hivyo ndivyo tunavyoweza kuagua kutokana na kuisoma Biblia, kwani maandishi ya kwanza hayamo katika Injili bali yamo katika barua ya Paulo kwa Wakorintho.

Katika kitabu kiitwacho , katika Maisha ya Yesu: imeandikwa hivi

"Paulo alijihakikishia mwenyewe kuwa ijapokuwa Yesu ni kweli alikufa, lazima awe amefufuka, akiuwacha mwili wake wa kidunia nyuma ili avae mwili wa 'kiroho'..

Paulo alichanganya mawazo yake mwenyewe ya kikafiri kafiri ya Yesu kuwa na maisha mapya kwamba ni malipo yake kwa mema yake, pamoja na imani ya Kiyahudi ya kuwajibika mapatano na Yehova (Mungu) na agano la pili.

Kwa hivyo Paulo akafunza kuwa ndiyo haya khasa yaliyokuwa ni kazi ya Yesu, na hicho ndicho cheo chake machoni mwa Mungu: kafara ya nafsi yake kwa utakatifu wake na kutokuwa na dhambi kwake ili afutie kwa pamoja makosa ya wote."

Ikiwa basi msingi wa hadithi nzima ya kufufuka Yesu hadi ya ubora wake ni kuwa ni ya shaka shaka - licha ya kuwa ni wazi kuwa ni ya uwongo - hapana njia ya kuamini ya Kuwa Yesu wakati wo wote katika historia aliwahi kuamrisha watu "Enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu,"
kwa sababu haya hakuyasema ila baada ya huko kunakoambiwa ni kufufuka.

Katika Biblia ya Kiswahili iliyo mbele yangu iliyotangazwa na The British and Foreign Bible Society 1950 kifungu cha Marko 16 tangu mstari wa 9 mpaka mwisho yaani mstari wa 20 kimetiwa katika mipinde miwili hivi ( ) kuonyesha kuwa maneno hayo hayakuwamo katika maandiko ya asili.

Ilivyokuwa imethibitika kuwa hayo ya Marko si madhubuti, basi yaliyonukuliwa na Mathayo na Luka juu ya mambo hayo ya kufufuka, na kuamrisha kwenda kuhubiria watu wa ulimwengu, na kuutaja Utatu, yote hayo ni baatili.
 
Fungua PM nipe contact zako
 
Ooooho na ndio maana nimekuambia soma post no 1874 wanafunzi wa YESU KRISTO mtoe paulo wamebatiza kwa la Bwana Yesu Kristo. Je yesu Kristo ni Nani hiyo kumbuka kabla Paulo hajaanza utume maana Paulo ameanza utume kwenye MATENDO 9 kitu Kama hicho.

Cha mwisho unakwepa swali langu kwenye hiyo post au unataka kujibiwa wewe Tu[emoji847][emoji847]

AU NI kweli mtume alibaka kwa kuona mtoto?
 


Tito 2:13 . `Tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Mungu mkuu na Mwokozi wetu Yesu Kristo.'

Maneno `Mungu mkuu' na `Mwokozi' yamo katika uvumi, yaani, kwamba yote yanarejelea mtu mmoja na yule yule.

Tafsiri ya Kiingereza haina utata.

Ukweli ni kwamba neno la `of’ katika Kiingereza, ambalo hutafsiri asili ya Kigiriki limerudiwa katika Kigiriki kwa maneno `Mwokozi, Kristo Yesu’ ili tafsiri halisi zaidi iwe: `kutokea kwa utukufu wa Mungu wetu mkuu na wa Mwokozi, Yesu Kristo'.



Hakuna sababu ya kudhani kuwa hawa ni kiumbe kimoja.

Andiko hilo 'halimdhihirishi Kristo' kama Mungu.

Tukija kwa Wagalatia 1:8 Hilo si ajabu kwani Inakuwa wazi zaidi tunapoona katika Wagalatia sura ya 1. 2, Paulo hata alimshutumu Petro (mmoja wa watu wa karibu sana na Yesu, ambaye tofauti na Paulo alijua kweli, aliishi naye, alikula kando, na alijifunza moja kwa moja miguuni mwa Yesu).

Tofauti na Paulo na utapeli wake , kila mara akibadilisha madai “ maono” ya Yesu ya uongo wa kumwona Yesu

Wagalatia 2:11 BHN - Lakini Petro alipofika Antiokia nalimpinga ana kwa ana kwa maana alikuwa na hatia. (Biblia ya KJV)
 
lete andiko Yesu mwenyewe anasema mimi ni Mungu ??
Allah mwenyewe anatamka kwa kinywa chake akimsema Yesu ni nani

Koran 57:3. Yeye ndiye wa Mwanzo na ndiye wa Mwisho,
Rev 22:12.“Sikiliza!” Asema Yesu..... 13Mimi ni Alfa na Omega, wa kwanza na wa mwisho, mwanzo na mwisho.”
 

Mambo ya kubaka kamuulize mchungaji wako Mimi nakuletea nini Bwana Yesu alisema kuwa yeye si Mungu , nakujibu pia kuhusu alfa na Omega

​

​

Alfa na Omega (Kuwepo kwa Yesu Kabla)​



Katika Kitabu cha Ufunuo 1, ayah ya 8, inaonyeshwa kuwa Yesu alisema yafuatayo kuhusu yeye mwenyewe: “Mimi ni Alfa na Omega”, asema Bwana, aliyeko, aliyekuwako na anayekuja, Mwenye Nguvu”.

Hizi ni sifa za Mwenyezi Mungu.

Hivyo, Yesu, kulinagana na Wakristo wa mwanzo, hapa anadai uungu.

Hata hivyo, maneno yaliyotajwa hapo juu, ni kulingana KJV.

Katika RSV, wanazuoni wa Biblia walisahihisha tafsiri na kuandika: “Mimi ni Alfa na Omega”, asema Bwana Mungu, aliyeko, aliyekuwako na anayekuja, Mwenye Nguvu”.

Masahihisho pia yalifanywa kwa New American Bible (Biblia Mpya ya Marekani) iliyochapishwa na Katoliki.

Tafsiri ya Ayah hiyo imerekebishwa ili kuiweka katika muktadha wa sawa kaa ifuatavyo:

“Bwana Mungu anasema: ‘Mimi ni Alfa na Omega, yule aliyeko na aliyekuwako na anayekuja, Mwenye Nguvu’”.

Kwa masahihisho haya, ni dhahiri kuwa hii ni kauli ya Mwenyezi Mungu wala sio kauli ya Bwana Yesu
 
Allah mwenyewe anatamka kwa kinywa chake akimsema Yesu ni nani

Koran 57:3. Yeye ndiye wa Mwanzo na ndiye wa Mwisho,
Rev 22:12.“Sikiliza!” Asema Yesu..... 13Mimi ni Alfa na Omega, wa kwanza na wa mwisho, mwanzo na mwisho.”

Jitie wazimu , 😛 😛

Huyo anayesemwa hapo ni Yesu mbona umesema Allah mwenyewe anatamka ??

Alfa na Omega (Kuwepo kwa Yesu Kabla)​



Katika Kitabu cha Ufunuo 1, ayah ya 8, inaonyeshwa kuwa Yesu alisema yafuatayo kuhusu yeye mwenyewe: “Mimi ni Alfa na Omega”, asema Bwana, aliyeko, aliyekuwako na anayekuja, Mwenye Nguvu”.

Hizi ni sifa za Mwenyezi Mungu.

Hivyo, Yesu, kulinagana na Wakristo wa mwanzo, hapa anadai uungu.

Hata hivyo, maneno yaliyotajwa hapo juu, ni kulingana KJV.

Katika RSV, wanazuoni wa Biblia walisahihisha tafsiri na kuandika: “Mimi ni Alfa na Omega”, asema Bwana Mungu, aliyeko, aliyekuwako na anayekuja, Mwenye Nguvu”.

Masahihisho pia yalifanywa kwa New American Bible (Biblia Mpya ya Marekani) iliyochapishwa na Katoliki.

Tafsiri ya Ayah hiyo imerekebishwa ili kuiweka katika muktadha wa sawa kaa ifuatavyo:

“Bwana Mungu anasema: ‘Mimi ni Alfa na Omega, yule aliyeko na aliyekuwako na anayekuja, Mwenye Nguvu’”.

Kwa masahihisho haya, ni dhahiri kuwa hii ni kauli ya Mwenyezi Mungu wala sio kauli ya Bwana Yesu

😛
 
Huyo anayesemwa hapo ni Yesu mbona umesema Allah mwenyewe anatamka ??
Allah anaendelea kukupa majibu

Allah anasema Mung ni mwanga Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....

Yesu anajitaja yeye ni mwanga
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, “Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu.
 
Allah anaendelea kukupa majibu

Allah anasema Mung ni mwanga Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....

Yesu anajitaja yeye ni mwanga
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, “Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu.

Utachanganya Quran mara biblia lakini ukweli ni kuwa Yesu si Mungu wala hamna mahali alisema yeye ni mungu



 
Wanazuoni wa bible ni kina Nani? Hawa ndio watu walioleta theologia yaani theology elimu kuhusu Mungu. Neno lenyewe limetokana na nadhalia yaani theory (nadhalia) unadhani /unafikili nini kuhusu Mungu. Sasa Ka mkubwa hili sio neno la Mungu theologia si ya Mungu ni ya ibirisi.
Na ndio maana nasema hivi kama umefika kiwango cha kuikosoa bible unayoisoma na kusema imepotoshwa na mtume Paulo, hii ni uongo, na uongo NI WA ibirisi na wewe NI WA ibirisi. Na ndio maana mtume Muhammad huyo mnaedai NI mtume wa MUNGU alibaka kwa kuoa mtoto, hilo swali hutaki kulijibu tangu Jana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Utachanganya Quran mara biblia lakini ukweli ni kuwa Yesu si Mungu wala hamna mahali alisema yeye ni mungu
Mwambie Allah kadanganya

Allah anasema Mung ni mwanga Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....

Yesu anajitaja yeye ni mwanga
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, “Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu.
 
Allah anaendelea kukupa majibu

Allah anasema Mung ni mwanga Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....

Yesu anajitaja yeye ni mwanga
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, “Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu.
Mokiti hivi mtume wa MUNGU imekuaje akaoa mtoto wa miaka sita? Hili swali analikwepa Sana Gavana Gavana hebu nisaidie wewe. Mtume hiki kitendo tunakiitaje??
 
Mokiti hivi mtume wa MUNGU imekuaje akaoa mtoto wa miaka sita? Hili swali analikwepa Sana Gavana Gavana hebu nisaidie wewe. Mtume hiki kitendo tunakiitaje??
Muhammad alikuwa ni pedophile, Yani aina flani ya ukichaa ya kutamani watoto kingono, pia sio aisha tu alikuwa pia basha anakula linshoga kilikuwa linaitwa kalbi , akikutwa nae chumbani anadai ni jibril kaja na umbo la kalbi, pia alinyonya katoto Cha kiume ulimi

Muhammad alikiwa mtume wa Lucifer
 
Sahih Muslim 1422 b

'Aisha (Mwenyezi Mungu amrehem) aliripoti:
Mtume wa Mwenyezi Mungu (ﷺ) alinioa
nikiwa na umri wa miaka sita, na nilipelekwa
nyumbani kwake nilipokuwa na umri wa miaka
tisa.

mfano wa Muhammad wa kuoa mtoto mdogo
('Aisha akiwa na umri wa miaka sita) ndio
sababu nchi za kiislam zinazoendeshwa kwa
Shariah haziwekei umri wa chini wa ndoa.

surah 65: 4 inaruhusu mtu mzima kuoa mtoto
mdogo ambaye hajapata mzunguko wa
kwanza wa hedhi lakini pia kuwapa talaka ili
wengine waweze kuwaoa.

Haya ni mambo ambayo yanaendelea hadi leo
kwa sababu Waislamu wanamchukua
Muhammad kama nabii kwani maisha yake
yana muhuri wa Allah. Katika nchi kama
Yemen ambayo bado ni kawaida kwa wanaume
kuoa watoto ambao bado hawajavunja ungo na
wakati nchi ilipokuwa inajaribu kuzuia, kiongozi
wa kidini ambaye alisema huwezi kuacha hiyo
tabia kwa sababu utakuwa unamhukumu
Mwenyezi Mungu katika Quran na Muhammad
katika maisha yake.

surah 33:21 inasema Muhammad ni mfano
ambao Waislamu wanapaswa kumfuata hichi
sio kitu tu kibaya ambacho Muhammad
alifanya jambo hilo limeathiri kizazi baada ya
kizazi cha watu ambao wanahitaji ulinzi yaani
wasichana wadogo wengi wamekuwa
wakiathirika wakati mwingine hufa kwa
sababu hawako tayari kwa tendo hilo na yote
yameithinishwa na huto wanaemuita Allah na
Muhammad.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…