Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 14,677
- 18,561
Surah Al-Baqarat: Ayah 2551.
Jibu ni;
اللّهُ لاَ إِلَـهَ إِلاَّ هُوَ الْحَيُّ الْقَيُّومُ لاَ تَأْخُذُهُ سِنَةٌ وَلاَ نَوْمٌ لَّهُ مَا فِي السَّمَاوَاتِ وَمَا فِي الأَرْضِ مَن ذَا الَّذِي يَشْفَعُ عِنْدَهُ إِلاَّ بِإِذْنِهِ يَعْلَمُ مَا بَيْنَ أَيْدِيهِمْ وَمَا خَلْفَهُمْ وَلاَ يُحِيطُونَ بِشَيْءٍ مِّنْ عِلْمِهِ إِلاَّ بِمَا شَاء وَسِعَ كُرْسِيُّهُ السَّمَاوَاتِ وَالأَرْضَ وَلاَ يَؤُودُهُ حِفْظُهُمَا وَهُوَ الْعَلِيُّ الْعَظِيمُ
Allah – hapana mungu ila Yeye Aliye hai, Msimamia mambo yote milele. Hashikwi na usingizi wala kulala. Ni vyake pekee vyote viliomo mbinguni na duniani. Ni nani huyo awezaye kuombea mbele yake bila ya idhini yake? Anayajua yaliyo mbele yao na yaliyo nyuma yao; wala wao hawajui chochote katika vilio katika ujuzi wake, ila kwa atakalo mwenyewe. Enzi yake imetanda mbinguni na duniani; na wala haelemewi na kuvilinda hivyo. Na Yeye ndiye aliye juu, na ndiye Mkuu. (2:255)
2.Jibu ni;
Al-Anbiyaa- 107
كَانَ مُحَمَّدٌ أَبَا أَحَدٍ مِّن رِّجَالِكُمْ وَلَـٰكِن رَّسُولَ اللَّـهِ وَخَاتَمَ النَّبِيِّينَ ۗ وَكَانَ اللَّـهُ بِكُلِّ شَيْءٍ عَلِيمًا ﴿٤٠﴾
Hakuwa Muhammad (صلى الله عليه وآله وسلم) baba wa yeyote miongoni mwa wanaume wenu, lakini ni Rasuli wa Allaah na ni mwisho wa Manabii. Na Allaah daima Ni Mjuzi wa kila kitu.
Al Ahzaab-(33:40)
3.Jibu ni;
وَمَا خَلَقْتُ الْجِنَّ وَالْإِنسَ إِلَّا لِيَعْبُدُونِ
Nami sikuwaumba majini na watu ila waniabudu (51:56)
Surah Al-Baqarat: Ayah 255
ٱللَّهُ لَآ إِلَٰهَ إِلَّا هُوَ ٱلۡحَيُّ ٱلۡقَيُّومُۚ لَا تَأۡخُذُهُۥ سِنَةٞ وَلَا نَوۡمٞۚ لَّهُۥ مَا فِي ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَمَا فِي ٱلۡأَرۡضِۗ مَن ذَا ٱلَّذِي يَشۡفَعُ عِندَهُۥٓ إِلَّا بِإِذۡنِهِۦۚ يَعۡلَمُ مَا بَيۡنَ أَيۡدِيهِمۡ وَمَا خَلۡفَهُمۡۖ وَلَا يُحِيطُونَ بِشَيۡءٖ مِّنۡ عِلۡمِهِۦٓ إِلَّا بِمَا شَآءَۚ وَسِعَ كُرۡسِيُّهُ ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلۡأَرۡضَۖ وَلَا ئَُودُهُۥ حِفۡظُهُمَاۚ وَهُوَ ٱلۡعَلِيُّ ٱلۡعَظِيمُ
Mwenyezi Mungu – hapana mungu ila Yeye Aliye hai, Msimamia mambo yote milele. Hashikwi na usingizi wala kulala. Ni vyake pekee vyote viliomo mbinguni na duniani. Ni nani huyo awezaye kuombea mbele yake bila ya idhini yake? Anayajua yaliyo mbele yao na yaliyo nyuma yao; wala wao hawajui chochote katika vilio katika ujuzi wake, ila kwa atakalo mwenyewe. Enzi yake imetanda mbinguni na duniani; na wala haemewi na kuvilinda hivyo. Na Yeye ndiye aliye juu, na ndiye Mkuu.
{ Hapo Allah anasema} - "hapana mungu ila Yeye Aliye hai, Msimamia mambo yote milele. Hashikwi na usingizi wala kulala. Ni vyake pekee vyote viliomo mbinguni na duniani. Ni nani huyo awezaye kuombea mbele yake bila ya idhini yake? Anayajua yaliyo mbele yao na yaliyo nyuma yao; wala wao hawajui chochote katika vilio katika ujuzi wake, ila kwa atakalo mwenyewe. Enzi yake imetanda mbinguni na duniani; na wala haemewi na kuvilinda hivyo. Na Yeye ndiye aliye juu, na ndiye Mkuu."
Yaani Allah anamnukuu Mungu mwingine. ha....ha...
Kwanini hapana Mungu ila mimi
Kama hapa
Mwanzo 26:24
Bwana akamtokea usiku uleule, akasema, [emoji117]Mimi ni Mungu wa Ibrahimu baba yako, usiogope, maana mimi ni pamoja nawe, [emoji117]nami nitakubarikia, na kuzidisha uzao wako kwa ajili ya Ibrahimu mtumishi wangu.
Unaona Mungu wa Musa anavyosema.
Mimi ni Mungu wako nitafanya hivi na hivi.
Sasa hiyo Aya 2: 255 Mungu Allah ananukuu maneno ya Mungu gani ?
Hapo Musa anaripoti alivyo ongea na Mungu wake na anamnukuu.Nyani haoni makalio yake [emoji14] [emoji14]
Kwani anayesema hapa ni nani ??
Kutoka 3:14
Mungu akamwambia Musa, MIMI NIKO AMBAYE NIKO;akasema,Ndivyo utakavyowaambia wana wa Israeli; MIMI NIKO amenituma kwenu.
Apa tunataka andiko sio storyNawashangaa wanaodhani kuwa wanamfahamu zaidi Nabii Issa kuliko watu wake.
Issa kazaliwa Palestina, kwa Waarabu, sasa leo linakuja jitu kutoka Ulaya lanambadilisha jina na kumpachika "Jesus", huyo huyo mzungu kuja Tanganyika kufika Peramiho anawaambia huyu "Jesus" kikwenu huku mwiteni "Yesu". Wapi na wapi mpalestina na majina hayo?
Mbona hakuna aya ata moja Allah kasema Mimi ni Mungu niabuduni?1.
Jibu ni;
اللّهُ لاَ إِلَـهَ إِلاَّ هُوَ الْحَيُّ الْقَيُّومُ لاَ تَأْخُذُهُ سِنَةٌ وَلاَ نَوْمٌ لَّهُ مَا فِي السَّمَاوَاتِ وَمَا فِي الأَرْضِ مَن ذَا الَّذِي يَشْفَعُ عِنْدَهُ إِلاَّ بِإِذْنِهِ يَعْلَمُ مَا بَيْنَ أَيْدِيهِمْ وَمَا خَلْفَهُمْ وَلاَ يُحِيطُونَ بِشَيْءٍ مِّنْ عِلْمِهِ إِلاَّ بِمَا شَاء وَسِعَ كُرْسِيُّهُ السَّمَاوَاتِ وَالأَرْضَ وَلاَ يَؤُودُهُ حِفْظُهُمَا وَهُوَ الْعَلِيُّ الْعَظِيمُ
Allah – hapana mungu ila Yeye Aliye hai, Msimamia mambo yote milele. Hashikwi na usingizi wala kulala. Ni vyake pekee vyote viliomo mbinguni na duniani. Ni nani huyo awezaye kuombea mbele yake bila ya idhini yake? Anayajua yaliyo mbele yao na yaliyo nyuma yao; wala wao hawajui chochote katika vilio katika ujuzi wake, ila kwa atakalo mwenyewe. Enzi yake imetanda mbinguni na duniani; na wala haelemewi na kuvilinda hivyo. Na Yeye ndiye aliye juu, na ndiye Mkuu. (2:255)
2.Jibu ni;
Al-Anbiyaa- 107
كَانَ مُحَمَّدٌ أَبَا أَحَدٍ مِّن رِّجَالِكُمْ وَلَـٰكِن رَّسُولَ اللَّـهِ وَخَاتَمَ النَّبِيِّينَ ۗ وَكَانَ اللَّـهُ بِكُلِّ شَيْءٍ عَلِيمًا ﴿٤٠﴾
Hakuwa Muhammad (صلى الله عليه وآله وسلم) baba wa yeyote miongoni mwa wanaume wenu, lakini ni Rasuli wa Allaah na ni mwisho wa Manabii. Na Allaah daima Ni Mjuzi wa kila kitu.
Al Ahzaab-(33:40)
3.Jibu ni;
وَمَا خَلَقْتُ الْجِنَّ وَالْإِنسَ إِلَّا لِيَعْبُدُونِ
Nami sikuwaumba majini na watu ila waniabudu (51:56)
Shida ni kuleta Imani ya Mungu wako kwa Mungu ambae si wakoTatizo la mabishano ya uungu wa Yesu ni kwamba wanaomini Yesu ni mungu wanatoa maandiko kuthibitisha huo uungu na wenye kusema Yesu si Mungu nao wanatoa maandiko kuthibitisha hakuwa Mungu.
Kitabu hicho hicho kimoja kinatumika kupinga na kuthibitisha uungu wa Yesu.
Umri wa binadamu unahesabia kianzia siku ,miezi na miakaKwani umri wa binti kuolewa ulikuwa miaka mingapi wakati huo?
Kwa sasa tungemfunga jela miaka 30 na viboko 12 na Uislamu ungeishia hapoHuyu amebaka mtoto mtoto haolewi amebaka.
Koran nzima ni maneno ya muhammad akisaidiwa na majiniHapo anyeongea ni nani
Nataka Allah aseme
"Mimi Allah nimewaumba majini na watu ili waniabudu?"
Mimi nazungumzia vifungu vya maandiko vya kwenye biblia hiyo hiyo, wanaopinga Yesu kuwa Mungu hawatumii Qur'an bali biblia na kumbuka sio wakristo wote wenye kuamini Yesu ni Mungu.Shida ni kuleta Imani ya Mungu wako kwa Mungu ambae si wako
Mfano siwezi nikaja kusema Allah ni Roho nitaenda kinyume na Imani ya waislamu ambao wanaamini Allah ni physical being creature
Nikija kwa wakristo nikasema Jehovah ni physical nitakuwa nimekosea maana Jehovah ni spirit
Majini ndio nani unakusudia wale malaika?Koran nzima ni maneno ya muhammad akisaidiwa na majini
Ndio maana unakuta anaongea kwenye third person
Kwanini unasema kwa sasa? Kwani wakati huo sheria zilikuwa zilikuwa zinasemaje?Kwa sasa tungemfunga jela miaka 30 na viboko 12 na Uislamu ungeishia hapo
Ambae aamini Yesu ni Mungu sio mkristo, Imani ya wakristo inajulikana ni kukiri Mungu baba mwana na Roho mtakatifu kinyume chake unakuwa sio mkristoMimi nazungumzia vifungu vya maandiko vya kwenye biblia hiyo hiyo, wanaopinga Yesu kuwa Mungu hawatumii Qur'an bali biblia na kumbuka sio wakristo wote wenye kuamini Yesu ni Mungu.
Ulikuwa wakati wa ujinga , na walikuwa wanamuogopa pedophile Muhammad maana alikuwa anaua kikatili mno , na hakuna mtu mwingine alibaka mtoto ni yeye tuKwanini unasema kwa sasa? Kwani wakati huo sheria zilikuwa zilikuwa zinasemaje?
Haya maneno kuwa usipokiri Mungu baba, Mungu mwana Na Roho mtakatifu sio mkristo umeyatoa wapi?Ambae aamini Yesu ni Mungu sio mkristo, Imani ya wakristo inajulikana ni kukiri Mungu baba mwana na Roho mtakatifu kinyume chake unakuwa sio mkristo
Yesu alikuwa binadamu kamili na Mungu kamili Kuna mda alikuwa anaongea kama binadamu
Umri wa kuolewa ni binadamu anapokuwa mtu mzima Yani kutoka kwenye utoto , at least kuanzia miaka 18 ila kitabibu unashauriwa miaka 20Haujajibu swali nililokuuliza, ni umri gani ambao binti alikuwa anaruhusiwa kuolewa wakati huo? Sema tu ni 18,19,20 au 30?
Ndio Imani ya ukristo, kinyume chake unakuwa muislamuHaya maneno kuwa usipokiri Mungu baba, Mungu mwana Na Roho mtakatifu sio mkristo umeyatoa wapi?
Acha hoja za kitoto kuua kikatili ndio kupi?Ulikuwa wakati wa ujinga , na walikuwa wanamuogopa pedophile Muhammad maana alikuwa anaua kikatili mno , na hakuna mtu mwingine alibaka mtoto ni yeye tu
Nimekwambia thibitisha hayo maneno kuwa usipo kiri Mungu baba, Mungu mwana na Roho mtakatifu unakuwa sio mkristo?Ndio Imani ya ukristo, kinyume chake unakuwa muislamu