mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,419
- 17,765
Kama ntajaribu kukufahamisha.Hapo ndio naona dini ni ujinga wa kiwango cha lami, kwani ni lazima Mungu amfanye laana Nabii wake ili kuwaokoa? kwani kwa uwezo wake yeye husema jambo likawa, iweje mtu atesweeee halafu aangikwe msalabani kwa taaabu mpaka afe ili nyie muokolewe? kwa nini asiseme "Mmeokolewa" basi mkaishi safi na wote mkawa dini moja, hakuna cha alshabab wala antibalaka? anakwama wapi huyo Mungu?
asante kwa maoni BrotherMambo ya dini sawa sawa na ulevi wa mihadarati tu
Kwani hatima ya mwanadamu ni nini?Kama ntajaribu kukufahamisha.
hiyo ni kesi sio suala la kutamka tu.
Mungu aliweka kanuni. Mwanadamu akiivunja atakufa. mwanadamu akavunja. Mungu sio kama viongozi wetu apindishe sheria, Sheria au ile kanuni inataka afe hakuna jinsi. Kama haitoshi shetani mshataki yupo anafuatlilia ili Mungu asitende haki alalamike ionekane Mungu ni mbaguzi.
Hakukuwa na Jinsi kati ya mawili. Mwanadamu aangamie milele au Mungu aliyemuumba afe kwa niaba ya mwanadamu kukidhi takwa la sheria inayodai mtu lazima afe maana kaivunja. Hawezi kufia Mbinguni lazima aje hukuhuku kwa wanadamu ambao anaassignment pia ya kuwaonyesha jinsi ya kuishi. Anawaonyesha pia model ya maisha. Kafa msalabani kwa niaba ya ulimwengu wote.
Hapa inqbaki kqzi mbili kukubali huo mbadala wa kifo maana hiyo aibu ulipaswa kubeba wewe yeye kafanya kwa niaba au umkatae Yesu na zoezi zima tena wengine wanapotosha kusema hakufa.
Hapo ndipo imelala hatma ya mwanadamu. Ndicho kinatufanya kukomaa hapa na ndugu zetu nao angalau wapate picha tunamaanisha nini tunaposema Mungu kaonekana mitaani hatimaye kasurubiwa uchi msalabani?
Fine, ni (binadamu?) wangapi hapa duniani wenye sifa kama hii. Why not Mtume (SAW)?Nani amekwambia Yesu baba ake ni Yusufu ? Sasa ndio utuambie Yesu baba ake Yusufu kimalezi au kinasaba ? Na kama kinasaba utupe ushahidi.
Kwetu sisi waislamu Yesu(Issa) kazaliwa pasi na baba,ndio maana ubini wake unarudi kwa mama,na kuitwa ISSA MWANA WA MARIAM.
Kuna mawili baada ya yoote unayoyaona hapa.Kwani hatima ya mwanadamu ni nini?
Umeyatoa wapi yote hayo?Kuna mawili baada ya yoote unayoyaona hapa.
Uzima au Kifo.
Hiki kinachotupata ni mwangwi tu au usinhizi wa mauti tu.
Baadaye kila aliyehai na wafu wote watafufuliwa na Huyu Yesu tunayemjadili.
Atakuwepo mshtaki ambaye ni shetani, Yeye adhabu na faili lake limeshafungwa.
Watasimama wanadamu akidai ni halali kufa nao wote, Ila Yesu atasimama kuwatetea wote waliomuamini. Adhabu ya kifo cha milele haitakuwa juu yao hao maana tayari Yesu ameshawafia. Yesu ndiye atakuwa hakimu wakati huohuo wakili wa wanaompokea.
Walio upande wa Yesu watapewa kuishi milele au immortality,
wa ibirisi aibu ya milele na kifo na kupotea milele.
Muda huu ndio wakufanya maamuzi ukialala usingizinwa mauti hakuna ujanja zaidi ya kusubiri hukumu tu.
sisi wengine kazi yetu ni kukumbushana.
Hakuna cha Muislam wala Bitha wala mtume atakayetetea mtu siku hiyo ni Yesu na walio upande wake na Shetani akililia apewe wafuasi wake. no neutral ground
Qur'an inasemaje kuhusu kifo cha Nabii Issa bin Marian?
Fine, ni (binadamu?) wangapi hapa duniani wenye sifa kama hii. Why not Mtume (SAW)?
Unaamini Yesu Kristo anaishi?Sababu mantiki ni fani,naomba utumie misingi ya fani ya mantiki kupata ukweli wa maneno yako ya kuwa kisa YESU amezaliwa pasi na baba basi kuna jambo kubwa sana juu yake.
Yani hata kama ningekuwa sifahamu mantiki ni nini ninge_google na kukujulisha maana yake, embu nieleze wewe mantiki ni nini?Hii sio maana ya mantiki.
Unaamini Yesu Kristo anaishi?
Dajjaal ni nani, alifanya nini ulimwenguni (mission yake ilikuwa ni nini) na alipata kutokea wakati gani?Naamini ndio,ila hana cha kufanya zaidi ya kusubiri muda wakecaje duniani aoe na afe.
Kama kuishi makaburini watu wanaishi na kuna Masihi Dajjaal nae anaishi pia.
Sasa hoja yako ya msingi iko wapi ?
Kwa imani yenu ni kwamba wakati wa mwisho utakapofika parapanda itakapolia kutakuwa na maisha tena kwa sababu itabidi mwokozi aje aanze kuishi tena maisha ya kidunia kisha afe na ni nani atatukomboa sasa?
Hahahaha naona umehariri komenti yangu wewe jamaa wewe dah!Nipe ushahidi.
Naamini ndio,ila hana cha kufanya zaidi ya kusubiri muda wakecaje duniani aoe na afe.
Kama kuishi makaburini watu wanaishi na kuna Masihi Dajjaal nae anaishi pia.
Sasa hoja yako ya msingi iko wapi ?
Ikiwa aliyeuwawa ni yule aliyefananishwa, Qur'an inasemaje kuhusu kifo cha Nabii Issa mwenyewe? Maana maelezo haya uliyoandika yameelezea kuhusu kuuwawa kwa aliyefananishwa na Nabii Issa bin Marian. Ndio kusema baada ya kuuwawa kwa aliyefananishwa Nabii Issa aliendelea kuishi. Qur'an ina maelezo zaidi kuhusu mwisho wa Nabii Issa hapa duniani?Kuhusu hilo Qur'aan inasema hivi :
157. Na kwa kusema kwao: Sisi tumemuuwa Masihi Isa, mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu - nao hawakumuuwa wala hawakumsalibu, bali walifananishiwa tu. Na hakika walio khitalifiana katika haya wamo katika shaka nayo. Wao hawana ujuzi nayo wowote, ila ni kufuata dhana tu. Wala hawakumuuwa kwa yakini
158. Bali Mwenyezi Mungu alim- tukuza kwake, na hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu, Mwenye hikima. (an Nisaa : 157-158)
We jamaa wewe! Yaani pamoja na kuambiwa Yesu anaitwa Issa bin Mariam kwa sababu hana baba wa kibaolojia bado unataka mifano ya mitume wengine wanaotumia ubin wa mama?! Kwani kuna mitume wengine unaowafahamu ambao hawakuzaliwa na baba hadi utake mfano wa mitume wengine?!Naomba mtume mwingine aliyeAliwa hivyo?
Naomba zaidi ya Yesu mwanadamu aliyezaliwa bila Baba.
Hata Yesu hasemi Yusufu ni Baba Yake, ila yeye sio Wa ulimwengu huu.Yusufu ni Baba Wa kulea.
Hivyo chanzo cha Yesu sio Mariam ,Mariam ni njia tu
Ndio madam wapo binadamu wasio na baba.Kuna binadamu asiye na baba? Hebu fafanua vizuri hapo
Kuna binadamu asiye na baba? Hebu fafanua vizuri hapo
Adamu na Hawa walikuwa binadamu wa kwanza hawakuzaliwa kwa kubebewa mimba ndio maana hawana wazazi