Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 14,677
- 18,561
Hivi mimi na Mtume wako Muhammadi we unafikiri ni nani kutenda dhambi nyingi ?Haya ndio matendo mema ya Yehova kwa watu wasio taka imani yake
Basi sasa enda ukawapige Amaleki, na kuviharibu kabisa vitu vyote walivyo navyo, wala msiwaachilie; bali waueni, mwanamume na mwanamke, mtoto naye anyonyaye, ng'ombe na kondoo, ngamia na punda.
1 Samueli 15:3
Alie ruhusiwa na Yehova huyu hapa sasa, kumbe shida ni kuruhusiwa MAUAJI sio tatizo kwako tenaHivi mimi na Mtume wako Muhammadi we unafikiri ni nani kutenda dhambi nyingi ?
Tatizo la Muhammadi alikuwa anachinja watu bila kuruhusiwa na Mungu wake yaani Allah.
Mungu akiamua kuteketeza kizazi fulani kwake ni sawa tu na hawezi kulaumiwa, amewaumba mwenyewe.
Ila Muhamadi alikuwa anafanya Ugaidi wa kuchinja watu bila ruhusa ya Mungu aliye waumba.
Au una Aya Allah anamtuma Muhammadi kuchinja watu ?
Iweke hapa
Ikiwa ruhusa ya Mungu mwenyewe haina tatizo si kuwaumba mwenyewe.Alie ruhusiwa na Yehova huyu hapa sasa, kumbe shida ni kuruhusiwa MAUAJI sio tatizo kwako tena
Nao wakapigana na Midiani kama Bwana alivyomwagiza Musa; nao wakamwua kila mume.
Hesabu 31:7
BAADA YA KUMUUA KILA MUME JAMBO LINGINE LIKAFATA SASA
Wana wa Israeli wakawachukua mateka wanawake wa Midiani na watoto wao; na ng'ombe zao wote, na kondoo zao wote, na mali zao zote, wakachukua nyara.
Hesabu 31:9
Sio kuua tu hata na mateka Bwana aliruhusu wachukuliwe , hapa saafi kwa vile yamefanyika kwenye biblia
Kwani Allah anakuambiajeMbona unatapatapa thibitisho wapi Yesu alisema mtu asipo kiri yeye kuwa sio Mungu anakuwa sio mkristo ? unaruka ruka tu kama umekatwa kichwa
Elewa yesu ni munguKwani Allah anakuambiaje
Allah anasema Mungu ni mwanga Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....
Yesu anajitaja yeye ni mwanga
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, “Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu.
Kwahiyo sasa umeama kutoka kwenye kuua binadamu wengine , umeamia kuwa kuna ruhusa ya Mungu kuua, kijana mbona unayumba sana , hii sio gharika hii ni amri ya kuua binadamu wengine ambao hawana imani sawa naoIkiwa ruhusa ya Mungu mwenyewe haina tatizo si kuwaumba mwenyewe.
Ghalika ya Nuhu iliuwa viumbe wengi pamoja na watu kwa ruhusa ya Mungu aliye viumba.
Miji ya Sodoma na Gomola iliteketezwa kwa Moto kwa ruhusa yake na hakuna tatizo.
Ila huyu kiumbe Muhamadi alipata wapi ruhusa ya kuwatoboa watu macho, kuwanyima maji hadi wafe.
Kuwachinja watu na kupora wanawake wao hadi mmoja wao akamwekea sumu Mtume na akafa.
Ni wapi Mtume alikuwa anapata ruhusa ya Mungu wake kuua, kutesa kuteka na kubaka watumwa, watoto na wake za watu ?
Naomba hiyo Aya.
La alikuwa Gaidi kama Magaidi hawa wa leo akina Al-Shababu.
Allah amesha sema Yesu ni mnyama mavi kama binadamu wengine, hakuna cha ziada ni mtume pia, swali wapi usipo kiri kuwa Yesu ni Mungu unakuwa sio mkristo?Kwani Allah anakuambiaje
Allah anasema Mungu ni mwanga Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....
Yesu anajitaja yeye ni mwanga
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, “Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu.
Kwa hiyo apa kadanganya?Allah amesha sema Yesu ni mnyama mavi kama binadamu wengine, hakuna cha ziada ni mtume pia, swali wapi usipo kiri kuwa Yesu ni Mungu unakuwa sio mkristo?
Bro eti naskia mtume Muhammad alilogwa NI kweli?Allah amesha sema Yesu ni mnyama mavi kama binadamu wengine, hakuna cha ziada ni mtume pia, swali wapi usipo kiri kuwa Yesu ni Mungu unakuwa sio mkristo?
No nikusahihishe kidogo, sio AELEWE anatakiwa aamini kua Yesu NI MUNGUElewa yesu ni mungu
HIVI bro kumbe mtume Muhammad alioa mtoto wa miaka 6, na alingonoka neye daaaah[emoji3064][emoji3064][emoji3064]Alie ruhusiwa na Yehova huyu hapa sasa, kumbe shida ni kuruhusiwa MAUAJI sio tatizo kwako tena
Nao wakapigana na Midiani kama Bwana alivyomwagiza Musa; nao wakamwua kila mume.
Hesabu 31:7
BAADA YA KUMUUA KILA MUME JAMBO LINGINE LIKAFATA SASA
Wana wa Israeli wakawachukua mateka wanawake wa Midiani na watoto wao; na ng'ombe zao wote, na kondoo zao wote, na mali zao zote, wakachukua nyara.
Hesabu 31:9
Sio kuua tu hata na mateka Bwana aliruhusu wachukuliwe , hapa saafi kwa vile yamefanyika kwenye biblia, labda nikuulize swali kazi ya hao mateka wanawake ni nini?
Ndio nilikuwa nakufunza mwanzoAllah amesha sema Yesu ni mnyama mavi kama binadamu wengine, hakuna cha ziada ni mtume pia, swali wapi usipo kiri kuwa Yesu ni Mungu unakuwa sio mkristo?
Ina onekana huna hoja yeyote unapaparika tu, Allah wapi kakwambia Yesu ni Mungu? yaanj unaleta habari za Mwanga ndio Yesu awe mungu , hivi ni vichekesho , Quran iko wazi Masihi ni mnya mavi kama wewe hawezi kuwa Mungu, swali langu wapi usipo kiri kuwa Yesu sio Mungu unajivua ukristo? kwa kona kona hizi mashahidi wa Yehova ni wakristo na wapo sahihi, wewe toka asubuhi huna andiko unaruka ruka tu hapa kama maharageKwa hiyo apa kadanganya?
Allah anasema Mungu ni mwanga Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....
Yesu anajitaja yeye ni mwanga
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, “Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu.
Ni kweli alioa mtoto wa miaka 6, na alimuingilia baada ya kutimiza miaka 9 alipo balehe, kama ange muingilia kabla ya balehe hapo ndio ingekuwa tatizo , hata mama wa Yesu aliolewa lakini hakuingiliwa na mumewe mpaka anapata mimba na kumzaa Yesu kwahiyo sijaona tatizo hapoHIVI bro kumbe mtume Muhammad alioa mtoto wa miaka 6, na alingonoka neye daaaah[emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Mbona unakimbia kimbia wewe, hapa umetangaza kuwa kama mtu hajamkiri Yesu kuwa ni Mungu huyo anakuwa sio mkristo, nimekwambia ulete andiko unaanza kuzungumza vitu ambavyo hata sija kuuliza, huwezi kusema jambo wakati hauna andiko huo ni uzushi sio imaniNdio nilikuwa nakufunza mwanzo
Wakristo Wana Mungu wao ambae ni tofauti na Allah, Mungu wa wakristo ni muweza wa yote
Alikuja duniani akawa mtu na sio mara ya kwanza Alisha mtokea ibarahim akiwa na umbile la binadamu
.
Allah hawezi chochote ni statue ilikuwa pale macca
Ni kweli kabisa Mohamadi alirogwa , ila mwisho wa siku uchawi ukashindwa akawa huru, ni mitihani kama binadamu alipitia sio ajabuBro eti naskia mtume Muhammad alilogwa NI kweli?
Pedophile Muhammad aliona Nini kwa mtoto ? Kumbuka alikuwa nae analala nae kitandani na alikuwa anacheza na midoli , oh poor kid kazulumiwaNi kweli alioa mtoto wa miaka 6, na alimuingilia baada ya kutimiza miaka 9 alipo balehe, kama ange muingilia kabla ya balehe hapo ndio ingekuwa tatizo , hata mama wa Yesu aliolewa lakini hakuingiliwa na mumewe mpaka anapata mimba na kumzaa Yesu kwahiyo sijaona tatizo hapo
Imani ya ukristo ni kukiri Yesu ni Mungu full stop .Mbona unakimbia kimbia wewe, hapa umetangaza kuwa kama mtu hajamkiri Yesu kuwa ni Mungu huyo anakuwa sio mkristo, nimekwambia ulete andiko unaanza kuzungumza vitu ambavyo hata sija kuuliza, huwezi kusema jambo wakati hauna andiko huo ni uzushi sio imani
Mtume Muhamadi aliruhusiwa na nani kuua, kubaka kutoboa macho, kutesa watu nk ?Kwahiyo sasa umeama kutoka kwenye kuua binadamu wengine , umeamia kuwa kuna ruhusa ya Mungu kuua, kijana mbona unayumba sana , hii sio gharika hii ni amri ya kuua binadamu wengine ambao hawana imani sawa nao
Lakini katika miji ya mataifa haya akupayo Bwana, Mungu wako, kuwa urithi, usihifadhi kuwa hai kitu cho chote kipumzikacho;
Kumbukumbu La Torati 20:16
Hawa watu kosa lao ni kutokuwa Waisrael hawana kosa jingine, kila siku mnaita waislamu wakatili kwa kuua watu ambao sio waislamu, sasa leo umekiri kuwa kumbe hata Mungu wako kwenye biblia alitoa ruhusa ambao wana abudu kinyume imani yake anao taka walipigwa UPANGA , kwahiyo hoja ya kuua watu wa imani nyingine TUMEIZIKA rasmi maana Mungu wa BIBLIA pia ametoa ruhusa mambo hayo hii imeisha sasa
Swali ni jepesi sana Allah kadanganya au kasema.kweliIna onekana huna hoja yeyote unapaparika tu, Allah wapi kakwambia Yesu ni Mungu? yaanj unaleta habari za Mwanga ndio Yesu awe mungu , hivi ni vichekesho , Quran iko wazi Masihi ni mnya mavi kama wewe hawezi kuwa Mungu, swali langu wapi usipo kiri kuwa Yesu sio Mungu unajivua ukristo? kwa kona kona hizi mashahidi wa Yehova ni wakristo na wapo sahihi, wewe toka asubuhi huna andiko unaruka ruka tu hapa kama maharage