ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 11,016
- 9,722
Hii ni shida ndio sifa ya Mungu ni mwanga, sifa ya Mungu ni kusikia, sifa ya Mungu ni kuona , n.k hata uwe nazo wewe mwanadamu bado unakuwa sio Mungu maana kuna sifa nyingine huna kama kujua siku ya mwisho(Kiyama), Yesu kuwa na sifa ya mwanga hakumfanyi kuwa Mungu hata mimi nina sifa ya kusikia na kuona sawa na Mungu, na bahati nzuri Quran ipo wazi huyo ni mnya mavi kama wewe, haya tuambie wapi Yesu kasema usipo mkiri kuwa ni Mungu unakuwa sio mkristo?Swali ni jepesi sana Allah kadanganya au kasema.kweli
Allah anasema Mungu ni mwanga Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....
Yesu anajitaja yeye ni mwanga
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, “Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu.
Mungu kamili na Mtu kamili inafanya iwe Mungu-Mtu.Sawa bakia kuwa mbusu jiwe
Imani ya wakristo ndio hiyo kinyume chake kuwa muislamu
Lete andiko acha kelele ,imani sio suala la maneno matupu ni maandiko, wapi imeqndikwa usipo mkiri Yesu kuwq Mungu unakuwa sio mkristo? wapi ? wqpiiiii?Imani ya ukristo ni kukiri Yesu ni Mungu full stop .
Ndio unaona wayahudi, Jehovah witness na wengine ao sio wakristo
Uislamu umetoa ruhusa kuoa binti lakini kwa sharti mpaka abelehe ndio anashiriki tendo la ndoa, mambo ya kuona hayana nafasiPedophile Muhammad aliona Nini kwa mtoto ? Kumbuka alikuwa nae analala nae kitandani na alikuwa anacheza na midoli , oh poor kid kazulumiwa
JIBU SWALI kuanzia leo umekubali kuwa Mungu wa biblia aliruhusu mauaji ya kikatili kwa watu ambao hawakuwa sehemu ya imani yake alio itaka? vile vile aliruhusu wanawake kuchukuliwa mateka kwenye vita ? ukijibu hapa tunakwenda hatua ya pili kujibu swali lako huu mjadala tuta ufunga kwako kama ubaoMtume Muhamadi aliruhusiwa na nani kuua, kubaka kutoboa macho, kutesa watu nk ?
We weka Aya tu, la ni Mwalimu wa Magaidi wa Kiislamu.
Huo mtazamo wa miaka 18-20 kuwa ndio kigezo cha kufikia utu uzima na binti kufaa kuolewa unaweza kuthibitisha kuwa mtazamo huo umekuwepo toka enzi hizo?Umri wa kuolewa ni binadamu anapokuwa mtu mzima Yani kutoka kwenye utoto , at least kuanzia miaka 18 ila kitabibu unashauriwa miaka 20
Yani pedophile mwamediii ashukuru sikuwepo kipindi chake , ningemkata makende take na sime
Allah anakujibu sasa wewe kuwa mkaidiHii ni shida ndio sifa ya Mungu ni mwanga, sifa ya Mungu ni kusikia, sifa ya Mungu ni kuona , n.k hata uwe nazo wewe mwanadamu bado unakuwa sio Mungu maana kuna sifa nyingine huna kama kujua siku ya mwisho(Kiyama), Yesu kuwa na sifa ya mwanga hakumfanyi kuwa Mungu hata mimi nina sifa ya kusikia na kuona sawa na Mungu, na bahati nzuri Quran ipo wazi huyo ni mnya mavi kama wewe, haya tuambie wapi Yesu kasema usipo mkiri kuwa ni Mungu unakuwa sio mkristo?
Wapi Allah kasema Yesu ni Mungu? hapa ukimbii unatangazia watu ukristo ambao haupo zaidi ya uzushi, wapi pameandikwa usipo kiri Yesu ni Mungu sio mkristo? habari za vijiweni unasema ni ukristo, mashahidi wa Yehova ni wakristo na hauna hoja yeyote ya kimaandiko kuwatoaAllah anakujibu sasa wewe kuwa mkaidi
Allah anasema Mungu ni mwanga Koran 24:35. Mwenyezi Mungu ni Mwanga wa Mbingu na Ardhi....
Yesu anajitaja yeye ni mwanga
John 8:12 Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, “Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu.
Pambana na AllahWapi Allah kasema Yesu ni Mungu? hapa ukimbii unatangazia watu ukristo ambao haupo zaidi ya uzushi, wapi pameandikwa usipo kiri Yesu ni Mungu sio mkristo? habari za vijiweni unasema ni ukristo, mashahidi wa Yehova ni wakristo na hauna hoja yeyote ya kimaandiko kuwatoa
Kwamba binadamu alikuwa tofauti na umri haukuanzia sifuri? Miaka 6 haijawahi badilikaHuo mtazamo wa miaka 18-20 kuwa ndio kigezo cha kufikia utu uzima na binti kufaa kuolewa unaweza kuthibitisha kuwa mtazamo huo umekuwepo toka enzi hizo?
Aisee kuvurugwa kubaya ukikuta kwenye Qurani Yesu kaitwa hata mwana wa Mungu kuwa ni sahihi nakuwa mkristo achana na kutajwa kuwa Mungu, niko pale pale mpaka sasa hauna andiko lolote unaloweza kusema mashahidi wa Yehova sio wakristo kisa hawajamkiri kuwa Yesu ni Mungu? unacho fanya ni imani za mitaani kusema zipo kwenye bibliaPambana na Allah
Allah mwenyewe anatamka kwa kinywa chake akimsema Yesu ni nani
Koran 57:3. Yeye ndiye wa Mwanzo na ndiye wa Mwisho,
Rev 22:12.“Sikiliza!” Asema Yesu..... 13Mimi ni Alfa na Omega, wa kwanza na wa mwisho, mwanzo na mwisho.”
Tunaoimba hiyo Aya yenye hayo maelekezo.Uislamu umetoa ruhusa kuoa binti lakini kwa sharti mpaka abelehe ndio anashiriki tendo la ndoa, mambo ya kuona hayana nafasi
Mungu akitaka hata leo anakuuwa tu na haulizwi.JIBU SWALI kuanzia leo umekubali kuwa Mungu wa biblia aliruhusu mauaji ya kikatili kwa watu ambao hawakuwa sehemu ya imani yake alio itaka? vile vile aliruhusu wanawake kuchukuliwa mateka kwenye vita ? ukijibu hapa tunakwenda hatua ya pili kujibu swali lako huu mjadala tuta ufunga kwako kama ubao
Nacho kitaka ni wewe kumpinga AllahAisee kuvurugwa kubaya ukikuta kwenye Qurani Yesu kaitwa hata mwana wa Mungu kuwa ni sahihi nakuwa mkristo achana na kutajwa kuwa Mungu, niko pale pale mpaka sasa hauna andiko lolote unaloweza kusema mashahidi wa Yehova sio wakristo kisa hawajamkiri kuwa Yesu ni Mungu? unacho fanya ni imani za mitaani kusema zipo kwenye biblia
Hapa Yesu ndio alianza kusema kama ulivyo mnukuu.Nacho kitaka ni wewe kumpinga Allah
Koran 57:3. Yeye ndiye wa Mwanzo na ndiye wa Mwisho,
Rev 22:12.“Sikiliza!” Asema Yesu..... 13Mimi ni Alfa na Omega, wa kwanza na wa mwisho, mwanzo na mwisho.”
Wapi Allah kasema Yesu ni Mungu mpaka nimpinge? mpaka sasa hujatoa andiko lolote kuwq kutomkiri Yesu ni Mungu unajitoa kwenye ukristo? unacho fanya ni kucheza makida makida na imani ambayo haipo kwenye maandikoNacho kitaka ni wewe kumpinga Allah
Koran 57:3. Yeye ndiye wa Mwanzo na ndiye wa Mwisho,
Rev 22:12.“Sikiliza!” Asema Yesu..... 13Mimi ni Alfa na Omega, wa kwanza na wa mwisho, mwanzo na mwisho.”
Hivi unajifanya huelewi au unajizima data!!! SWALI ni kweli unakubali kuwa Mungu anaweza kutuma watu wake waende wakawaue watu wengine kikatili na kuchukua mateka wanawake? acha kujizima data jibu swali uliza swaliMungu akitaka hata leo anakuuwa tu na haulizwi.
Ndio maana mtu akifa tunasema.
Mungu alitoa Mungu ametwaa.
Hapa Nauliza.
Muhamadi alipofanya mauaji, ubakaji, utekaji hadi mmoja ya mwanamke aliyempora kwa kuua ndugu zake wote yule Myahudi akampatia sumu na kufanikiwa kumwua Muhammadi.
Alipata ruhusa ya nani ?
Naomba Aya la sivyo Mtume ndiye mwasisi wa Magaidi wa Kiislamu wanao uwa watu hadi hii leo.
Nani alimtuma Muhammadi kuuwa kubaka na kutesa watu.?
Lile la kumpora mke, mtoto wake wa kufikia tutaliongea baadae.
Aya gani tena wakati mtume alishafanya hili na yeye ndio wa kumuiga , aliingia mkataba wa ndoa alipokuwa na miaka 6, kisha akashiriki ndoa baada ya kubalehe AishaTunaoimba hiyo Aya yenye hayo maelekezo.
Hivi wewe una akili timamu kweli.? Quran iko wazi binadamu anae kula na kwenda chooni hawezi kuwa Mungu, kwanini mnapata tabu hivi wakati hata Yesu mwenyewe hajawai kusema usipo mkiri yeye kuwa Mungu wewe sio mkristo, acha kuhusisha Quran na vitu vya ajabuHapa Yesu ndio alianza kusema kama ulivyo mnukuu.
[emoji117]Rev 22:12.“Sikiliza!” Asema Yesu..... 13Mimi ni Alfa na Omega, wa kwanza na wa mwisho, mwanzo na mwisho.”
Hapa Allah akaja kuthibitisha kama ulivyo mnukuu.
[emoji117]Koran 57:3. Yeye ndiye wa Mwanzo na ndiye wa Mwisho.
Maneno ya Yesu yalitangulia na Allah ilimpasa aweke acknowledgement ya kwenye Kitabu cha Ufunuo wa Yohana,
Na sio ku-plagiarise kama yeye ndiye wa kwanza kutamka hivyo.
Allah anajua kila kitu sema anawazuga tu, ili awapoteze kama alivyo ahidi.