Koran yenyeewe imeandikwa miaka 200 baada ya mtume , unataka kutuaminisha Nini?Chimba ndugu elimu Ni bahari hizo hadithi zimeandikwa miaka 300 baada ya mtume kaondoka accruracy yake ikoje? Sasa na Ibn kathir nae kaandika nenda kamsome halafu ukompee hoje
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Aisha ndie wa kuaminiwa kuliko weweChimba ndugu elimu Ni bahari hizo hadithi zimeandikwa miaka 300 baada ya mtume kaondoka accruracy yake ikoje? Sasa na Ibn kathir nae kaandika nenda kamsome halafu ukompee hoje
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Quran haikuandikwa ilipangwa tu katka utaratibu kwani maswahaba wote walikua nayo kifuani Quran iko kwenye lawhin mahfuudh kitabu cha mbinguni ndio ilitolewa humoKoran yenyeewe imeandikwa miaka 200 baada ya mtume , unataka kutuaminisha Nini?
Mimi nazungumzia kumuoa mtume kamuoa Aisha mwaka 622Aisha ndie wa kuaminiwa kuliko wewe
Aisha aliripoti kwamba alikuwa akicheza na mwanasesere mbele ya Muhammad na wakati watoto wenzake walipo muona mtume waliondoka (nyumbani) kwa sababu walihisi aibu kwa Mjumbe wa Mwenyezi Mungu. na Mtume wa Mwenyezi Mungu akawaruhusu waendelee kucheza nae. Sahih al-Bukhari 6130
Koran iliandikwa miaka 200 baada ya Muhammad na mnayotumia ni ya Hafs ambae na yeye alihadithiwaQuran haikuandikwa ilipangwa tu katka utaratibu kwani maswahaba wote walikua nayo kifuani Quran iko kwenye lawhin mahfuudh kitabu cha mbinguni ndio ilitolewa humo
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Ndio kamuoa akiwa katoto kanacheza na midoli na watoto wenzake, ni maneno ya Aisha yeye ndie anajua zaidi na sio weweMimi nazungumzia kumuoa mtume kamuoa Aisha mwaka 622
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Ndio maana nikamwambia aanzishe Uzi huku tutaharibu tu ili tuwekane sawa naona hapa tumeshaingia nje ya mada ila Quran ilikusanywa pamoja kipindi cha uongozi wa Omar bin khtab r.a ndio hio mnaiona leo na Quran 2:2 inasema haina Shaka ndani yake ndio maana hadithi inabidi ikizi vigezo vya Quran vinginevyo hio Mimi sielewiKoran iliandikwa miaka 200 baada ya Muhammad na mnayotumia ni ya Hafs ambae na yeye alihadithiwa
Nenda kachimbe huku Uzi tusiuharibu ni wa Yesu ukitaka huko nialike fungua Uzi nitakufundisha. Mimi sijatunga hayo maelezo yapo kwenye vitabu vya kihistoria nenda kamsome Ibn kathir hakika utajifunza.Ndio kamuoa akiwa katoto kanacheza na midoli na watoto wenzake, ni maneno ya Aisha yeye ndie anajua zaidi na sio wewe
Kibinadamu mtume na sisi ni sawa ila kiheshima yeye Yuko juu hivyo ndivyo ilivyo anakula anakunya anahisia Kama sisi tuuTakiya ni mbaya Sana , Leo unabisha humu Pedophile Muhammad amumuitagi mbora wa viumbe
Nilikuuliza swali tikuamini wewe au Aisha?Ndio maana nikamwambia aanzishe Uzi huku tutaharibu tu ili tuwekane sawa naona hapa tumeshaingia nje ya mada ila Quran ilikusanywa pamoja kipindi cha uongozi wa Omar bin khtab r.a ndio hio mnaiona leo na Quran 2:2 inasema haina Shaka ndani yake ndio maana hadithi inabidi ikizi vigezo vya Quran vinginevyo hio Mimi sielewi
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Aliwezaje kulogwaKibinadamu mtume na sisi ni sawa ila kiheshima yeye Yuko juu hivyo ndivyo ilivyo anakula anakunya anahisia Kama sisi tuu
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Naomba Uzi tafadhali tutanyukana hukoNilikuuliza swali tikuamini wewe au Aisha?
Ni binadamu Kama sisi why asilogwe? Ndio maana na Yesu alitandikwa bakora kwa mujibu wenu Ni simply kwakua Ni watu Kama sisi Mungu Ni mwema anaakili hawezi kuleta malaika wamsimamie binadamu katika shuguli za kibinadamu simple logicAliwezaje kulogwa
Swali ni jepesi sana haliitaji Uzi
Unaijua nature ya Mungu wa wakristo?Ni binadamu Kama sisi why asilogwe? Ndio maana na Yesu alitandikwa bakora kwa mujibu wenu Ni simply kwakua Ni watu Kama sisi Mungu Ni mwema anaakili hawezi kuleta malaika wamsimamie binadamu katika shuguli za kibinadamu simple logic
Yesu ni mtu na ndio ukweli mchumgu hamataki kuusikia
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Yesu ni rohoKama biblia yenyewe imeleta mkanganyiko wa Yesu zaidi ya mmoja , ajabu iko wapi kuwa tofauti na Quran?
Na Roho mtakatifu ni Nani? Au ndio huyohuyo Yesu?Yesu ni roho
Ndio huyo huyo Yesu Kristo. Unahitaji kufundishwa ulimwengu wa Roho na wa Mwili.
Huyo ni Aisha au Bukhari swali Ni tumuamini Aisha au Bukhari?Swali ni jepesi sana haliitaji Uzi
Tukuamini wewe au Aisha ?
Ni Mtakatifu