Suleiman hakupewa mademu ni tamaa zake na alikuja kujuta kwenye kitabu Cha muhubiri, hakuna verse ndani ya biblia Jehovah anamwambia Suleiman achukue mademuSasa ubaya uko wapi Allah mwenyew kampa vyote hivyo mtume wake mbona Sulemain alipewa madem wengi hio Ni dhambi? Kama mola kampa shida iko wapi ewe mgalatia
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Kwenye uislamu malaika ni viumbe waliyoumbwa na Mungu na majini ni viumbe wengine tofauti waliyoumbwa na Mungu,waislamu hawasemi kwamba kuna malaika waliyoasi.Unataka kusema hao Majini wanaotamba ndani ya Qurani ndio Malaika kwenye Uislamu ?
Hao utawapambanishaje na Jina Yesu wakati hawapatani?
Nimekwambia hivi wewe si unaamini Biblia hivyo hata kuhusu Yesu utaamini vile biblia inavyoeleza usijipe shida ya kutaka kulazimisha watu wote wamtambue Yesu kama ilivyo kwenye biblia, tunatofautiana mambo mengi tu hivyo hata hili la Yesu nalo ni moja wapo.Mmepindisha Jina na Sifa za Yesu Makusudi wakati ukweli mnaujua fika kwa lengo maalum.
Historia ipo Israeli ya kuishi, kusurubiwa, kufa na kufufuka kwa ndugu yao Yesu Kristo.
Anakuja Mtume wa Kiarabu kukanusha historia halisi ya Yesu na kumpa sifa zingine?
Huyu Yesu ambaye hakufa, hakusurubiwa na hakufufuka mbona hajawahi tokea huko kwao Israeli ?
Mmefanya hivyo ili kumridhisha nani?
Huyo aliye ficha historia halisi ya Yesu alitaka kumpotosha nani na ni kwanini ?
Mtume ni Mpinga Kristo namba moja.
Kuna majina tofauti kutoka kwenye lugha tofauti hutumika kukusudia Yesu, kama sijakosea waturuki Yesu humwita Isa, sasa sijaelewa hii issue yenu ya jina la Yesu.Mkuu umemaliza kila kitu
Umeongea kweli tupu kwenye post yako ya kwanza.
Yesu Kristo hajawahi kukaa katika Dini moja na Majini.
Ndio maana wameweka jina la Isa na kupotosha sifa zake ili Majini yajisikie raha ndani ya Uislamu.
Ukiweka jina na sifa halisi za Yesu ndani ya Qurani Muhammadi ataonekana kituko au Kiroja kama anavyosema yeye, na Majini yataukimbia Uislamu.
Basi andikeni jina "Yesu Kristo" kwanye Qurani ya Kiswahili.Kuna majina tofauti kutoka kwenye lugha tofauti hutumika kukusudia Yesu, kama sijakosea waturuki Yesu humwita Isa, sasa sijaelewa hii issue yenu ya jina la Yesu.
Kwahiyo Mungu wako ndio aliweza hadi kufa kuonyesha uwezo wake?mungu wako ndie hawezi
Mungu wangu hafiKwahiyo Mungu wako ndio aliweza hadi kufa kuonyesha uwezo wake?
Hivi huo mwili ulikuwa unajitegemea roho yake au huo mwili ulikuwa unatumia roho ya Mungu?Kilicho ukiwa ni human flesh alikuwa anaitumia Yesu , Mungu wa wakristo ni Roho
Humakuna leseni ya dhambi kwenye ukristo leseni ipo kwa waislamu, ukifunga mfungo mmoja unasamehewa mpaka dhambi zijazo na kwenye Koran pia Kuna leseni ya kufanya dhambi yoyote anayotaka Muhammad
Kwanini hafi?Mungu wangu hafi
Kufa si ni kitendo cha mwili kutengana na Roho? Au kifo cha Yesu kilikuaje?Ndio huyo huyo Yesu Kristo. Unahitaji kufundishwa ulimwengu wa Roho na wa Mwili.
Roho Mtakatifu ambaye ndiye Neno alifanyika mwili akaja duniani akajitambulisha kwetu kama Mwana wa Mungu.
Zama za Agano Jipya.
Yohana 1:14
Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.
Mnao angalia mwili ni ngumu kidogo kulielewa hili.
Mgekuwa na macho ya Kiroho mngejua kuwa.
Mungu wa Wakristo anaongea na sisi kama Baba, kama Mwana na Kama Roho Mtakatifu.
Hili limetoka kwa Neno la Kinabii
Isaya 9:6 Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto mwanamume; (Mwana wa Mungu) Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake,
Mshauri wa ajabu,
Mungu mwenye nguvu,
Baba wa milele,
Mfalme wa amani.
Isaya hajasema ataitwa majina yake, bali
Ataitwa Jina lake. Yaani hayo majina yote ni jina moja la Mungu mmoja.
Ndio nature yake hafiKwanini hafi?
Bado unaangaika na jina Isa tu ila hauangaiki na hayo majina mengine yaliyopo kwenye lugha zengine na yenye kutamkika tofauti.Basi andikeni jina "Yesu Kristo" kwanye Qurani ya Kiswahili.
Badala ya Isa ambalo halijulikana ni la lugha gani.
Muanzie hapo
Mt 27:50 SUV Naye Yesu akiisha kupaza sauti tena kwa nguvu, akaitoa roho yake.Kufa si ni kitendo cha mwili kutengana na Roho? Au kifo cha Yesu kilikuaje?
Sasa kama Yesu ni Mungu kwa nini mnasema alikufa?Ndio nature yake hafi
Mt 27:50 SUV Naye Yesu akiisha kupaza sauti tena kwa nguvu, akaitoa roho yake.
Kilicho kufa ni humani flesh kijana,Sasa kama Yesu ni Mungu kwa nini mnasema alikufa?
Lete ushahidi wa aya wapi Yesu alisema Mimi ni Mungu?Mmepindisha Jina na Sifa za Yesu Makusudi wakati ukweli mnaujua fika kwa lengo maalum.
Historia ipo Israeli ya kuishi, kusurubiwa, kufa na kufufuka kwa ndugu yao Yesu Kristo.
Anakuja Mtume wa Kiarabu kukanusha historia halisi ya Yesu na kumpa sifa zingine?
Huyu Yesu ambaye hakufa, hakusurubiwa na hakufufuka mbona hajawahi tokea huko kwao Israeli ?
Mmefanya hivyo ili kumridhisha nani?
Huyo aliye ficha historia halisi ya Yesu alitaka kumpotosha nani na ni kwanini ?
Mtume ni Mpinga Kristo namba moja.
Aliitoa Roho yake kwenye mwili alikuwa anautumia , akaja akaufufua mwenye baada ya kumaliza kazi ya kuwahubiria waliokufa kabla yakeKuitoa roho yake ina maana gani hapo? Toa somo twende sawa.
Wapi Allah kasema Mimi ni Mungu niabuduni?Lete ushahidi wa aya wapi Yesu alisema Mimi ni Mungu?
Huo ndiyo ushahidi wa aya ndani ya Biblia , Yesu alisema Mimi ni Mungu?Wapi Allah kasema Mimi ni Mungu niabuduni?