Hapo ndipo mmepotea.Labda tukusaidie,kwanza ujue jinsi hivi vitabu vilivyoandikwa,lakini ni wajibu wako mwenyewe kuamini au kutokuami,Biblia inatokana na vitabu vya
Hizo hadithi huwa mnasoma na kuzielewa kweli,Yesu hata uhukumu ulimwengu, lakini atakuja kipindi kinachokalibia na mwisho wa dunia na atamkuta mtu mmoja anaitwa Masiha Dajal ambaye atawapitisha watu katika mitihani migumu ya imani, ukimfuata umepotea, ukimkataa umeokoka
Yesu atamuuwa masiha Dajal, naye atakufa, maana katika mwisho wa dunia kila kitu kitakufa, mpaka malaika watakufa, atabaki Mungu peke yake kama alivyoumba dunia, ndiyo utakapoanza ufufuo kwa viumbe wake, na mtu wa kwanza kufufuliwa atakuwa Mtume Muhammad (S.A.W) baada ya hapo itaanza hukumu, itachukua miaka alfu5 huku watu wamesimama hakuna kulala wala kula, huo ndiyo Uisilamu elimu pana hakuna kitu kilichofichwa
Hivi mtu anayekufa madactari wanapima Roho au Mwili.Nini maana ya kufa na mwili unakufa vp?
pembeni ya zizi hakuwezi kuwa na mtende?Waislamu wanadanganya watu, eti Yesu ndio lssa bin Mariam, lakini hawa ni watu wawili tofauti kabisa.
Yesu alizaliwa kwenye hori la ng'ombe na lssa bin Mariam yeye alizaliwa chini ya mtende.
Watu hawa wana tofauti nyingi sana, nawaomba ndugu waislam waache kumlinganisha Yesu na lssa.
Alivyotoa roho yake katika huo mwili ndio ikawa kifo cha Yesu au ikawa amejivua tu huo mwili?Aliitoa Roho yake kwenye mwili alikuwa anautumia , akaja akaufufua mwenye baada ya kumaliza kazi ya kuwahubiria waliokufa kabla yake
Wakati anafufuka aliwafufu na watakatifu wengine
Mathayo 27:53 Walitoka makaburini na Yesu alipofufuka walikwenda Mji Mtakatifu wakawatokea watu wengi.
Haujaeleza kifo ni nini na huko kufa mwili ni vp?Hivi mtu anayekufa madactari wanapima Roho au Mwili.
Ni kwamba mwili unakufa na kuoza ndio maana unazikwa.
Kutokana na imani ya Ukristo kifo kipo mala mbili.Haujaeleza kifo ni nini na huko kufa mwili ni vp?
Jamaa hawana hoja kabisa Ni weupe yaan muislam mmoja aliemaliza elim ya awali tu madrassa anamkalisha mchungaji wa wagalatia nawambia kabisapembeni ya zizi hakuwezi kuwa na mtende?
Wewe mpaka muislamu bhukhari umemuita muongo, ili tu utetee uongo wakoJamaa hawana hoja kabisa Ni weupe yaan muislam mmoja aliemaliza elim ya awali tu madrassa anamkalisha mchungaji wa wagalatia nawambia kabisa
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Nyie ndio hamuelewi kwanza nyie mna elim dunia ndio mmebobea huko sisi hamuwezi kwa namna yeyote ile huku sisi ndio elimu ya msingi ya kwanza kabisa kuliko elim dunia Sasa mtusikilize tunawaambia Nini kijana madrassa anamkalisha mchungaji wenu aliefuzuKatika swala hili waislamu wako nyuma sana kimaarifa kuhusu upande wa ukristoni! Ila huwaambii kitu wakakubali wako wrong inshort ni vilaza.
Bukhari kajichanganya mwenyewe nimekuwekea contradiction zake hapo juu kosa langu lipi? Uongo wangu upi soma na Kama unataka PDF za kutosha Mimi nitakupa ili uone khabari za Bukhari na sio yeye tu wapo na wengine Hilo suala la Muhammad tuachieni wenyewe wallah nyie hakuna mnalojua na mnaloweza kutufundisha au kutudanganya kuhusiana na maisha Muhammad S.A.W unless mungeweza kuichezea Quran na kitu ambacho ulimwenguni hapa kilisha shindikana hivyo mtabaki kurukaruka masikini bila msaaadaWewe mpaka muislamu bhukhari umemuita muongo, ili tu utetee uongo wako
Nyie waislamu ndio mmeita kitabu Cha bhukhari sahih, tukinukuu mnasema ni uongo , sasa nani anadanganyaBukhari kajichanganya mwenyewe nimekuwekea contradiction zake hapo juu kosa langu lipi? Uongo wangu upi soma na Kama unataka PDF za kutosha Mimi nitakupa ili uone khabari za Bukhari na sio yeye tu wapo na wengine Hilo suala la Muhammad tuachieni wenyewe wallah nyie hakuna mnalojua na mnaloweza kutufundisha au kutudanganya kuhusiana na maisha Muhammad S.A.W unless mungeweza kuichezea Quran na kitu ambacho ulimwenguni hapa kilisha shindikana hivyo mtabaki kurukaruka masikini bila msaaada
Quran 15:9 , 17:88
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Kumbuka sio bhukhari tu mpaka Hafs ambae mnatumia Koran yake waislamu walishamuita muongo na mwizi wa kazi za watuBukhari kajichanganya mwenyewe nimekuwekea contradiction zake hapo juu kosa langu lipi?
Unataka kusemaje?pembeni ya zizi hakuwezi kuwa na mtende?
Quran haijapinga biblia hayo mafindisho ya utatu Yesu mwenyewe hakuwahi kuyafundisha Sasa nyie sijui mnayatoa wa wapi hapo lazima uone tunawabugudhiHalafu tuingie kiundani zaidi, ikiwa kulikuwa na misikiti, bila shaka walitumia Quran Tukufu. Kama walitumia Quran je ilimtaja Mtume Muhammad yupi wakati alikuwa hajazaliwa? Mtume Muhammad alizaliwa mwaka 570 AD tofauti ya miaka 570 na Yesu Kristo.
Kwa mtazamo wangu Quran iliandikwa contrary na Biblia yaani kila lililoandikwa liliandikwa kuipinga Biblia mfano kwamba hakuna Utatu Mtakatifu na kadhalika.
Hakuna Quran ya hafs ndio maana nyie weupe hamjui kituKumbuka sio bhukhari tu mpaka Hafs ambae mnatumia Koran yake waislamu walishamuita muongo na mwizi wa kazi za watu
Ahahaha mzee acha usanii wewe ndio umetumbia kazaliwa kwenye holi , sasa tunapo hoji mengine unaleta majibu mepesi kabisaaaYesu ni roho
Sasa hiyo aya ina husika vip na filamu ya Yesu?Kwa hiyo ww hata Quran huiamini![emoji122][emoji122][emoji122][emoji106]
[emoji116][emoji116]
يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا آمِنُوا بِاللَّهِ وَرَسُولِهِ وَالْكِتَابِ الَّذِي نَزَّلَ عَلَىٰ رَسُولِهِ وَالْكِتَابِ الَّذِي أَنزَلَ مِن قَبْلُ ۚ وَمَن يَكْفُرْ بِاللَّهِ وَمَلَائِكَتِهِ وَكُتُبِهِ وَرُسُلِهِ وَالْيَوْمِ الْآخِرِ فَقَدْ ضَلَّ ضَلَالًا بَعِيدًا
[ AN-NISAAI - 136 ]
Enyi mlio amini! Muaminini Mwenyezi Mungu, na Mtume wake, na Kitabu alicho kiteremsha juu ya Mtume wake, na Kitabu alicho kiteremsha kabla yake. Na anaye mkataa Mwenyezi Mungu, na Malaika wake, na Vitabu vyake, na Mitume wake, na Siku ya Akhera, basi huyo amekwisha potelea mbali.
Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
Bila shetani unafikiri ange banikwa msalabani? badala ya kushangaa Mungu wako anajaribiwa na kiumbe wake shetani, unastaajabu binadamu kujaribiwa, hapa ndio mwenye akili timamu unatakiwa kutafakariShetani hakuweza chochote kwa Yesu , ila Muhammad alimuweza
Israel ipi wale jamaa wako Na mambo ya Musa , unafikiri wana habari na watu wa mataifa kama wewe, kule hakuna utakacho pata labda uende RomaUkiambiwa ufanye utafiti kuhusu maisha ya Yesu.
Utaenda kuufanya Israeli aliko zaliwa na kuishi, au Maka na Madina aliko andikwa Isa na Qurani ?
Lete uthibitisho kuwa alikuwa anapizi hewani? Maana leo siku ya tatu hauna uthibitisho wowote kutoka kwa Yesu kuwa asie mkiri kuwa ni Mungu sio mkristo, unapenda sana kuleta maneno ya mitaani humuKumbuka alivyologwa alikuwa anapizi hewani na kutaka kujiua mara kwa mara , na wanzuoni wanasema ilidumu kwa miaka kadhaa na alikuwa mda wote anatoa Koran akiwa kalogwa