ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 11,016
- 9,722
Nyie wakristo akili zenu zina shida unashangaa mtume ambaye ni binadamu kurogwa, halafu una ona sawa Mungu wako ambaye ni Yesu kutundikwa msalabani tena Na watu ambao mnadai kawaumba mwenyewe, ebu fungua kichwaNaombeni Mtu mwenye historia ya Mtume yoyote wa Mungu Aliye Logwa na Mchawi?
Utakuta ni Muhamad tu, Sasa najiuliza Mwenye Nguvu ya Mungu na Uvuvio wa Roho Wa Mungu na Ulinzi wa Mungu kwa Takwa la Mungu, ANAWEZAJE KULOGWA???????????
Tutumie ata akili ndogo sana kujua Mtu huyu Hakuwa Mtumwa wa Mungu bali wa Matakwa yake Binafsi au Shetani ndio ali muibua tu kwa Makusudi yake.
Aliye Andika hapa sio ww??Sasa hiyo aya ina husika vip na filamu ya Yesu?
Hapa Dhamiri Hai Inakataa!Sheria zetu za nchi haziruhusu binti wa miaka 6 kuolewa.
Quran inatambua injili sio kitabu cha Marko au Luka au Mathayo, hao ndio wameleta tabu kila mtu na chupli chupli zakeAliye Andika hapa sio ww??
[emoji116][emoji116]
"waandishi wa biblia wameleta matukio ya Yesu zaidi ya mmoja,"
Dhamira hai inakataa kuwa Mungu muweza wa yote anaweza kufanywa ndafu na viumbe wake, inakataa kabisa sasa huo uweza wa vyote huko wapi?Hapa Dhamiri Hai Inakataa!
Kwa hiyo unataka nikufundishe dini Yako ,Lete uthibitisho kuwa alikuwa anapizi hewani?
Lete andiko mtume alikuwa anapizi hewani kelele za nini wewe? andiko la kutomkiri Yesu Mungu leo siku ya tatu kimyaaaaa , unapenda sana habari za vijiweniKwa hiyo unataka nikufundishe dini Yako ,
Kuna mbusu jiwe mwenzako kasema sahih bhukhari ni muongo na kitabu chake kitupwe kwenye dusty bin
Na Hadith ya pedophile Muhammad kupizi hewani ipo humo
Hapa quran inapomkemea alifanya kitu sahihi??Hadithi hio wote walio itoa ilikua chain ya Bukhari na bin urwa contradiction ya Bukhari alichofanya mtume naimani na mtume hawezi fanya kitu ambacho sio sahihi ili upate mtiririko sahihi pitia historia yote ya makuzi ya Aisha na dada yake Asmah ili ujiepushe na kusamabaza uzushi wa mtume wa Allah Kama mlizoea kumsambazia Yesu uzushi ambao hajawahi fanya Wala kuongea hio Ni hulka yenu wagalatia hivyo tunawajuan nyie dini yenu hamuisomi halafu mnakuja na Hadith hapa kuchallenge sisi tuonaosoma.
Sisi tukisoma mnatuponda kwamba tunadoma elim akhera nyie mnasoma elim dunia alafu wababe wa elimu akhera mnakuja kupinga tunayowafunza kifupi nyie ni wehu
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
umesha jiajiri kuwa mc wake! Dhahir eh!Dhamira hai inakataa kuwa Mungu muweza wa yote anaweza kufanywa ndafu na viumbe wake, inakataa kabisa sasa huo uweza wa vyote huko wapi?
USIMFANANISHE MWANA WA MUNGU NA MAITI.
Nimekupa maandiko ya kutosha, ewe mafarisayoLete andiko mtume alikuwa anapizi hewani kelele za nini wewe? andiko la kutomkiri Yesu Mungu leo siku ya tatu kimyaaaaa , unapenda sana habari za vijiweni
quran imesha kuambia kama huamini umesha potelea mbali¡!Quran inatambua injili sio kitabu cha Marko au Luka au Mathayo, hao ndio wameleta tabu kila mtu na chupli chupli zake
Aisee! Mie nimekubali kuwa sikuelewi.Kutokana na imani ya Ukristo kifo kipo mala mbili.
1. Mwili kushindwa kuishi baada ya kuumwa sana au ajari au mapenzi ya Mungu na kugeuka Maiti.
Hapo Roho inaondoka kwakuwa haiwezi kuishi kwenye Maiti ya Binadamu.
2. Baada ya kufa mwili siku ya Mwisho yaani Kiyama, Roho itarudi kwenye mwili Mfu hata ukioza namna gani na kupata uhai tena.
Hapo ndipo itasomwa hukumu.
Wale watakao bahatika kwenda Mbinguni kwa matendo yao mema walipo kuwa wakiishi duniani hapo watanyakuliwa hadi Mbinguni na kuvishwa mwili mpya, mwili Mtakatifu usiokufa tena katika Roho yako ile ile ya mwanzo.
Hao wataishi milele na kufaidi zile ahadi zetu tulizo ahidiwa, hawa hawata onja mauti ya pili.
Wale watakao enda Motoni watahesabika kufa kiujumla. Kifo cha pili, ambacho ndio kibaya zaidi. Kifo cha Roho na Mwili.
Mathayo 10:28
Msiwaogope wauuao mwili, wasiweze kuiua na roho; afadhali mwogopeni yule awezaye kuangamiza mwili na roho pia katika jehanum.
Haya tuambie sasa sheria za wakati huo zilikuwa zinasemaje kuhusu kuoa binti wa miaka 6 au jamii ilichukuliaje?Hapa Dhamiri Hai Inakataa!
Hicho kitabu kiko wapi? Nani amewahi kukiona?Mathayo ni nani? injili ni kitabu alichoteremshiwa nabii issa alayhi ssalaam mathayo ni nani tena?.
Nabii issa ndiye alikuja na injili huyo mathayo mimi simfahamu.
Kwani kuna mtu yoyote amekuja na kitabu hapa duniani? Amekuja nacho kutoka wapi?Kwahyo injili ni kitabu kimetoka wapi na amekuja nacho nani?.
Eeh cheza nayo ila nimecheka aseee mwamba kakuvuruga..Aisee! Mie nimekubali kuwa sikuelewi.
Unapoteza muda hawa makanisani wanapeleka sadaka tu kwa wajanja hakuna wanacho ambuliaLete andiko mtume alikuwa anapizi hewani kelele za nini wewe? andiko la kutomkiri Yesu Mungu leo siku ya tatu kimyaaaaa , unapenda sana habari za vijiweni
Kanivuruga kweli maana hivyo alivyokuwa anavieleza sijui hata kama nae anavielewa au ilikuwa vinamtoka tu.Eeh cheza nayo ila nimecheka aseee mwamba kakuvuruga..
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Ni Yesu au Jesus mbona mnambadilisha majina. Au yesu ni yule wa bbc na jesus ni yule mzungu mnayemuweka makanisaniWaislamu wanadanganya watu, eti Yesu ndio lssa bin Mariam, lakini hawa ni watu wawili tofauti kabisa.
Yesu alizaliwa kwenye hori la ng'ombe na lssa bin Mariam yeye alizaliwa chini ya mtende.
Watu hawa wana tofauti nyingi sana, nawaomba ndugu waislam waache kumlinganisha Yesu na lssa.