Duh!Tumesema sisi tuna Yesu Kristu mwana wa Mungu aliyezaliwa na Bikira Mariakwa uwezo wa Roho Mtakatifu basi. Huyo msels wenu Issa bakini naye nyiyi, kwa nini mnatulazimishia?
Nitajifunza Uislamu kwakuwa watu wengi wa karibu yangu na wengine ndugu zangu ni Waislamu.Unajifunza hayo kwa sababu zipi? Maana kuna imani nyingi sana kwanini umechagua ujifunze uislamu?
Hiyo ndio sababu tu?Nitajifunza Uislamu kwakuwa watu wengi wa karibu yangu na wengine ndugu zangu ni Waislamu.
HapanaKwamba wayahudi nao wanaamini Mungu wao ni Yesu huyu huyu anayeaminiwa na wakristo?
Mbona mwenzako kasema Wayahudi wanaamini Yesu ni Mungu?Hapana
Nimeongelea dini ya Kiyahudi!Mbona mwenzako kasema Wayahudi wanaamini Yesu ni Mungu?
Mimi nimekupa Aya za Manabii na Mitume Wayahudi waliomwita Yesu ni Mungu wao.Mbona mwenzako kasema Wayahudi wanaamini Yesu ni Mungu?
Mbona unaruka ruka tu , mimi nimekwambia kuna vitu Mungu wetu hawezi kufanya ni nje ya utaratibu, wewe Mungu kawambwa makofi Na watu wake mwenyewe, kwahiyo anaweza kufanya lolote hata kubeba mimba akazaa na kulea?Kwa Uwezo Alio nao Mungu Wangu Akitaka Anaweza!
mungu wako hana Uwezo hadi ameomba dua mbaya kwa Mwenyezi Mungu Awaangamize Wakristo na Wayahudi akapotezewa bado wanadunda!
[emoji116][emoji116]
وَقَالَتِ الْيَهُودُ عُزَيْرٌ ابْنُ اللَّهِ وَقَالَتِ النَّصَارَى الْمَسِيحُ ابْنُ اللَّهِ ۖ ذَٰلِكَ قَوْلُهُم بِأَفْوَاهِهِمْ ۖ يُضَاهِئُونَ قَوْلَ الَّذِينَ كَفَرُوا مِن قَبْلُ ۚ قَاتَلَهُمُ اللَّهُ ۚ أَنَّىٰ يُؤْفَكُونَ
[ AT-TAWBA - 30 ]
Na Mayahudi wanasema: Uzeir ni mwana wa Mungu. Na Wakristo wanasema: Masihi ni mwana wa Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno ya walio kufuru kabla yao. Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa!
[emoji56][emoji15][emoji12]
Anaapia kwa aliye Umba dhakar na kile cha kike![emoji56][emoji2299][emoji2957]
[emoji116][emoji116]
وَاللَّيْلِ إِذَا يَغْشَىٰ
(AL - LAYL - 1)
Naapa kwa usiku unapo funika!
[ وَالنَّهَارِ إِذَا تَجَلَّىٰ
(AL - LAYL - 2)
Na mchana unapo dhihiri!
وَمَا خَلَقَ الذَّكَرَ وَالْأُنثَىٰ
(AL - LAYL - 3)
Na kwa Aliye umba dume na jike!
[14/05, 17:23] Lukwangule: Anaeapa وَاللَّيْلِ إِذَا يَغْشَىٰ
(AL - LAYL - 1)
Naapa kwa usiku unapo funika!
[ وَالنَّهَارِ إِذَا تَجَلَّىٰ
(AL - LAYL - 2)
Na mchana unapo dhihiri!
وَمَا خَلَقَ الذَّكَرَ وَالْأُنثَىٰ
(AL - LAYL - 3)
Na kwa Aliye umba dume na jike!
Dhahir eeh!!
Andiko liko wapi Mohamad ana pizi hewani?mungu wako Allah alilalamika hawezi kuwa na mtoto mpaka apewe mke 🤣🤣🤣🤣😂
Inamaana alllah anayo dudu na hatujua kwa sasa anaitumiaje
Andiko liko wapi Mohamad ana pizi hewani, unajadiliana na Mimi sio mwengine yeyoteielewemitaa msome mbusu jiwe mwenzako, ndio maana nasisitiza kiri kwanza unakiamini kitabu Cha bhukhari
Hili ndio andiko? kuamini au kutoamini sio kazi yako wewe lete andiko maana umesema mwenyewe mohamad ana pizi hewaniSwali rahisi na jepesi
Je unakiamini kitabu cha sahih bhukhari?
A. Ndio
B. Hapana
Tuacheni na Yesu wetu periodDuh!
Hakuna aliyekukataza kuamini hivyo, na waislamu wana Mungu wao Allah na mtume wao Muhammad. Wakristo wanavyomchukulia na kumuamini Yesu ni tofauti na Wayahudi ila kwao hilo halina shida ila shida ni kwa waislamu tu.
Swali rahisi na jepesiHili ndio andiko? kuamini au kutoamini sio kazi yako wewe lete andiko maana umesema mwenyewe mohamad ana pizi hewani
Wewe jamaa andiko unalo au huna? wewe ndio umesema mwenyewe mohamad anapiga pizi hewani, halafu unadaiwa andiko unaleta porojoSwali rahisi na jepesi
Je unakiamini kitabu cha sahih bhukhari?
A. Ndio
B. Hapana
Swali rahisi na jepesiWewe jamaa andiko unalo au huna? wewe ndio umesema mwenyewe mohamad anapiga pizi hewani, halafu unadaiwa andiko unaleta porojo
Andiko lipo ila silitoi mpaka ukiri kuamini kitabu Cha sahih bhukhari, usipo kiri siwekiHili ndio andiko? kuamini au kutoamini sio kazi yako wewe lete andiko maana umesema mwenyewe mohamad ana pizi hewani
Shida sio andiko shida ni wewe , ukishasema unaamini kitabu Cha bhukhari unajua wazi andiko nitaliweka na utakuwa huna Cha kupingaHili ndio andiko? kuamini au kutoamini sio kazi yako wewe lete andiko maana umesema mwenyewe mohamad ana pizi hewani
Kukubaliana na ww kwamba mungu wako hana uwézo ndio kuruka ruka?? mimi nimekazia qauli yako kwa kuweka Ushahidi huu kuwa mungu wako hana Uwezo hadi ameomba dua mbaya kwa Mwenyezi Mungu Awaangamize Wakristo na Wayahudi akapotezewa bado wanadunda!Mbona unaruka ruka tu , mimi nimekwambia kuna vitu Mungu wetu hawezi kufanya ni nje ya utaratibu, wewe Mungu kawambwa makofi Na watu wake mwenyewe, kwahiyo anaweza kufanya lolote hata kubeba mimba akazaa na kulea?
Yaan wanaona Kama vile tumemshusha cheo kumbe ndio hadhi yake na yeye alishawambia yeye. Ni mtu tu wasitke kummua bure kikombe kimuepukeUmaarufu si angepewa huo uungu mliyompa nyinyi? Yesu/Issa kwenye Qur'an kaelezwa kama walivyoelezwa manabii wengine basi, nashangaa hao wengine waliyoelezwa kwenye Qur'an ambao na kwenye biblia wapo hamsemi kuwa ni watu wengine tofauti ila Yesu.
Lugha ya kiarabu huijui wew Maji Ni marefu hakika huyaweziKukubaliana na ww kwamba mungu wako hana uwézo ndio kuruka ruka?? mimi nimekazia qauli yako kwa kuweka Ushahidi huu kuwa mungu wako hana Uwezo hadi ameomba dua mbaya kwa Mwenyezi Mungu Awaangamize Wakristo na Wayahudi akapotezewa bado wanadunda!
[emoji116][emoji116]
وَقَالَتِ الْيَهُودُ عُزَيْرٌ ابْنُ اللَّهِ وَقَالَتِ النَّصَارَى الْمَسِيحُ ابْنُ اللَّهِ ۖ ذَٰلِكَ قَوْلُهُم بِأَفْوَاهِهِمْ ۖ يُضَاهِئُونَ قَوْلَ الَّذِينَ كَفَرُوا مِن قَبْلُ ۚ قَاتَلَهُمُ اللَّهُ ۚ أَنَّىٰ يُؤْفَكُونَ
[ AT-TAWBA - 30 ]
Na Mayahudi wanasema: Uzeir ni mwana wa Mungu. Na Wakristo wanasema: Masihi ni mwana wa Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno ya walio kufuru kabla yao. Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa!
[emoji56][emoji15][emoji12]
Anaapia kwa aliye Umba dhakar na kile cha kike![emoji56][emoji2299][emoji2957]
[emoji116][emoji116]
وَاللَّيْلِ إِذَا يَغْشَىٰ
(AL - LAYL - 1)
Naapa kwa usiku unapo funika!
[ وَالنَّهَارِ إِذَا تَجَلَّىٰ
(AL - LAYL - 2)
Na mchana unapo dhihiri!
وَمَا خَلَقَ الذَّكَرَ وَالْأُنثَىٰ
(AL - LAYL - 3)
Na kwa Aliye umba dume na jike!