Nimpe andiko alafu aseme kama wewe bhukhari ni muongo, mpaka akiri kukiamini kitabu kwanzaTupe na mwingine alieripoti tukio hilo mbona hadithi zipo nyingi tu sio lazima Bukhari. Kwni akiri Nini sasa nimeona toka juu apo anataka andiko mmpe andiko kesi iishe
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Wakatoliki wenyewe lao hawalijui yaani hawelewi washike lipi wwache lipi ndio maana walimmaliza Martin Luther Jr. Angalia hoja za mwamba ndio utajua dini yao wenyew inawavuraga waje wasuke dude kubwa Kama hili? Uislam nyie mnahesabia kwanzia kwa Muhammad SAW wakati Mungu wao Yesu ni muislam mwenzetu.Uislamu umeletwa na Wakatoliki ya 6
Ni utumbo ndio,kama yangekuwa sawa na yanalingana isingeshuswa Quran tena na ufunuo tofauti kabisa mpaka Mungu anaonekana mpuuzi kupitia Quran kumbe ni uhuni tu wa jamaa mmoja.Kwahio biblia ndio kitabu Bora kabisa na kuviita vingine utumbo? Yaliyomo kwenye bibilia ndio hayo hayo yaliyomo kwenye kwenye Quran kwahio vyote Ni utumbo sio ubague ewe mkorinto.
Ukristo umejadiliwa sana nikwambie,yaani ukikuta mijadala mtandaoni 99% ni bible inachakatwa,sio akina mazinge,naik,deedat,hijab,dawar nk,lakini uislam na Quran havijawahi kuwekwa angle ngumu kama alipoviweka huyu mgalatia.Kingine huyo mgalatia unaye msifia beba Aya na hoja zake Zianzishe humu jf au muunge humu jf tuone ana kipi kipya uislam au ukristo ambacho miaka 2000 iliyopita watu hawaja debate...acha huyo wapo waliochallenge wewe unazungumzia huyo anbae hata hajulikani mlete tuu..
Na hii ndio ilikuwa comeback hatari sana ya mtume,akitoa boko mkachachamaa kesho anakuja na uvufunuo mwingine unaohusu mtafaruku wenu[emoji2][emoji2],hakuna shahidi wala dalili ni yeye atakuja na kuwaambia lei nimepewa hii.Wapo waliochallenge mtume mpaka surah nzima ikashuka Quran 109 Al kafiruun. Mtume kapigwa hoja na watu ambao wanaamua tu nyekundu ni nyeusi unatuletea huyo mjinga mmoja eti anailewa Quran daaah
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Hakuna kipya nyie tu hamuezi kutafsiri vitabu kwahio Hilo sio kosa letu Sisi Yesu wenu mungu wenu Ni muislam mwenzetuNi utumbo ndio,kama yangekuwa sawa na yanalingana isingeshuswa Quran tena na ufunuo tofauti kabisa mpaka Mungu anaonekana mpuuzi kupitia Quran kumbe ni uhuni tu wa jamaa mmoja.
Ukristo umejadiliwa sana nikwambie,yaani ukikuta mijadala mtandaoni 99% ni bible inachakatwa,sio akina mazinge,naik,deedat,hijab,dawar nk,lakini uislam na Quran havijawahi kuwekwa angle ngumu kama alipoviweka huyu mgalatia.
Watu wamebaki kubweka tu,muongo muongo lakini hakuna mwenye uwezo wa kuvunja joja zake,wanaojaribu kumsahihisha wanaishia kukubaliana na hoja zake.
Uzuri hazuii mtu kujadiliana naye,hata wewe unaweza ukampigia mkajadili hoja kwa hoja.
Yuko humbel sana,hata ukijaribu kukimbia atakupigia[emoji23][emoji23][emoji23].
Yeye hoja yake ni kwamba Muhamad hawezi kuwa mtume wa Mungu,si kwa jambo jingine ila kwa yaliyoandikwa kwenye Quran.laah aliyempa ufunuo mtume wa kiislam ni shetani.
Na hii ndio ilikuwa comeback hatari sana ya mtume,akitoa boko mkachachamaa kesho anakuja na uvufunuo mwingine unaohusu mtafaruku wenu[emoji2][emoji2],hakuna shahidi wala dalili ni yeye atakuja na kuwaambia lei nimepewa hii.
Sasa kama mwarabu hawezi kuitafsiri Quran yenye lugha yake,wewe mmatumbi utaanzia wapi??unapata wapi nguvu ya kusema umeielewa Quran??Hakuna kipya nyie tu hamuezi kutafsiri vitabu kwahio Hilo sio kosa letu Sisi Yesu wenu Mungu wenu Ni muislam mwenzetu
Huyu dajjal aana wafuasi wake nao ni waislam,amini nakwambia.Na tunausubiri aje kumuua dajjal na yeye atimize andiko la kila nafsi itaonja umaut...
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Alikwambia mwarabu hawezi kuitafsir Ni Nani? Kila kitu Kiko wazi nyie mnataka kututofautishia Kwamba Yesu sio Issah Hilo halipo yule Ni mwenzetu mtake msitake Ni mwenzetu Kama walivyo wengine kina Musa,Haroun, uzeir,Nuhu Ibrahim na lut wote hao Ni sawa yeye ana Nini hasa atoke kwenye utaratibu huo? Au kumpa uhai ndege? Kwa idhini?Sasa kama mwarabu hawezi kuitafsiri Quran yenye lugha yake,wewe mmatumbi utaanzia wapi??unapata wapi nguvu ya kusema umeielewa Quran??
Huyu dajjal aana wafuasi wake nao ni waislam,amini nakwambia.
Na hapa CP ndipo anapoua kenge kwa mabomu,ukipiga utaulizwa kwanza unafahamu kiarabj vyema??maana yeye ni Dr wa elimu ya kiarabu.Alikwambia mwarabu hawezi kuitafsir Ni Nani?
Yeye si sawa na wao sababu aliwajua kabla hawajapata kukanyaga dunia hii.Kila kitu Kiko wazi nyie mnataka kututofautishia Kwamba Yesu sio Issah Hilo halipo yule Ni mwenzetu mtake msitake Ni mwenzetu Kama walivyo wengine kina Musa,Haroun, uzeir,Nuhu Ibrahim na lut wote hao Ni sawa yeye ana Nini hasa atoke kwenye utaratibu huo? Au kumpa uhai ndege? Kwa idhini?
Huo ndio wehu mnaojazwa na akina Mackenzie et aliwajua kabla hajaja?Na hapa CP ndipo anapoua kenge kwa mabomu,ukipiga utaulizwa kwanza unafahamu kiarabj vyema??maana yeye ni Dr wa elimu ya kiarabu.
Yeye si sawa na wao sababu aliwajua kabla hawajapata kukanyaga dunia hii.
Ukiacha hilo kwenye makabrasha kuke mbinguni,jina Muhamad kama mtume halipo.asingeacha kumtaja kama anakuja.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Wakatoliki wameuleta vp uislamu hebu eleza?Uislamu umeletwa na Wakatoliki ya 6
Ukiona mtu anaamini Yesu si Mungu anakuwa sio mkristo ni muislamu mwenzakoYaan wakristo wapo wa aina tatu Kuna wanaoamini Yesu ndio Mungu mwenyewe, Kuna wanaoamini Yesu Ni mtoto wa Mungu Kuna wanaoamini Yesu Ni nabii tuu wa Mungu. Na kila utae mfuata ana andiko lake apo ndio atakubali Sasa imani hii haiko stable hii dini Ni dhaifu Sana yaani hawana wanacho simamia ndio maana kujadiliana na nyinyi inakua vigumu kweli
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Nakuhakikishia wakatoliki wote wanaoamini Yesu Ni mwana wa Mungu sio wakristo?Ukiona mtu anaamini Yesu si Mungu anakuwa sio mkristo ni muislamu mwenzako
Ingekuwa vizuri ukapangua hoja zao wanazotumia kusema Yesu si Mungu.Ukiona mtu anaamini Yesu si Mungu anakuwa sio mkristo ni muislamu mwenzako
Kwahiyo nawewe unaamini Biblia iliparanganywa???Huo ndio wehu mnaojazwa na akina Mackenzie et aliwajua kabla hajaja?
Hivi Yesu huyu mark 12:29-30, na huyu mark 12:61-63 na huyu yohana 8:40, John 10:30-33 Ni yupi? Sahihi yaan kitabu chenu wallah ni mtihani tosha hamuezi kua akili nzuri wamekiparanganya mno
Hapo kwenye yohana maliza mpaka 42
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Hakuna hoja zaidi ya kuvimbiwa.Ingekuwa vizuri ukapangua hoja zao wanazotumia kusema Yesu si Mungu.
Allah kailinda ndio maana kaiweka kwenye Quran kwahio sisi tunapata faida zaidi kuliko nyinyi sisi tunaposoma biblia mafunzo tunapata mengi na Ni kwasababu muongozo tunao.. Sasa nyie mnafeli kwakua hamna uchaguzi unapaswa kuamini biblia yoteKwahiyo nawewe unaamini Biblia iliparanganywa???
Kwamba Allah hakuilinda injili ikaparanganywa??na wakati Qurani inasema muulize yanayowatatiza kutoka kwa watu wa al kitaabi,ilikusudia hii iliyoparanganywa au ipi??
Nakuhakikishia wakatoliki wote wanaoamini Yesu Ni mwana wa Mungu sio wakristo?
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile
Injili iko kwenye Quran??Allah kailinda ndio maana kaiweka kwenye Quran kwahio sisi tunapata faida zaidi kuliko nyinyi sisi tunaposoma biblia mafunzo tunapata mengi na Ni kwasababu muongozo tunao.. Sasa nyie mnafeli kwakua hamna uchaguzi unapaswa kuamini biblia yote
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Ndio maana mkajitengenezea Yesu mungu ili msibuguziwe nyie kanjanja Sana yanHakuna hoja zaidi ya kuvimbiwa.
Sisi wakristo hatuamini kama Mungu wanaomwabudu waislam ndiye tunayemwabudu.
Mungu asiyeweza kufanya kitu anachoamua sababu wanaadam hawajamzoea hivyo huyo sio Mungu ni spika wa bunge labda.
Ndio maana mkajitengenezea Yesu mungu ili msibuguziwe nyie kanjanja Sana yan
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app