Hakuna hoja zaidi ya kuvimbiwa.

Sisi wakristo hatuamini kama Mungu wanaomwabudu waislam ndiye tunayemwabudu.
Mungu asiyeweza kufanya kitu anachoamua sababu wanaadam hawajamzoea hivyo huyo sio Mungu ni spika wa bunge labda.
Issue sio waislamu bali ni utofauti wa wakristo katika imani zao kwa Yesu kwamba wapo wenye kumuamini kama Mungu mkuu,wapo wenye kumuamini kama mtoto tu wa Mungu na wapo wenye kusema Yesu si Mungu ni nabii tu wa Mungu.
 
We weka Aya mimi nitaitafsiri kwa Kiarabu.
Wapi Allah anajitambulisha kwa jina lake kama Mungu Mwenyezi ?

Weka hiyo Aya nitaitafsiri hapa hapa kwa lugha unayoifahamu wewe.

Janja janja ya kujificha kwenye Lugha ya Kiarabu mkishindwa mada haipo tena.

Weka hiyo Aya Allah akijitambulisha kwa jina lake kuwa ndiyo Mungu Mwenyezi.

Nasubiri hapa.
 
Leta andiko kwene bible Yesu akiwambia watu wake kuwa yeye ni MUNGU
 
Issue sio waislamu bali ni utofauti wa wakristo katika imani zao kwa Yesu kwamba wapo wenye kumuamini kama Mungu mkuu,wapo wenye kumuamini kama mtoto tu wa Mungu na wapo wenye kusema Yesu si Mungu ni nabii tu wa Mungu.

Je wanapishana katika kuteswa,kufa na kufufuka na kupaa kwa Yesu??

Waislam hawakubali vyote kati ya hivyo hapo juu,kwao ni nabij lakini hakufa,huu ni zaidi ya ukarabati kwa Yesu ni uundaji wa Yesu mwingine.
 
Mara mseme uislamu umeanzishwa na Muhammad mara Wakatoliki.

Hii ni mada pana,lakini hata hivyo wanaosema RC walaianzisha uislam hawamtoi muhamad katika hiyo kazia,ni kwamba yeye ndiye alikuwa selemala kabati hilo.

Sasa inapingana vipi na kusema yeye ni muislam wa kwanza??
 
We weka Aya mimi nitaitafsiri kwa Kiarabu.
Wapi Allah anajitambulisha kwa jina lake kama Mungu Mwenyezi ?

Weka hiyo Aya nitaitafsiri hapa hapa kwa lugha unayoifahamu wewe.

Janja janja ya kujificha kwenye Lugha ya Kiarabu mkishindwa mada haipo tena.

Weka hiyo Aya Allah akijitambulisha kwa jina lake kuwa ndiye Mungu Mwenyezi.

Nasubiri hapa.

Mambo Ya, Nasi, Mimi, Nami, Mwenyezi Mungu nk, hayathibitishi kuwa Allah anaongea.
 
Injili iko kwenye Quran??
Ndio hii ijayosema Yesu hakuteswa??
Eeeh ndio imetwambia hakuteswa

maana yenu haieleweki

Mchana wa siku moja kabla ya pasaka alisurubiwa

John 18:28, John 19:14-16

Asubuhi siku ya pasaka alisurubiwa

Mark 14:12, mark 15:42

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo Allah alidanganya watu akatesa mtu mwingine??

Allah ni muongo???
 
Je wanapishana katika kuteswa,kufa na kufufuka na kupaa kwa Yesu??

Waislam hawakubali vyote kati ya hivyo hapo juu,kwao ni nabij lakini hakufa,huu ni zaidi ya ukarabati kwa Yesu ni uundaji wa Yesu mwingine.
Kuteswa, kufa na kufufuka ndio umeona ni vitu vya msingi kuliko kutofautiana Mungu wenu? Yani kundi moja liseme Yesu sio Mungu ni binaadamu tu na lengine liseme Yesu ndio Mungu mwenyewe halafu wewe uone hiyo ni kawaida kwa sababu wote wanakubaliana tu kwamba Yesu(mtu/Mungu) aliteswa?
 
Unaona ni jambo la kawaida sababu wewe sio mkristo na hujui maana ya fumbo la imani,linalosimamia imani ya mkristo yeyote.
Msingi wa ukristo uko katika kumpokea Yesu na kuamini kwamba alichukua mateso kwa ajili yako na akafufuka siku ya 3,kwamba ni Mungu au sio Mungu jinsi ulivyoelewa hilo ni swala binafsi la uwezo wa mtu kupatiwa ufunuo.

Nyinyi wahuni hamkubali kwamba ni Mungu wala mwana wa Mungu,hamkubali kwamba hakuteswa wala kufufuka,mtakufa vibaya Allah akiongoza na mtume muhamad.
 
Hii ni mada pana,lakini hata hivyo wanaosema RC walaianzisha uislam hawamtoi muhamad katika hiyo kazia,ni kwamba yeye ndiye alikuwa selemala kabati hilo.

Sasa inapingana vipi na kusema yeye ni muislam wa kwanza??
Kama wakatoliki ndio waliyoanzisha uislamu basi ina maana Muhammad katumika tu katika huo mpango ila RC ndio walisimamia mchezo mzima.
 
wakristo katika imani zao kwa Yesu kwamba wapo wenye kumuamini kama Mungu mkuu,wapo wenye kumuamini kama mtoto tu wa Mungu na wapo wenye kusema Yesu si Mungu ni nabii tu wa Mungu.
Hukuna mristo anaepinga uungu wa Yesu , ukiona mtu yeyeto anaepinga uungu wa Yesu sio mkristo
 
Ndio tunachoandika humu maana anaesema Yesu si Mungu ni muislamu na dini zingine
Wapo wakristo usiwatoe watu kwenye dini yao kwa sababu tu hawaamini kama unavyoamini wewe, wao ni wafuasi wa Yesu kama wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…