Hukuna mristo anaepinga uungu wa Yesu , ukiona mtu yeyeto anaepinga uungu wa Yesu sio mkristo
Kwanini isiwe nyie wengine mnazusha uungu wa Yesu? Maana hao wakristo nao wanatumia biblia sio Qur'an.

Wote ni wafuasi wa Yesu.
 
Ndio maana huwa nasema kurani imeandikwa na wahuni wa kiaarabu waliokuwa wanakopi kutoka biblia halafu wakakosea kukopi,shenzi kabisa hii dini ya majini
 
Naomba mtume mwingine aliyeAliwa hivyo?
Naomba zaidi ya Yesu mwanadamu aliyezaliwa bila Baba.

Hata Yesu hasemi Yusufu ni Baba Yake, ila yeye sio Wa ulimwengu huu.Yusufu ni Baba Wa kulea.

Hivyo chanzo cha Yesu sio Mariam ,Mariam ni njia tu
Hata chanzo cha mim na wew si baba na mama zetu wao ni njia tu unakubali au unakataa?
 
Wamepewa upofu na ukiziwi na shetani hao waislamu hawawezi kuelewa kamwe kuwa Yesu na issa ni watu wawili tofauti
 
Taja kimoja wapo alichoumba Yesu
 
Kwanini isiwe nyie wengine mnazusha uungu wa Yesu? Maana hao wakristo nao wanatumia biblia sio Qur'an.

Wote ni wafuasi wa Yesu.
Narudia tena anaepinga uungu wa Yesu sio mkristo ni dini nyingine , ata awe anatumia biblia asipo kiri uungu wa Yesu anakuwa ni mwislamu mwenzako au dini nyingine tu
 
Wapo wakristo usiwatoe watu kwenye dini yao kwa sababu tu hawaamini kama unavyoamini wewe, wao ni wafuasi wa Yesu kama wewe.
Imani ya ukristo ilianza na kukiri Yesu ni Mungu , sasa hao wanaosema si Mungu wametokea wapi na lini?
 

Dini ya majini hakika.
 
Hukuna mristo anaepinga uungu wa Yesu , ukiona mtu yeyeto anaepinga uungu wa Yesu sio mkristo
Umeanza kuwa kufurisha wenzako unajiona uko sahihi wewe na taasisi kama Roman na Adventist Nani anaeleweka? Na Anglican tangu tuko watoto tumekua hayo maknisa yapo na ninwakristo Safi kabisa wew unajiona unajua?

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Wanaopinga uungu wa Yesu walianza lini hiyo imani yao? na ilianzia wapi?
 
Yesu yupo unayeongelea ? Huyu aliyezaliwa kutokana na ukoo wa zinaa Kama biblia ilivyoandika? Ambaye biblia inasema hawezi kuingia katika ufalme wa Mungu ?

Wewe mwenyewe umetokana na ukoo wa zinaa,kuzaliwa kwenye ukoo wa zinaa hakukuondolei haki yako endapo ukiishi kwa imani,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…