Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
- Thread starter
-
- #3,501
Je Issa alimuoa Maria Magdalena ?Na ndio akaoa na kuzaa watoto ??
Jesus Christ, Wife Mary Magdalene Had 2 Kids, New Book Claims
"The Lost Gospel" authors based assertions on an ancient manuscript.
ByABC NEWS
'The Lost Gospel' claims Jesus had a wife and two children.
ABCNews.com
Je Issa alimuoa Maria Magdalena ?
Issa alioa?Soma the Lost Gospel inasema kitu gani? Usiniulize Mimi
Hakuna record katika UislamuIssa alioa?
Kwa mujibu wa Quran na vitabu vya hadithi Issa (as) atarudi na ataoa na atakufa lakini sharti hajafa lazima aue nguruwe na kuvunja misalabaIssa alioa?
Ongeza mikelele dogo Kama Mungu wako alivyo BainishaMwanzo na Mwisho
Katika kitabu cha Ufunuo 1:8, inadokezwa kuwa Yesu amesema yafuatayo kujihusu yeye mwenyewe: “Mimi ni Alfa na Omega, mwanzo na mwisho, asema Bwana Mungu, aliyeko na aliyekuwako na atakayekuja, Mwenyezi”.
Hizi ni sifa za Mungu. Kwa hiyo, hapa Yesu, kwa mujibu wa Wakristo wa mwanzo, anadai uungu.
Hata hivyo, hayo maneno yalitajwa hapo juu ni kwa mujibu wa toleo la King James Version.
Ama katika toleo la Revised Standard Version, wasomi wa Biblia wanarekebisha makosa ya kitafsiri na wameandika: “Mimi ni wa mwanzo na wa Mwishom” asema Bwana Mungu,..”.
Pia, marekebisho yalifanywa katika toleo la New American Bible iliyotayarishwa na Wakatoliki.
Tafsri ya aya hiyo imerekebishwa ili iwekwe katika muktadha wake ulio sahihi kama ifuatavyo: “Bwana Mungu anasema:
“Mimi ni wa mwanzo na wa Mwisho...”
Ikiwa na marekebisho haya, inadhihirika kuwa, mstari huu ulikuwa ni maelezo ya Mungu na sio maelezo ya Mtume Yesu.
Quran ni kitabu cha mpinga Kristo hilo halina shaka.Issa ni mpinga Kristo
Quran ni kitabu cha mpinga Kristo hilo halina shaka.Quran ni kitabu cha mpinga Kristo hilo halina shaka.
Ongeza mikelele dogo Kama Mungu wako alivyo Bainisha
لَمَّا ضُرِبَ ٱبْنُ مَرْيَمَ مَثَلًا إِذَا قَوْمُك
َ مِنْهُ يَصِدُّونَ ﴿٥٧﴾
Na alipo pigiwa mfano Mwana wa Mariamu, watu wako waliupiga ukelele.
وَقَالُوٓاْ ءَأَٰلِهَتُنَا خَيْرٌ أَمْ هُوَ ۚ مَا ضَرَبُوهُ لَكَ إِلَّا جَدَلًۢا ۚ بَلْ هُمْ قَوْمٌ خَصِمُونَ ﴿٥٨﴾
Wakasema: Miungu yetu kwani si bora kuliko huyu? Hawakukupigia mfano huo ila kwa ubishi tu. Bali hao ni watu wagomvi! !
Ila ujue tu kwamba!
Ilana Ufunguke Kwamba!
Hakuna Mungu Apaswaye Kuabudiwa kwa Haki Ila Yesu na Paulo ni Mtume Wake
لا إله يستحق العبادة إلا يسوع وبولس من رسله
la 'iilah yastahiqu aleibadat 'iilaa yasue Wabulis min rusilh
YN. 1: 1-3 ، 14 في البدء كان الكلمة والكلمة كان عند الله وكان الكلمة الله. كانت تلك البداية مع الله. كل هذا حدث له. وبدونه لم يكن هناك شيء من هذا القبيل. والكلمة صار جسدا وحل بيننا. ورأينا مجده ، مجد المولود الوحيد من الآب ، المليء بالنعمة والحق. إنه مملوء نعمة وحقا.
YN. 1: 1-3 , 14 fi albad' kan alkalimat walkalimat kan eind allah wakan alkalimat allah. kanat tilk albidayat mae allah. kulu hadha hadath lah. wabidunih lam yakun hunak shay' min hadha alqabili. walkalimat sar jasadan wahala bynana. wara'ayna majdah , majd almawlud alwahid min alab , almali' bialniemat walhaq. 'iinah mamlu' niemat wahaqaa.
Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu. Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika. Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.
Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
Quran ni kitabu cha mpinga Kristo hilo halina shaka.
Tunazidi KUWANYAKUA WENGI TOKA MOTONI![emoji123][emoji106] [emoji122][emoji122][emoji122]
allah Hana Maskhara na mtoto wa mtu
[emoji116][emoji116]
وَيَوْمَ يَحْشُرُهُمْ جَمِيعًا يَا مَعْشَرَ الْجِنِّ قَدِ اسْتَكْثَرْتُم مِّنَ الْإِنسِ ۖ وَقَالَ أَوْلِيَاؤُهُم مِّنَ الْإِنسِ رَبَّنَا اسْتَمْتَعَ بَعْضُنَا بِبَعْضٍ وَبَلَغْنَا أَجَلَنَا الَّذِي أَجَّلْتَ لَنَا ۚ قَالَ النَّارُ مَثْوَاكُمْ خَالِدِينَ فِيهَا إِلَّا مَا شَاءَ اللَّهُ ۗ إِنَّ رَبَّكَ حَكِيمٌ عَلِيمٌ
[ AL - AN-A'AM - 128 ]
Na ile Siku atapo wakusanya wote awaambie: Enyi makundi ya majini! Hakika nyinyi mmechukua wafuasi wengi katika wanaadamu. Na marafiki zao katika wanaadamu waseme: Mola Mlezi wetu! Tulinufaishana sisi na wao. Na tumefikia ukomo wetu ulio tuwekea. Basi Mwenyezi Mungu atasema: Moto ndio makaazi yenu, mtadumu humo, ila apendavyo Mwenyezi Mungu. Hakika Mola wako Mlezi ni Mwenye hikima, na Mwenye kujua.
Jude 1:21-23
[21]jilindeni katika upendo wa Mungu, huku mkingojea rehema ya Bwana wetu Yesu Kristo, hata mpate uzima wa milele.
IMEANDIKWA!
[emoji116][emoji116]
[22]Wahurumieni wengine walio na shaka,
[23]na wengine waokoeni kwa kuwanyakua katika moto; na wengine wahurumieni kwa hofu, mkilichukia hata vazi lililotiwa uchafu na mwili. Baraka

Naunga mkono hojaQuran ni kitabu cha mpinga Kristo hilo halina shaka.
Anaonyesha ana dalili za msongo wa mawazo na afya ya akili. Hao nguruwe watakuwa wamemkosea nini?Kwa mujibu wa Quran na vitabu vya hadithi Issa (as) atarudi na ataoa na atakufa sharti hajafa lazima aue nguruwe na kuvunja misalaba
Huyo jamaa mbona matendo yake hayaendani na maagizo ya Mungu?Hata kuingiliwa kinyume na maumbile Wapemba husema ni sunna ya mtume Muhamad sasa huko kunyonya ulimi za wanaume wenziwe sijui ndio alikuwa akiwafanyizia hadi waseme ni sunna! mimi sijui ila ndivyo wasemavyo.
Issa alikuwa na watoto wangapi?Mungu kaoa na kupata watoto???
Jesus Christ, Wife Mary Magdalene Had 2 Kids, New Book Claims
"The Lost Gospel" authors based assertions on an ancient manuscript.
ByABC NEWS
'The Lost Gospel' claims Jesus had a wife and two children.
ABCNews.com
Haha hahaHuu uzi tupa kule kwa akina MaxShimba na Marytina... Mi nakereka!