Mnabaki na copy and post , kwani mimi naandika biblia yangu ??

Hamna hoja
Andika hoja wewe , alafu unaweka nukuu

Una copy kitu nikichukua lote nikili search naona mpaka ulipolitoa
 
Andika hoja wewe , alafu unaweka nukuu

Una copy kitu nikichukua lote nikili search naona mpaka ulipolitoa
Si weka link halafu utoe makosa unaogopa kitu gani ? Hiyo tunaita fear of truth

Hofu ya kuusikia ukweli
 
Endelea kukaza misuli ya ubongo.
 
Sikiliza wewe alafu huo ukweli weka humu kwa maandishi
Unatafuta ubishi, Mimi sikuwekei , Kama umeridhika na dini ya Paulo , utaibeba mwenyewe msalaba

Kwa ufupi documentary imeonyesha uungu wa Yesu ulianza lini na Hao walioanzisha ukristo ni nani . Pia kaeleza namna biblia ilivyochakachuliwa. Mengi ni haya mnayojaribu kuyapinga kwa kutumia blind faith
 
Anawapiga nyie ambao Ni weupe kichwani kuhusu uislam

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Hebu acha mahaba niue! hebu Tafakari na uchunguze! Maneno, Maisha, na Matendo ya Muham mad! Unapochunguza maisha, maneno na Mtindo wa Maisha yake hata utume wake! Huoni Kuna Shida au maradhi mahali??
Nimeani kunguru huruka pamoja!

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
Kwani Quran ni maneno ya Nani??

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
Umekariri mafunuo ya shetani! Kama Muham mad [emoji35]
[emoji116][emoji116]
قُلْ مَن كَانَ عَدُوًّا لِّجِبْرِيلَ فَإِنَّهُ نَزَّلَهُ عَلَىٰ قَلْبِكَ بِإِذْنِ اللَّهِ مُصَدِّقًا لِّمَا بَيْنَ يَدَيْهِ وَهُدًى وَبُشْرَىٰ لِلْمُؤْمِنِينَ

[ AL - BAQARA - 97 ]
Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 

Ndiyo kwa maneno hayo umemfanya Yesu kuwa mungu??😭😭😭😭😭
 

Wewe endelea kumwabudu yule aliyekamatwa vichakani akiwa na kijana aliyeweka chupi begani alipoona mambo yamezidi akaitupa chupi akakimbia uchi 😜😜😜
 
Hivi Isa wa kwenye Qurani si mlisema alikuwa Mtume kwa wana wa Israeli tu basi.

Kumbe leo amebadilika, ni Mtume wa Waislamu na ni Mwislamu.
Waislamu wamekuwa Waisraeli tena.

Kumbe isa ni Mtume wa Waislamu na Waisraeli.

Mnavyo hangaika hadi mnasikitisha.
Dini ya utapeli lazima itaumbuka mahali flani.
Majini hayawezi kuwaacha salama.
Iko siku mtayajutia kufanya nayo undugu bandia.
 
Kwa hiyo ameweka biblia original na iliyochakachuliwa ?

Embu tuwekee original na iliyochakachuliwa

Ndiyo nikakuambia iangalie mwenyewe ,lakini hofu ya kuumizwa na ukweli imekutawala unaona heri ufe kafiri ukachomwe
 
Hata muandikiwe mara bilioni hamsomi, sijui hata unakumbuka nini maana ya Uislamu
 
Sawa vipi naweza kupata kisamvu leo jioni??Delivery mnafanya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…