Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
- Thread starter
-
- #3,641
Nabii Issa alioa?Matendo yake
Ni kweli Biblia haikueleza lolote juu ya Yesu kuongea siku aliyozaliwa. Na haijulikani ni kwanini tukio zito na muhimu kama hilo lisigusiwe na Biblia!
Hata hivyo, napenda kukufahamisha kwamba si hilo tu liliachwa kuandikwa ndani ya Biblia lakini Bwana Yohana anatuambia kuwa:
"Kuna na mambo mengine mengi aliyoyafanya Yesu; ambayo yakiandikwa kwa moja kwa moja nadhani hata ulimwengu usingetosha kwa vile vitabu vitakavyoandikwa" (Yohana 21:25).
Kwa kauli hiyo ya Mwinjilisti Yohana inatosha kuwawondoa wasiwasi iwapo mtapata alililofanya Yesu au Isa (a.s) ndani ya Qur’an Tukufu ambalo halimo ndani ya Biblia Takatifu.
Kwa kuwa litakuwa katika orodha ya mambo ambayo yalihofiwa kuandikwa moja kwa moja kama anavyotueleza Yohana ndani ya Biblia hapo juu. Kwa hali hiyo, hoja hiyo haiwezi kutofautisha Yesu na Isa.
Kwa bahati mbaya katika kudai kwenu kwamba Bwana Yesu ndiye "Mwanzo na mwisho" mnanukuu kitabu cha ufunuo wa Yohana.
Hamjajuwa kwamba mafundisho na miongozo ya kitabu hicho inawahusu Wayahudi peke yao.
Na yeyote aliyejifanya kuwa ni Myahudi wakati siye, kitabu hicho kilimshutumu kwamba anatokana na kundi (sinagogi) la shetani. (Tazama Ufunuo 2:9).
Kwa hiyo, kitabu hicho kuwatoa wasiokuwa Wayahudi kunadhihirisha kuwa Bwana Yesu au Nabii Isa (a.s) ni "Mwanzo na mwisho" kwa Wayahudi.
Ni wa "mwanzo" kwa Wayahudi kwa kuzaliwa bila ya baba (Luka 1:34-35) nani wa "mwisho" kwa Wayahudi kwa kuwa baada ya yake haji tena Mtume mwingine kwa ajili ya nyumba ya Israeli (Mathayo 21:33-34).
Hii Muhammad aliharibu pakubwa mno , hairekebishiki kabisaKwa mantiki hiyo, maelezo ya Qur’an Tukufu juu ya "udada" wa Mariamu kwa Nabii Haruna bado haujatofautisha Yesu na Isa.
Lakini maana yake ni yule yule mmoja, Bikira Mariamu anayetajwa na Qur’an na Biblia kama tulivyoona hapo juu.
-Naomba verse Allah anasema kuwa Adam na adamu akawaPili: Yesu au Nabii Isa (a.s.) aliumbwa kwa tamko tu la Mwenyezi Mungula kusema "kuwa na akawa" kama Adamu (a.s.) (3:59).
Mada inasemaje kwani, na wewe umeuliza nini.
Angalia Mada na Swali lako.
Huwa unarukaruka sana hoja we Mujahidina.
Uhai wake woote muham mad Aliogopa na Hakuwahi kutamka Jina YESU!
Angetamka tu mapepo yangemuangusha!
Naamini bila shaka ibn abd allah ni pepo kamili ktk umbile la binadamu!
Yesu Aliyafumba KINYWA HADI SASA YAMESHINDWA KUTAMKA JINA YESU!
[emoji116][emoji116]
Mark 1:24-25
[24]akisema, Tuna nini nawe, Yesu wa Nazareti? Je! Umekuja kutuangamiza?
[25]Nakutambua u nani, Mtakatifu wa Mungu. Yesu akamkemea, akisema, Fumba kinywa.
Tulia upate daawa-Naomba verse Allah anasema kuwa Adam na adamu akawa
- weka verse Allah anasema kuwa Isa na akawa
Hii Muhammad aliharibu pakubwa mno , hairekebishiki kabisa
-Imran alikuwa na watoto Musa ,haruni na Miriam
-Mariam mama wa Isa baba yake ni Imran
Muhammad alipokuwa bize kuunda dini yake akachanganya madesa akampachika Mariam kwa kina Musa na haruni
Hiyo hairekebishiki kabisa ata uje na page 1000 za maelezo , yeye mwenyewe alivyoona kaaribu ikabidi akomae tu ila walikuwa wanamcheka sana
Jibu maswali kama nilivyoliulizaTulia upate daawa
Vitu vyengine sio ulishwe , unaweza hata kumuuliza mchungaji wako 😛 😛
Hilo Muhammad alishaharibu halirekebishiki kabisa 😂🤣😂Aliyeharibu ni Paulo aliyewatia kwenye ibada ya Ushirikina
Biblia na Quran zote mbili zinakubali kwamba alikuwa MLAWI yaani mshiriki wa kabila la urithi wa "makuhani" au "makuhani" katika Uyahudi. (Wote hatimaye wana wa Arun)
Ninajuaje hili?
Binamu ya Mariamu alikuwa Elizabeth ambaye tunaambiwa "wa jamaa ya kikuhani" ( Luka 1:5, 36 ).
Tazama pia Quran 3:35-36 (inasema Mariamu alikuwa wa ukoo wa ukuhani wa Imran).
Mzao wa kike wa ukuhani wa kurithi angeweza kabisa kuitwa "dada wa Haruni!
Nabii Issa alioa?
Inavyoelekea hata husomi ninavyokuandikia otherwise hata usingaliuliza swali hiloJibu maswali kama nilivyoliuliza
Huwezi kudanganya watu kama watoto
-Naomba verse Allah anasema kuwa Adam na adamu akawa
- weka verse Allah anasema kuwa Isa na akawa
Chaka umeingia wewe kwani hutaki kuelewaHilo Muhammad alishaharibu halirekebishiki kabisa 😂🤣😂
Imran , Musa ,Haruni Miriam hii ndio biblia
Yeye akaja na Isa wake Eti
Imran , haruni , Mariam
Matamshi Miriam na Mariam yapo karibu Sana ndipo alipoingia chaka kabisa
Apo uchomoki mpaka uweke verse la sivyo kiri hakuna verse kama hiyo na Allah kadanganyaInavyoelekea hata husomi ninavyokuandikia otherwise hata usingaliuliza swali hilo
Apo uchomoki mpaka uweke verse la sivyo kiri hakuna verse kama hiyo na Allah kadanganya
Mfano
Mwa 1:3-5 SUV
Mungu akasema, Iwe nuru; ikawa nuru.
Maswali ni Aya
-Naomba verse Allah anasema kuwa Adam na adamu akawa
- weka verse Allah anasema kuwa Isa na akawa
Apo uchomoki mpaka uweke verse la sivyo kiri hakuna verse kama hiyo na Allah kadanganya
Mfano
Mwa 1:3-5 SUV
Mungu akasema, Iwe nuru; ikawa nuru.
Maswali ni Aya
-Naomba verse Allah anasema kuwa Adam na adamu akawa
- weka verse Allah anasema kuwa Isa na akawa
Sijakuuliza ulicho Jibu dogo[emoji849][emoji12]Mwenyezi Mungu (s.w.t.) ndani ya Qur’an Tukufu amewanukuu Wayahudi kumuita Bi. Mariamu kuwa ni dada ya Haruna. Pamoja na hivyo, "udada" unaokusudiwa hapo ni wa:
Kiukoo kwa kuwa Bi. Mariamu na Haruna wote wanatoka katika ukoo wa Lawi.
Ushahidi wa hili tunaupata katika Injili ya Luka 1:36 inayoeleza uhusiano wa Mariamu na Elizabeti (mama yake Nabii Yohana Mbatizaji) ambaye ni mmojawapo wa uzao wa Haruni wa ukoo wa Lawi (Luka 1:5).
Kiutumishi wa kazi za Mungu, kwa kuwa Bi. Mariamu na Haruna wote walikuwani watumishi wa Mungu hasa kwa vile ukoo wao (Walawi) ndivyo Mungu alivyokwisha mteua maalum kwa kazi hiyo (Kutoka 40:12-16 na Luka 1:38).
Kiucha Mungu. Kwa kuwa Bi. Mariamu alikuwa ni mcha Mungu neema aliyopewa na Mungu (Luka 1:30) kama vile Haruna pia.
Na hii inafanana na ile kauli ya Bwana Yesu au Nabii Isa (a.s.) aliyosema:
"Kwa maana yeyote atakayefanya mapenzi ya Baba yangu aliye Mbinguni,huyu ndiye ndugu yangu, umbu langu na mama yangu". (Mathayo 12:50).
Hapa haina maana kwamba eti kwa vile Bw. Augustine ataamua kufanya mapenzi ya Mungu basi ndio atakuwa ndugu ya Yesu wa kuzaliwa. Hapana! Lakini atakuwani ndugu yake kiimani (kiucha Mungu) tu.
Kwa mantiki hiyo, maelezo ya Qur’an Tukufu juu ya "udada" wa Mariamu kwa Nabii Haruna bado haujatofautisha Yesu na Isa.
Lakini maana yake ni yule yule mmoja, Bikira Mariamu anayetajwa na Qur’an na Biblia kama tulivyoona hapo juu.
Nilikuuliza zaidi ya mara 1000 wapi yesu alisema mimi ni mungu , nimevaa mwili wa binaadamu , unakimbia na kuja kwa id nyengine na kutuletea maswali kama hayoSijakuuliza ulicho Jibu dogo[emoji849][emoji12]
Wapi muham mad alishahadia kuwa Abdul??
Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
Uhai wake woote muham mad Aliogopa na Hakuwahi kutamka Jina YESU!Qur’an kusema Nabii Isa au Yesu aliumbwa na Mwenyezi Mungu (s.w.t.)sawa na alivyoumbwa Nabii Adamu (a.s.):-
Mosi: Ni kuthibitisha (hakika) kwamba Bwana Yesu naye kama viumbe wengine aliumbwa na Mwenyezi Mungu (s.w.t.) kwani ni Mwenyezi Mungu pekee yake ndiye aliyeumba kila kitu (Isaya 44:24 na Qur’an 6:101-1020.
Pili: Yesu au Nabii Isa (a.s.) aliumbwa kwa tamko tu la Mwenyezi Mungula kusema "kuwa na akawa" kama Adamu (a.s.) (3:59).
Tatu: Kwa kuwa Nabii Adamu (a.s.) (ndiye mtu wa kwanza kuumbwa) aliumbwa kwa udongo, vile vile Nabii Isa au Yesu (a.s) naye kwa kuwa alikaa tumboni mwa mama yake Bi. Mariamu kwa muda kadha ni wazi kuwa naye amerithi mwili ambao asili yake ni udongo kupitia mama yake.
Hivyo, naye Yesu pia ni udongo kama Nabii Adamu (a.s.).
Biblia haijaeleza mahali popote kwamba Yesu ni nafsi ya Mungu kama mnavyopotosha.
Pia suala la kuwepo kabla ya ulimwengu si kwa Yesu peke yake bali ni kwa wanadamu wote (rejea Zaburi90:1-2, Waefeso 1:4 na Warumi8:29-30) kwa shuhuda hizo, ni dhihiri kuwa binadamu wengine wote wana haki ya kusema "walitoka kwa Mungu", wakimaanisha kwamba "Muumbaji wao ni Mwenyezi Mungu".
Ama Bwana Yesu kusema kwamba yeye si wa ulimwengu huu haina maana nyingine yoyote zaidi ya kuonyesha ni jinsi gani asivyothamini maisha ya kidunia na vishawishi vyake vyote badala ya maisha ya akhera.
Na hii hata Mtume Muhammad (s.a.w) alikwishaambiwa na Mwenyezi Mungu (s.w.t) kwamba:
"…Na maisha ya dunia (hii) si kitu ila ni starehe idanganyayo (watu)".(3:185).
Kwa hali hiyo, Yesu ndiye yule yule Nabii Isa bin Mariamu aliyeumbwa na Mwenyezi Mungu (s.w.t) bila ya baba kama Qur’an na Biblia vinavyoeleza.
Uhai wake woote muham mad Aliogopa na Hakuwahi kutamka Jina YESU!
Angetamka tu mapepo yangemuangusha!
Naamini bila shaka ibn abd allah ni pepo kamili ktk umbile la binadamu!
Yesu Aliyafumba KINYWA HADI SASA YAMESHINDWA KUTAMKA JINA YESU!
[emoji116][emoji116]
Mark 1:24-25
[24]akisema, Tuna nini nawe, Yesu wa Nazareti? Je! Umekuja kutuangamiza?
[25]Nakutambua u nani, Mtakatifu wa Mungu. Yesu akamkemea, akisema, Fumba kinywa.
O
Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
Kambishie muham mad aliyesema Elimu ya Roho hamkupewa!Kuhusu Roho Mtakatifu aliyetabiriwa na Yesu bado ni Nabii Muhammad(s.a.w) kwa kuwa lipo sharti moja muhimu alilolitaja Bwana Yesu la kuondoka kwanza yeye (Yesu) ndipo huyo msaidizi mwingine aje.
Na Mtume Muhammad(s.a.w) alitumwa na Mwenyezi Mungu (s.w.t) pamoja na mambo mengine alikuja kutangaza kwamba ndiye Nabii aliyebashiriwa kuja kwa Nabii Isa au Yesu(a.s.). Yesu alisema:
"Lakini mimi nawaambia iliyo kweli, yawafaa ninyi mimi niondoke kwa maana mimi nisipoondoka, huyo msaidizi hatakuja kwenu, bali mimi nikienda zangu nitampeleka kwenu". (Yohana 16:7).
Kauli hiyo ya Yesu inatofautiana wazi na dai la wakristo hasa tunaporejea katika maandiko mengine mengi ya Biblia yanayoonyesha kwamba Roho Mtakatifu wanayemfikiria Wakristo alikuwepo hata kabla Yesu hajazaliwa(Marko 12:36), kabla Yesu hajaondoka (Yohana 20:22-23), mama yake (Yesu)alichukua mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu (Luka 1:35) n.k.
Kuhusu kudumu kwa huyo msaidizi kusudio lake siyo lazima Mtume Muhammad(s.a.w) awepo pamoja nasi kimwili. Lakini kudumu kwa usahihi kwa mafundisho yake ni hoja tosha ya kukiri kwamba Mtume Muhammad (s.a.w) yupo pamoja nasi daima. (Qur’an 2:154).
Hii inafanana na ile kauli ya Yesu alipowaambia wafuasi wake kwamba:"…Natazama, mimi niko pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari. (Mathayo 28:20).
Hii haina maana kuwa leo Yesu tuko pamoja naye duniani kimwili.
Lakini watu walio duniani, lakini wakawa hawana faida wala manufaa yoyote kwa mwanadamu, watu kama hao ndio Bwana Yesu aliowaita kwamba ni "wafu"japokuwa wanapumua. (Mathayo 8:21).
Kwa mantiki hiyo, ni dhahiri kuwa Yesu ndiye Isa aliyemtabiri Nabii Muhammad (s.a.w) kama nilivyoonyesha hapo juu kinyume na mnavyopotosha.
Wakristo mnaendelea kusema "Biblia inasema Yesu alisulubiwa na kufa msalabani na hatimaye kufufuka" (Mathayo 16:21).
Qur’an 4:157 inakataa kusulubiwa, kufa na kufufuka kwa Isa.
Aya hiyo (ya Mathayo 16:21) ya Biblia aliyoitaja hapo juu Che mittego inatia shaka kuamini kwamba ni Yesu ndiye aliyetamka maelezo yake, kwani naamini kwamba Yesu kamwe hawezi kutabiri jambo kisha lisitokee.
Mwandishi wa aya hiyo Bwana Mathayo Mtakatifu anasema:
"Tangu wakati huo Yesu alianza kuonya wanafunzi wake ya kwamba imempasa kwenda Yerusalemu, na kupata mateso mengi kwa wazee na wakuu wa Makuhani,na waandishi, na kuuawa, na siku ya tatu kufufuka" (Mathayo 16:20).
Pamoja na maelezo hayo, lakini ukisoma Mathayo 27:27 unakuta waliompa mateso, kumsulubu mpaka kufa ni askari wala siyo wazee, wakuu wa makuhani wala waandishi kama ilivyotabiriwa na aya hiyo (ya Mathayo 16:21).
Kwa utata huo, ndio maana Qur’an Tukufu ikathibitisha kwamba "Hawakumwua wala hawakumsulubu". (4:157-158).
Na huu ni ushahidi tosha unaothibitisha kwamba Nabii Isa wa Qur’an ndiye Yesu wa Biblia.
Isingekuwa hivyo, Qur’an isingejishughulisha kabisa na suala la kukanusha madai ya Wakristo ya kusulubiwa, kufa na kufufuka kwa Nabii Isa au Yesu(a.s.).
Napenda kumuelewesha mgen kwamba watu wa vitabu wa kabla yetu tulioagizwa tuwaulize siyo Wakristo na mtu kama mgen na Che mittoga wanaozuwa na kupotosha wazi maandiko na ukweli kwa ujumla.
Kwanza Wakristo ni watu waliozuka miaka mitatu baada ya Bwana Yesu (Nabii Isa) kuondoka (Matendo 11:25-26).
Ni Uislamu na Waislamu wamekuwepo tangu zama za Nabii Adamu (a.s.) (30:30, 2:213).
Hivyo, watu waliokuwa kabla yetu siyo Wakristo, bali ni Mayahudi na Manasara waliokuwa wakiijua kweli iliyokuwemo ndani ya Torati, Zaburi, Injili na Nyaraka sahihi za Manabii na kuifuata.
Watu hao ni ndugu zetu Waislamu walitutangulia na siyo Wakristo.
Aidha, elimu ya roho ambayo binadamu wote (na si Waislamu peke yao)ambayo hawakupewa isipokuwa kidogo, ni elimu ya kuijua kiundani roho ile inayompa uhai kiumbe, na si elimu ya "kiroho" kwa maana ya "ujuzi wa mambo ya Mwenyezi Mungu" kama anavyopotosha mgen.
Hakuna mtu yeyote anayeweza kuonyesha japo picha ya roho yake ilivyo. Namsihi mgen kwamba mara nyingine asipende kuchanganya mambo kwa kuingiza mada isiyohusika katika mjadala husika.
Mark 1:24-25Yesu kwani ndilo jina alilokuwa akiitwa ??? [emoji14] [emoji14] 😛