Gavana jibu maswaliApo uchomoki mpaka uweke verse la sivyo kiri hakuna verse kama hiyo na Allah kadanganya
Mfano
Mwa 1:3-5 SUV
Mungu akasema, Iwe nuru; ikawa nuru.
Maswali ni Aya
-Naomba verse Allah anasema kuwa Adam na adamu akawa
- weka verse Allah anasema kuwa Isa na akawa
Hiv umelewa.nin kwa hyo aya hapo kweli nyinyi mioyo yenu imewekwa vifuniko subir umauti ukufike ukiwa kafir ndo utaelewa hcho unachokiletea mzaha hapa kuwa hakistahiliNakushangaa sana unayakataaje Majini wakati Mtume kawaambia ni ndugu zenu wa kweli katika Dini.
................
Jami` at-Tirmidhi 18
Abdullah bin Mas'ud narrated that :
Allah's Messenger said: "Do not perform Istinja, with dung, nor with bones. For indeed it is provisions for your brothers among the Jinn."
..................
Na ni Maislamu yenzenu.
.........
Surah Al-Djini: Ayah 14
وَأَنَّا مِنَّا ٱلۡمُسۡلِمُونَ وَمِنَّا ٱلۡقَٰسِطُونَۖ فَمَنۡ أَسۡلَمَ فَأُوْلَٰٓئِكَ تَحَرَّوۡاْ رَشَدٗا
Na hakika wamo katika sisi Waislamu, na wamo kati yetu wanao acha haki. Basi walio silimu, hao ndio walio tafuta uwongofu.
وَأَنَّا مِنَّا ٱلۡمُسۡلِمُونَ وَمِنَّا ٱلۡقَٰسِطُونَۖ فَمَنۡ أَسۡلَمَ فَأُوْلَٰٓئِكَ تَحَرَّوۡاْ رَشَدٗا
...........
Wewe ni wa kumkanusha Allah na Mtume wake kweli, na anajiita Mwislamu.[emoji849]
Jinga kabisa wewe
Biblia ni kitabu cha MUNGU?Ni kweli kabisa Issa sio Mungu, hakusulubiwa wala hakufa kwa kuwa sio Yesu.
Mkuu nataka kujua Quran inasema Nabii Isa ni alama ya kiama nisaidie elimu juu ya hili.Biblia ni kitabu cha MUNGU?
Unataka Biblia Takatifu iandikwe Kama unavyo taka gavana?! [emoji15][emoji12]Nilikuuliza zaidi ya mara 1000 wapi yesu alisema mimi ni mungu , nimevaa mwili wa binaadamu , unakimbia na kuja kwa id nyengine na kutuletea maswali kama hayo
Hata unachokiandika hukielewiKambishie muham mad aliyesema Elimu ya Roho hamkupewa!
[emoji116][emoji116]
وَيَسْأَلُونَكَ عَنِ الرُّوحِ ۖ قُلِ الرُّوحُ مِنْ أَمْرِ رَبِّي وَمَا أُوتِيتُم مِّنَ الْعِلْمِ إِلَّا قَلِيلًا
[ AN NAH'L - 85 ]
Na wanakuuliza khabari za Roho. Sema: Roho ni katika mambo ya Mola wangu Mlezi. Nanyi hamkupewa katika ilimu ila kidogo tu.
Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
Kwa mujibu wa Quran Isa ni alama ya kiama nisaidie tafsiri ya elimu juu ya alama ya kiama.Hata unachokiandika hukielewi
Hulaumiki
Lete Aya pleaseKwa mujibu wa Quran Isa ni alama ya kiama nisaidie tafsiri ya elimu juu ya alama ya kiama.
Mark 1:24-25
[24]akisema, Tuna nini nawe, Yesu wa Nazareti? Je! Umekuja kutuangamiza?
[emoji116][emoji116]
Mark 1:24-25
[24]akisema, Tuna nini nawe, Yesu wa Nazareti? Je! Umekuja kutuangamiza?
Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
Anae apia kwa aliyeumba dhakari na ku#$@am nani?![emoji101]Huyo anayesema hivyo ni nani , 'akasema ' ?
Jibu maswali yangu kwanza , ndio uulizeHujajibu, huyo anayesema mungu akasema ni nani ?
Usikimbie swali ,please
Imran 3:59Lete Aya please
Anae apia kwa aliyeumba dhakari na ku#$@am nani?![emoji101]
[emoji116][emoji116]
Anaeapa وَاللَّيْلِ إِذَا يَغْشَىٰ
(AL - LAYL - 1)
Naapa kwa usiku unapo funika!
[ وَالنَّهَارِ إِذَا تَجَلَّىٰ
(AL - LAYL - 2)
Na mchana unapo dhihiri!
وَمَا خَلَقَ الذَّكَرَ وَالْأُنثَىٰ
(AL - LAYL - 3)
Na kwa Aliye umba dume na jike!
Mwenyezi Mungu Anaapa kwa Nafsi yake!
[emoji116][emoji2533][emoji116][emoji2533]
Imran 3:59
Jibu maswali yangu kwanza , ndio uulize
Maswali ni Aya
-Naomba verse Allah anasema kuwa Adam na adamu akawa
- weka verse Allah anasema kuwa Isa na akawa
SURAH ZUKHRUF AYAT 61 IN ARABIC TEXTLete Aya please
Maswali ni Aya bado hujajibuHayo maswali yako