Ivi kweli najadiliana na mtu ambae hajui maana ya sinproof na kufananishwa na kurogwa? Ivi kuna sehemu nimesema mtume wetu kuwa ni mtu wa ajabu? Mbona alipokufa Abu bakr bin Siddiq aliweka wazi? mbona kila mtu anajua kuwa mtume alikuwa binaadamu kama sie tu?nyie jamaa mmedanganywa sana.
mmedanganywa kuwa mtu kuwa mtume basi automatic ni sinproof.
Hivi unajua hata mtume Mohammad aliwahi Kurogwa. Huu ni udhaifu mkubwa maana hana ulinzi wa Malaika wa Mungu. Wachawi wanapenya bila shida.
Allah amemkosoa mtume kwenye Quran mbona? Kwaio ushakiri kuwa mtume Muhammad s.a.w alikuwa mtume sahihi, umebakisha ubishi. usione aibu kusilimu.Sasa mitume wote wa kwenye Bibilia ukimuacha Yesu ambaye ni Mungu alikuja kama mtume kwa miaka 30 Kisha akarudi katika Enzi zake baada ya kumariza mradi wa kumkomboa mwanadamunwengine wote walikosea mara nyingi tu kama ulikuwa hujui.
Ukiambiwa kuna mtume sinless huo ni ushahidi tosha huyo ni mtume wa uongo.
Kamwe huwezi kukuta uchafu kama huu kwa mitume wa Allah.Ushahidi.
Nuhu alilewa akabaki uchi
Ibrahim alizini na mfsnyakazi wake, alisema uongo kuwa mkewe ni dada yake.
Yakobo muongo wa kutupwa.
Daudi mzinzi aliyetubu.
Suleiman zinaa
Petro Kiherehere na kutoamini
Yohana hasira
Paulo Muuaji.
Eliya Kutokuamini
Isaya mtu wa midomo michafu
etc
Nawaelewa watu wa kitabu vyema sana. Ni watu ambao walikuwa wanatumia Taurat ya Mussa, Injili ya Issa na Zabur ya Daud. Waliokuwa wanatumia Injil ya matayo, na kitabu cha pauolo na wengine hawahuwahi kuitwa watu wa kitabu. Council of nicea ilifanya nini?unauelewa finyu juu ya watu wa kitabu.
hivi unajua wakayi council of nicea inakaa kulikuwa na wakristo wengi tu wenye kitabu iran, iraq, syria, uarabuni, hadi india mabao hayo mambo hawakuhusika lkn vitabu vyao (received texts) bado vilikuwa vinaendana na hivyo vya magharibi.
Hapa unadanganya watu kuwa eti alikuwa anaongea na watu wakati ni mnaneno ya watu wenyewe tu wakijidai wame quote kutoka kwa yesu. Kwa mfano kwenye agano la kale kuna kitabu alichoandika mussa lakini alikufa ila bado kitabu kinaendelea na story zake.BIBILIA HAIJAANDIKWA NA MUNGU.
Mungu ameandika sehemu tatu tu.
1: Kwenye mbao za mawe.
2: Mene mene tekel na Peresi Kwenye ukuta ukumbini mbele ya mfalme belshaza
3: Ardhini alipoandika mbele ya Wale jamaa waliokuwa wanataka kumponda yule kahaba.
Mungu amekuwa akiandika, akiongea na akifikia wanadamu kupitia wanadamu waliovuviwa na Roho wake. Huu ni utaratibu wa Mungu. Angeweza kuandika akavitupa vitabu kutoka mbinguni ila ndio mfumo aliochagua. Ndio maana nakushangaa kuona wakina yohana, marko wanaandika.
Pia kushangaa nicea kufanya cannonization ni unafiki wa kiwango cha rami. Hujui mkuu walikaa wanadamu kama 20 hivi kupitisha version ya quran ambayonsina hakika kama bado ni ileile aliyoshushiwa Mohammad. Unajua Uthman ndiye aliyejifungia na wenzake na wakatoka na version ya quran copy saba na akazigawa kisha akazituma nchi kadhaa moja ikibaki maka, na licha ya maeneo hayo kuwepo waislam hadi leo lkn hakuna hata copy moja ambayo imebaki kama ushahidi?
Yale maneno ya Bibilia ninsahihi mkuu
Yani jamaa umejisahaulisha muddy alikula katoto cha miaka 6 , yani ukweli ni kwamba muddy angekuwa zama izi tunge muweka gerezani maisha na dini yake ingeishia apo apo . maana jamaa alikuwa anakula mpaka ajuzaIvi kweli najadiliana na mtu ambae hajui maana ya sinproof na kufananishwa na kurogwa? Ivi kuna sehemu nimesema mtume wetu kuwa ni mtu wa ajabu? Mbona alipokufa Abu bakr bin Siddiq aliweka wazi? mbona kila mtu anajua kuwa mtume alikuwa binaadamu kama sie tu?
Mnaemwita Mungu kauliwa msalabani, ata ulinzi wake mwenyewe hakuwa nao
Allah amemkosoa mtume kwenye Quran mbona? Kwaio ushakiri kuwa mtume Muhammad s.a.w alikuwa mtume sahihi, umebakisha ubishi. usione aibu kusilimu.
Kamwe huwezi kukuta uchafu kama huu kwa mitume wa Allah.
Hivi unachagua mlevi kuongoza familia unategemea nini? Hapa tayari unatuonesha kuwa huyo mnaemwita mungu na mitume yake yote ni dhaifu hakujua nani amchague kuongoza watu. π Hivi mtu una akili timamu unafuata mitume wenye kusema uongo? kuzini na watoto wao?
Unaanzaje kumuamini mtume Paulo muuaji?
Asante mitale na midimu leo umetuthibitishia kuwa Wakiristo mnafuata wahuni na washenzi kuwaongoza kwenye dini.
Kama hao ndio walikuwa mitume wenu, sisi waislam mitume wetu walikuwa wema na walichaguliwa kwa wema wao.
Mtume anapokuwa hana dhambi basi ni ushahidi wa kuwa huyo ni mtume sahih kwani Mungu anachagua aliekuwa mwema miongoni mwa watu kuongoza wenzake.
miaka 6? 9? ni ipi hasa alikuwa? Kwani Bikra maria alikuwa na umri gani wakati yupo na Yussuf?Yani jamaa umejisahaulisha muddy alikula katoto cha miaka 6 , yani ukweli ni kwamba muddy angekuwa zama izi tunge muweka gerezani maisha na dini yake ingeishia apo apo . maana jamaa alikuwa anakula mpaka ajuza
Jela ingemuhusu tu muddy , hamna namnamiaka 6? 9? ni ipi hasa alikuwa? Kwani Bikra maria alikuwa na umri gani wakati yupo na Yussuf?
Zama hizi si ndio zama mbovu kabisa kuwahi kutokea? Mtu anaepinga ushoga anafungwa ila mashoga wanatembea barabarani na wameekewa wiki kabisa inaitwa pride week. Ujinga umekutawala... eti zama hizi ukifikiri kuwa ndio zama bora π
Huna hojaJela ingemuhusu tu muddy , hamna namna
Unaweza kuleta hiyo iliyosahihi kwa 100%@Khantwe hakuna muislamu anaekataa biblia, ila inapingwa kwasababu ya kuongezewa aya za kishetani..
Biblia ilikuwa sahihi hapo zamani kwa asilimia 100% ila kwa sasa wameongeza na kupunguza maneno
Kumbuka ule mkutano uliofanywa kule ulaya kwaajili ya kupiga kura vitabu gani viwepo na gani visiwepo
Nimekuambia uwe unauliza maswali kama msomi. Yesu alikuepo kabla ya misingi ya Dunia kuwepo. Yeye ndio alieumba kilakitu. Na ukuu wake na uweza wake hawezi shindwa kuja kama alivyokuja.
Kisheria ya kutumia ubin, huangalia mzazi halisi wa mtoto. Haiangaliwi Mlezi wake, ndiyo maana hata Mtume Muhammad(S.A.W) mtoto wake wa kumlea Zaid alitumia ubin wa baba yake wa damu, na si wa baba aliyemlea.Mtume, wake zake, rafiki zake wote na waislam wote huitwa kwa ubin Wa baba. Hata wote kwenye taurat,zabur,injil, hakuna anayetumia jina la mama.
Mfano Juma Bin Said.
Kwa nini Sio Issa Bin Yusufu?
Je mnakubali kisirisiri kuwa Yesu ni Mungu aliyekuja kupitia Marian na sip trndo la ndoa kati ya Mariam na Yusufu?
UPDATES
Tumegundua Yesu hakuwa na Baba Binadamu. Tumegundua Yesu hakuanzia Tumboni mwa Mariam ila alipitia Tumboni mwa Mariam. Waislam wako sahihi Kumuita Issa Bin Mariam ila watakuwa sahihi saizi wakimuita Mwana Wa Mungu ambaye ni Mungu.
Haya ndio matatizo ya kushirikiana na majini yani akili yako inafungwa wala huelewi. Sasa hapo nabii ni nani?Kasome Mwanzo, uchafu wenu... Shhhhhhh mtoto mdogo anatakiwa anyamaze wakubwa wakiongea.
View attachment 1139622
Ficha ujinga na usome...soma mstari wa 36 utamjua. Bendera hufuata upepo ndio wewe! Umepuliziwa dawa ya mbu ukawa hujamuona au?Haya ndio matatizo ya kushirikiana na majini yani akili yako inafungwa wala huelewi. Sasa hapo nabii ni nani?
Cha kwanza huyo Issa sio YESUMtume, wake zake, rafiki zake wote na waislam wote huitwa kwa ubin Wa baba. Hata wote kwenye taurat,zabur,injil, hakuna anayetumia jina la mama.
Mfano Juma Bin Said.
Kwa nini Sio Issa Bin Yusufu?
Je mnakubali kisirisiri kuwa Yesu ni Mungu aliyekuja kupitia Marian na sip trndo la ndoa kati ya Mariam na Yusufu?
UPDATES
Tumegundua Yesu hakuwa na Baba Binadamu. Tumegundua Yesu hakuanzia Tumboni mwa Mariam ila alipitia Tumboni mwa Mariam. Waislam wako sahihi Kumuita Issa Bin Mariam ila watakuwa sahihi saizi wakimuita Mwana Wa Mungu ambaye ni Mungu.
Nikikuambia umefungwa ufaham unabisha. Unawaza kupulizwa ukiwa unaswali. Nimekuambia hakuna nabii hapo kwenye mistari mwanzo mwisho. Sasa usilete upumbavu wa kitabuchako maana umefundishwa kukariri na sio kutafakari.Ficha ujinga na usome...soma mstari wa 36 utamjua. Bendera hufuata upepo ndio wewe! Umepuliziwa dawa ya mbu ukawa hujamuona au?
Mpumbavu unakataa kitabu kitabu chako mwenyewe. Wenye tabia ya kupulizwa mnajijua mkenda kanisani.Nikikuambia umefungwa ufaham unabisha. Unawaza kupulizwa ukiwa unaswali. Nimekuambia hakuna nabii hapo kwenye mistari mwanzo mwisho. Sasa usilete upumbavu wa kitabuchako maana umefundishwa kukariri na sio kutafakari.
Mtume alisema mkiwa mnaswali shetani anawapuliza matakoni sasa unabishana na kitabu chako au hujui. Endeleeni kushirikiana na majini yenu maana mliyasilimisha wenyewe.Mpumbavu unakataa kitabu kitabu chako mwenyewe. Wenye tabia ya kupulizwa mnajijua mkenda kanisani.
Subiri pastor wako ampigie simu Mungu wako amuulize kama ametajwa nabii au hakutajwa
Wapi kwenye Quran imesema ivo? nakusubiri ulete.Mtume alisema mkiwa mnaswali shetani anawapuliza matakoni sasa unabishana na kitabu chako au hujui. Endeleeni kushirikiana na majini yenu maana mliyasilimisha wenyewe.
Dah ivi kuna mtu anaweza kufanya aliyo fanya muddy , jiulize tu apo mtoto wako miaka 6 mpaka 9 mzee amchukue kama huja mtoa uhai huyo mzee, alafu kama mapepo na majini walisilimu ana maaana ata shetani au yy alikataaWapi kwenye Quran imesema ivo? nakusubiri ulete.
Majini kusilimu ni jambo la kheri mana sisi na wao Mungu wetu mmoja na ndie alietuumba. Sasa kama wewe Mungu wako Yesu na unajua kuna majini kisha unawakana, basi tambua kuwa dini yako ni utumbo mtupu. Maana kama unajua mapepo yapo kisha unakana hayana uhusiano na dini yako, basi utwambia mapepo yameumbwa na nani!
Ndio maana nakuona mpumbavu mana hujui ukisemacho. Ila sishangai, unafuata dini ambayo mitume wake walikuwa wazinifu π sitegemei kuwa utakuwa na akili
Ubakaji wa watoto unajua nani kaanzisha? Bila muhamad kusingekuwa na ubakaji wa watoto chini ya miaka 9. Alafu unataka kuongea nn? Kweli mtume atembee na katoto ka miaka tisa alafu anasema katumwa na allah. Sasa huyo allah wake kama sio pepo ni nani?Wapi kwenye Quran imesema ivo? nakusubiri ulete.
Majini kusilimu ni jambo la kheri mana sisi na wao Mungu wetu mmoja na ndie alietuumba. Sasa kama wewe Mungu wako Yesu na unajua kuna majini kisha unawakana, basi tambua kuwa dini yako ni utumbo mtupu. Maana kama unajua mapepo yapo kisha unakana hayana uhusiano na dini yako, basi utwambia mapepo yameumbwa na nani!
Ndio maana nakuona mpumbavu mana hujui ukisemacho. Ila sishangai, unafuata dini ambayo mitume wake walikuwa wazinifu π sitegemei kuwa utakuwa na akili