ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 11,016
- 9,722
Maelezo yote tafsiri ni kuwa HANA MWANA wala hana MKE, kwahiyo muache mara moja kumuhusisha Mungu wetu na watoto, HAKUNA mtoto wa Mungu katika Quran bali kuna VIUMBE wa Mungu , ambao anaweza kuwaumba atakavyo kama alivyo muumba Adam bila wazazi, vile vile ameweza kumtengeza Issa bila baba tumboni kwa MaryamuAllah anauwezo wa kubebesha mimba , na kaweka wazi akitaka mke apiga machine malaika ua houris , kumbuka houris ata wewe utaenda kuwapiga pipe ukifika janah
- Anajihoji mwenyewe atakuwaje awe na mwana na hana mke? yani uwezo wake hawezi kuwa na mwana bila mke, yani angepata mke angekuwa na mwana kwa logic yake!
- Koran 6:101. .... Itakuwaje awe na mwana naye hakuwa na mke?
- Anajijibu kama angetaka mke basi angechukuwa wa jamii yake allah anatumia neno sisi, Hapa kuna cha kujiuliza Allah wako wangapi mpaka achukue jamii yake? anajijibu jamii yake ni malaika na houris wenye macho makubwa
- Koran 21:17 Tafsir al-Jalalayn Had We desired ... partner or a child We would have found it with Ourselves from among the beautiful-eyed houris or angels were We to do so
- Anajijibu mwenyewe kwamba kama angetaka kuwa na mwana basi angeteua amtakae
- Koran39:4. Lau kuwa Allah angeli taka kuwa na mwana, basi bila ya shaka angeli teua amtakaye katika alio waumba....
Nani ameshawahi kusema Allah ana mwana, kwahiyo muache mara moja kumuhusisha Mungu wetu na watoto,
Nilileta andiko la sahih bhukhari mbusu jiwe mwenzako akasema kitabu Cha sahih bhukhari ni uongo mtupu ,Vitu vingine vinachekesha sana, wewe umesema mwenyewe mohamad ana pizi hewani, ulipaswa kuleta andiko hata bila kuombwa , badala yake unaleta blah blah
Mkuu hii ni hadithi ya Al lulu Wal marjan.
[/Qåå
Nani ameshawahi kusema Allah ana mwana
Yeye mwenyewe kasema hana mwana maana hana mke , mara aseme akitaka mke anapiga pipe Malaika aua houris 😂🤣🤣😂
Hayo ni majibu aliyo kuwa anapewa Mohamad kuwajibu watu kama wewe wanao kaa na kusema Mungu ana mtoto wake wa pekee, ndio maana anawapa maelekezo muache kabisa kumuhusisha na vitu vya watoto, hao ni viumbe wake tu kama Paka au mbuziNani ameshawahi kusema Allah ana mwana
Yeye mwenyewe kasema hana mwana maana hana mke , mara aseme akitaka mke anapiga pipe Malaika aua houris 😂🤣🤣😂
Wewe jamaa una shida mambo ya mtu mwengine usiniambie mimi, majadilino ya mimi na wewe kwanini unaleta watu wengine? acha blah blahNilileta andiko la sahih bhukhari mbusu jiwe mwenzako akasema kitabu Cha sahih bhukhari ni uongo mtupu ,
Ndio maana sikuwekei andiko mpaka ukiri kukiamini kwanza , ili nikiliweka usiniletee bla bla
Nilileta andiko la sahih bhukhari mbusu jiwe mwenzako akasema kitabu Cha sahih bhukhari ni uongo mtupu ,
Ndio maana aikuwekei andiko mpaka ukiri kukiamini kwanza , ili nikiliweka usiniletee bla bla
Hivi kumbe wana dhambi ya asili? ahahaha hawa jamaa wanapenda kujiambukiza shida sanaaaPata dozi ya kutoa govi la ukafiri kichwani mwako
Mtazamo wa Uislamu Juu ya Dhambi Ya Asili
Uislamu inaichukulia imani ya dhambi ya asili na kifo cha Yesu kama inavyoaminiwa na Wakristo kama ifuatavyo:
1) Dhana ya Dhambi ya Asili
Imani ya ukristo juu ya dhambi ya asili haina nafasi yoyote katika Uislamu, kwani Waislamu wanaamini kwamba mwanadamu huzaliwa akiwa hana dhambi yoyote. Ndani ya Qur'an, Mwenyezi Mungu anasema:
"Uelekeze uso wako katika dini iliyokuwa sawa ambayo Allah amemuumbia mwanadamu, ambayo inawiana na maumbile ya mwanaadamu". (Qur'an 30.30)
Aya hii inatueleza kwamba Mwenyezi Mungu alimuumba mwanadamu katika umbile zuri kabisa, na akiwa ni twahir, asiyekuwa na dhambi lolote; na kwamba umbile lake lilikuwa linamwongoza kutii na kuinyenyekea sheria ya Mwenyezi Mungu.
1 Dhambi hairithiwi: ni kitu ambacho mwanaadamu hujiletea mwenyewe anapofanya jambo ambalo hakutakiwa kulifanya au anapoacha kufanya jambo ambalo alitakiwa kulifanya. Kusema kwamba kila mmoja wetu huja duniani anapozaliwa akiwa na mzigo wa dhambi iliyofanywa na babu yake wa nyuma kabisa huko itakuwa si chochote isipokuwa ni kukana sifa ya Mwenyezi Mungu ya Uadilifu na Rehema yake.
Ingawa Mwenyezi Mungu amempa mwanadamu uhuru wa kuchagua na kufanya mambo anayoyapata hapa duniani, mwanaadamu ni kiumbe mwenye mfumo maalumu na mwenye asili na uwezo maalum.
Mwanadamu atalipwa au kuadhibiwa kwa lile alilofanya yeye mwenyewe, si kwa lile lililofanywa na ndugu yake wa zamani huko.
Matendo yetu wenyewe ndiyo yatakayoangaliwa siku ya hukumu na katika muda wa uhai wetu, Mwenyezi Mungu hutupatia kila nafasi inayowezekana ili tuweze kufanikiwa na Mwenyezi Mungu si mwenye kutudhulumu, mwenye kututwisha mzigo wa dhambi ambazo hatukuzifanya.
Kwa hiyo ni sisi wenyewe ndio tutakaoitengeneza au kuiharibu hatima yetu hapa duniani na kesho huko akhera.
Hii ni kwa sababu Waislamu wanaamini kuwa Mwenyezi Mungu alimsamehe Adam, kosa lake la kutotii amri ya Mwenyezi Mungu.
"Kisha Iblis aliwatekelezesha (wakala tunda katika ule mti) katika Bustani, na akawatoa katika ile hali waliyokuwa nayo -- kisha Adam akafunuliwa kuwa anatakiwa atubu, alipotubu Mwenyezi Mungu alimsamehe, kwani Mwenyezi Mungu ni Mwingi kusamehe, Mwingi wa Rehema". (Qur'an 2:36-37)
Mwenyezi Mungu alimsamehe Adam, na vilevile alimuondolea aibu na alamu ya kutorehemewa ambayo wakristo wanadai kuwa inarithiwa na wanadamu wote tokea wakati huo wa Adamu mpaka leo na watakaondelea kuzaliwa.
Nilileta andiko la sahih bhukhari mbusu jiwe mwenzako akasema kitabu Cha sahih bhukhari ni uongo mtupu ,
Ndio maana sikuwekei andiko mpaka ukiri kukiamini kwanza , ili nikiliweka usiniletee bla bla
koloani copy & paste ya vitabu vya kale ww govi'na una kiarabu Gani?? [emoji101]
[emoji116][emoji116]
وَإِنَّهُ لَفِي زُبُرِ الْأَوَّلِينَ
[ ASH-SHUA'RAA - 196 ]
Na hakika bila ya shaka haya yamo katika Vitabu vya kale.
Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
Hivi kumbe wana dhambi ya asili? ahahaha hawa jamaa wanapenda kujiambukiza shida sanaaa
Allah hatumbuliki kwenye biblia , sasa alikuwa anajipendekeza ya Nini , Mungu anaetajwa kwenye biblia ana mwana sio AllahHayo ni majibu aliyo kuwa anapewa Mohamad kuwajibu watu kama wewe wanao kaa na kusema Mungu ana mtoto wake wa pekee, ndio maana anawapa maelekezo muache kabisa kumuhusisha na vitu vya watoto, hao ni viumbe wake tu kama Paka au mbuzi
Mkuu hii ni hadithi ya Al lulu Wal marjan.
Wewe imekuwaje unegoma katakata kukiri , kukiamini kitabu au la , unajua unachokifanyaWewe jamaa una shida mambo ya mtu mwengine usiniambie mimi, majadilino ya mimi na wewe kwanini unaleta watu wengine? acha blah blah
Wewe imekuwaje unegoma katakata kukiri , kukiamini kitabu au la , unajua unachokifanya
Kwani mimi ndio nimesema Mohamad ana pizi hewani !!!! Wewe uliesema ni wajibu wako kuthibitisha vinginevyo tutaamini unaleta maneno ya vijiweni hapa JFWewe imekuwaje unegoma katakata kukiri , kukiamini kitabu au la , unajua unachokifanya
Mohamad aliishi na watu wengi kwahiyo hao walio kuwa wanahoji walipewa majibu yao barabara kuwa hakuna cha mwana wa Mungu wa pekee wala mfano, wote hao ni viumbe tu kama viumbe wengineAllah hatumbuliki kwenye biblia , sasa alikuwa anajipendekeza ya Nini , Mungu anaetajwa kwenye biblia ana mwana sio Allah
Allah yeye mpaka tumpe mke apige pipe , kasema yeye hakuwa na mwana maana hana mke
Mtu kabisa anakaa anasema ana dhambi ya asili , hizi imani za ovyo kabisa kurithishama madhambi hata kwenye ukoo wangu hakunaHawa watu niliwawekea documentary ya haya yote ninayowaletea wakaniambia hawawezi kuangalia niwaandikie.
nawaandikia wanasema hiizi ni hadithi .
Ukafiri na chuki zimewajaa vifuani mwao lakini kazi yetu ni kuwafikishia ujumbe tu.
nawaendelee na viburi vyao
Kwa yeye Allah , sasa asijipendekeze kwa kwa Mungu wa kwenye biblia ni kwamba yeye Allah hatumbuliki kabisaMohamad aliishi na watu wengi kwahiyo hao walio kuwa wanahoji walipewa majibu yao barabara kuwa hakuna cha mwana wa Mungu wa pekee wala mfano, wote hao ni viumbe tu kama viumbe wengine