ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 11,016
- 9,722
Wewe ulitaka ushahidi nimekupa lazima tukubaliane kuwa kwa mujibu wa mashahidi wa Yehova, utatu mtakatifu ni jambo la mdomoni ambalo halina HOJA kimaandikoNimeandika huko juu hakuna andiko la utatu,una scrow tu???na ndio hoja yao.
Wapi wamesema Yesu ni Mungu hapo wewe jamaa ni mwehu, watu hata utatu hawautaki wewe unaleta habari za uungu wa YesuHawa wanaamini Yesu sio Mungu muweza wa yote,ni Mungu yupi???utatu mtakatifu ndio ulipozaliwa sasa.
Wewe ulitaka ushahidi nimekupa lazima tukubaliane kuwa kwa mujibu wa mashahidi wa Yehova, utatu mtakatifu ni jambo la mdomoni ambalo halina HOJA kimaandiko
View attachment 2641369
Wapi wamesema Yesu ni Mungu? ahaha wamesema hapo ni mwokozi na mwana wa Mungu wameweka NUKTA(.), unalazimisha jambo halipoMadai yako ya toka awali ulisema hawa hawaamini Yesu kuwa Mungu.
Hapa andiko linasema hawaamini kwamba Yesu ni MUNGU MUWEZA WA YOTE.
Wanaamini Yesu ni Mungu yupi??unajua sababu ya kusindikiza na maelezo ya utatu kwenye hayo maelezo waliyokuwekea???
Tuliza akili.
Wapi wamesema Yesu ni Mungu hapo wewe jamaa ni mwehu, watu hata utatu hawautaki wewe unaleta habari za uungu wa Yesu
Wapi wamesema Yesu ni Mungu? ahaha wamesema hapo ni mwokozi na mwana wa Mungu wameweka NUKTA(.), unalazimisha jambo halipo
Kwa mashahidi wa Yehova kule Yesu ni mwokozi Na mwana wa Mungu, HANA uungu wowote ndio maana hata utatu mtakatifu wameukataaa maana hapo ndio chimbuko la uzushiMwehu ni Allak na mtume wake muhamad.
Andiko limeandika hawaamini kwamba Yesu ni Mungu muweza wa yote,huoni hata kwanini wameweka na maelezo ya utatu chini yake???lakini kwa vile hauna andiko ndio shida yao.
Kwa mashahidi wa Yehova kule Yesu ni mwokozi Na mwana wa Mungu, HANA uungu wowote ndio maana hata utatu mtakatifu wameukataaa maana hapo ndio chimbuko la uzushi
Kwani utatu nimekataa mimi au mashahidi wa Yehova, wamandika kiswahili fasaha kabisaa , UTATU HAUNA HOJA ZA KIMAANDIKO ni mambo ya vijiweniMwokozi na mwana wa Mungu.
Halafu unakataa hawautaki utatu hawa.
Kajifunze utatu kwanza ndipo uje kuvumba hapa.
Eheee hapa tunajadili mashahidi wa Yehova Na wanacho amini mbona umechanganyikiwa halafu mapema sana, kwao Yesu ni mwana wa Mungu ila sio Mungu , vile vile utatu ni uzushi tuYesu ni mwana wa Mungu haya ndio madai ya utatu.
Mungu anakuwaje na mwana kiazi kama wewe mwehu!!!
Kwani utatu nimekataa mimi au mashahidi wa Yehova, wamandika kiswahili fasaha kabisaa , UTATU HAUNA HOJA ZA KIMAANDIKO ni mambo ya vijiweni
View attachment 2641372
Eheee hapa tunajadili mashahidi wa Yehova Na wanacho amini mbona umechanganyikiwa halafu mapema sana, kwao Yesu ni mwana wa Mungu ila sio Mungu , vile vile utatu ni uzushi tu
Mbona unaangaika ana amini Yesu sio Mungu muweza wa yote na utatu ni jambo ambalo halina uthibitisho wa kimaandiko, kakataa Uungu na utatu acha kujitoa akili weweShahidi wa Yehova anaamini Yesu sio Mungu muweza wa Yote,nikakwambia ndio msimamo wa wakrsto huo,unarukia utatu mtakatifu.
Wao kuukubali ama kutoukubali hakuufanyi kutokuwepo.
Mbona unaangaika ana amini Yesu sio Mungu muweza wa yote na utatu ni jambo ambalo halina uthibitisho wa kimaandiko, kakataa Uungu na utatu acha kujitoa akili wewe
1.Yesu ni mwana wa Mungu Na mwokoziAcha ufala sasa nikatae ndio unafutika ama unakuwa haupo[emoji28][emoji28].
Wewe kama umeshindwa kuelewa nenda kalale.
1.Yesu ni mwana wa Mungu Na mwokozi
2. Yesu sio Mungu muweza wa yote Na utatu mtakatifu ni maneno ya watu walio vimbiwa makande maana hakuna hoja yeyote kimaandiko
Huu ndio msimamo wa mashahidi wa Yehova walio swaaaaafiii kabisa, angalau hawa wanajimbua sanaaaa
Kwahiyo unafata mashahidi wa Yehova sasa hivi nikuongoze katika swala ya toba???
Au bado hujakubali kristo kuwa mwokozi wako bado???
Mungu awe na fudu lililozungukwa na minywele, likamatwe na binadamu, linyofolewe govi , avalishwe Pampers, atawazishwe mavi, acheze mdako na watoto wenzake
Hivi hii ni akili gani ??
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Spanner zikiendelezwa kwa Allah akbar[emoji23][emoji23][emoji23]
Spanner zikiendelezwa kwa Allah akbar[emoji23][emoji23][emoji23]