Mashahidi wa Yehova sio waislamu ni wakristo wenzako sasa wanakuwaje kama mimi? jamani msilazimishe watu imani za kipotofu , UTATU mtakatifu ni uzushi huu ndio msimamo wa mashahidi wa Yehova
Umeshindwa kuwafundisha mashahidi wa Yehova wana zaidi ya miaka 100 hapa duniani, ebu acha vichekesho
qadian nao wanasema Isa kafa!Wewe jamaa ni kichaa kumbe hawa mashahidi wa Yehova ni wahindu? wamekataa utatu mtakatifu unawalazimisha watu?
Hapa tunazungumzia madhehebu sio imani yangu dogo mbona umechanganyikiwa mapemaWewe unaamini Yesu ni Mungu,mwana wa Mungu ama nabii??
Achana Quran hawa mashahidi wa Yehova wanatumia biblia tena ile ya vitabu. 66 , wamejiridhisha utatu ni uzushiqadian nao wanasema Isa kafa!
Kwani Yesu kafa?? [emoji101][emoji101]
Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
Hapa tunazungumzia madhehebu sio imani yangu dogo mbona umechanganyikiwa mapema
Wako karibu vip wakati wanakuona wewe mzushi Na imani yako ya utatuNakomaa na mjinga mmoja wale wako karibu zaidi kwangu kuliko wewe.
Wewe uko mbali sana.
Achana Quran hawa mashahidi wa Yehova wanatumia biblia tena ile ya vitabu. 66 , wamejiridhisha utatu ni uzushi
Hapa tunajadili tofauti ya madhehebu sasa utanifundisha nini wakati ulikuwa ujui kuwa hata utatu ni uzushi kwa mashahidi wa Yehova, huna vigezo vya kuwa mwalimu umekaririJibu swali basi.
Mbona unaruka ruka??si unataka kufundishwa au unataka ubaki na upumbavu wako??
Wako karibu vip wakati wanakuona wewe mzushi Na imani yako ya utatu
Hapa tunajadili tofauti ya madhehebu sasa utanifundisha nini wakati ulikuwa ujui kuwa hata utatu ni uzushi kwa mashahidi wa Yehova, huna vigezo vya kuwa mwalimu umekariri
Tuna zungumzia mashahidi wa Yehova sio mimi mbona umekuwa mjinga hivyoWewe sasa unatumia nini vitabu 66 au msaafu huu hapa chini??
unasahau haraka hapa ni madhehebu sio mimi usipagaweWewe sasa unatumia nini vitabu 66 au msaafu huu hapa chini??
Sasa wewe shikilia ila usilazimishe kila mkristo hakubali kuwa kuna utatu huo ni uzushi kwq wengineWewe unaogopwa kusemwa mzushi au unashikiria ulicho nacho[emoji23][emoji23].
Sisi mbona tunaona Allah na Muhamad ni kyande na bado umekaza huko huko???
Tuna zungumzia mashahidi wa Yehova sio mimi mbona umekuwa mjinga hivyo
unasahau haraka hapa ni madhehebu sio mimi usipagawe
Huna unalo jua ndio maana ulitaka ushahidi ukijua sina , umekutana na panga la mashahidi wa Yehova sasa unaruka ruka tuSi kwamba nilikuwa sijui.
Mimi najua kuliko unavyojua wewe,shida ni kwamba ninachokuelewesha ni kikubwa kuliko akili yako.
Sasa wewe shikilia ila usilazimishe kila mkristo hakubali kuwa kuna utatu huo ni uzushi kwq wengine
Huna unalo jua ndio maana ulitaka ushahidi ukijua sina , umekutana na panga la mashahidi wa Yehova sasa unaruka ruka tu
Mimi kazi yangu ilikuwa kukuonyesha sio kila mkristo ana amini UUngu wa Yesu au nafsi tatu , elimu hii , siku nyingine kuwa na adabu ukijadiliana na walio kuzidiWewe ndio mjinga umekomaa na mashahidi wa jehova na haukubaliani nao!!!
Mimi nakubaliana nao bado hutaki.
Na wao wanakwambia ww Sio Muislamu!Mashahidi wa Yehova sio waislamu ni wakristo wenzako sasa wanakuwaje kama mimi? jamani msilazimishe watu imani za kipotofu , UTATU mtakatifu ni uzushi huu ndio msimamo wa mashahidi wa Yehova
Mimi nimekupa msimamo wa dhehebu husika, lipo zaidi ya miaka 100 , ebu acha maswali ya kitotoWewe sio shahidi wa yehova unajua nini kuhusu hilo andiko??
Hata nikikwambia ipi sababu ya kuwepo hilo dhehebu hujui.