Mimi kazi yangu ilikuwa kukuonyesha sio kila mkristo ana amini UUngu wa Yesu au nafsi tatu , elimu hii , siku nyingine kuwa na adabu ukijadiliana na walio kuzidi
Hawataki uungu wa Yesu wala nafsi tatu hao ni wakristo wenzako acha kuwewesekaNa wao wanakwambia ww Sio Muislamu!
Qadian Sio Wakristo ni waislamu wenzako!
Ili uwe Muislamu lazima upige shahada kama maqadian wafanyavyo....
Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
Maqadian want miaka mingapi????Umeshindwa kuwafundisha mashahidi wa Yehova wana zaidi ya miaka 100 hapa duniani, ebu acha vichekesho
Unaweza kuelewesha mashahidi wa Yehova? wameshindwa waalimu wako utaweza wewe acha wehuUmemzidi nani we kalio[emoji23][emoji23][emoji28]
Unabeba andiko unaelewesha unakaza komwe,haya kumbtia upumbavu wako ukulemaze.
Mimi nimekupa msimamo wa dhehebu husika, lipo zaidi ya miaka 100 , ebu acha maswali ya kitoto
umemia kwa makadiani , sisi waislamu tofauti tunazikubali, shida nyie kujitia ukichaa kujifanya hamna tofauti wakati watu hata utatu wana ukataa
Unaweza kuelewesha mashahidi wa Yehova? wameshindwa waalimu wako utaweza wewe acha wehu
Dogo hata Roman Catholic alikimbiwa baada ya watu kufahamu baadhi ya vitu kwahiyo miaka 200 sio tatizo, hapa jambo la msimgi wana miaka 100 wala hawakuanza jana , Utatu ni uzushi mtupu kwa mujibu wa mashahidi wa YehovaDhehebu lina miaka 100 tu,yapo yenye miaka 200 na sasa hilo RC ndio thrhebu mama na miaka zaidi ya 1900.tumia hata mgongo kufikiri kama kichwa imestack.
Ndio wanaelewa kuwa. HAKUNA utatu katika maandiko ni uzushi na Yesu wala sio Mungu , sasa hili kuna mtu haelewiMashahidi wa yehova wanaelewa walichokiabdika,wewe ndiye umebeba usichokielewa.
Na hata ukieleweshwa utakataa sababu una matatizo kichwani.
Dogo hata Roman Catholic alikimbiwa baada ya watu kufahamu baadhi ya vitu kwahiyo miaka 200 sio tatizo, hapa jambo la msimgi wana miaka 100 wala hawakuanza jana , Utatu ni uzushi mtupu kwa mujibu wa mashahidi wa Yehova
Sasa watokee mara ngapi wewe popoma , mashahidi wa Yehova hawakubali uunngu wa Yesu wala huu utatu wenu wa kizushi , unajizima dataWacha ujinga bana.
Nakwambia watokee watu wajiite wakristo na hawakubali uungu wa Yesu.
Utasikia balaa,wacha kuwasoma JW huku hujala.
Achana Biblia Takatifu hawa Qadian wanatumia Quran!Achana Quran hawa mashahidi wa Yehova wanatumia biblia tena ile ya vitabu. 66 , wamejiridhisha utatu ni uzushi
Ndio wanaelewa kuwa. HAKUNA utatu katika maandiko ni uzushi na Yesu wala sio Mungu , sasa hili kuna mtu haelewi
Sasa watokee mara ngapi wewe popoma , mashahidi wa Yehova hawakubali uunngu wa Yesu wala huu utatu wenu wa kizushi , unajizima data
Kama shababi tamka tamka tamka leo ili ufe kafiri TAMKA....[emoji35]
HUO ndio Wepesi iliufe kafiri kuliko hicho unacho post post...[emoji35]
[emoji116][emoji116]
Sema walahi bilahi wa Talahi! Mwenyezi Mungu Atakalo Hawezi!
Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
Jibu unaloulizwa
Kwani wapi alikuambia alitaka avuliwe suruwali , awe na fudu , waje viumbe vyake walivute govi na kulitoa , avishwe Pampers asijinyie surualini, acheze mdako na watoto wenzake?
Kijana umevurugwa , imani yangu sio mjadala wa hapa, tunajadili hapa madhehebu mashahidi wa Yehova imani yao Yesu sio Mungu na utatu mtakatifu ni uzushi tu , tukubaliane hapa acha kuangaikaWewe unaamini Yesu ni Mungu,mwana wa Mungu au nabii??
Sikia nikwambie kitu bwana mdogo.
Toka mchana nakwambia hakuna andiko kuhusu utatu,utatu uko kwenye biblia kupitia kazi za Mungu na matokeo yake.
Sasa huwezi elewa hii maana kichwa limited kama size ya memory ya 128mb.
Kijana umevurugwa , imani yangu sio mjadala wa hapa, tunajadili hapa madhehebu mashahidi wa Yehova imani yao Yesu sio Mungu na utatu mtakatifu ni uzushi tu , tukubaliane hapa acha kuangaika
Kama shababi tamka tamka tamka leo ili ufe kafiri TAMKA....[emoji35]Jibu unaloulizwa
Kwani wapi alikuambia alitaka avuliwe suruwali , awe na fudu , waje viumbe vyake walivute govi na kulitoa , avishwe Pampers asijinyie surualini, acheze mdako na watoto wenzake?