Kama shababi tamka tamka tamka leo ili ufe kafiri TAMKA....[emoji35]Jibu unaloulizwa
Kwani wapi alikuambia alitaka avuliwe suruwali , awe na fudu , waje viumbe vyake walivute govi na kulitoa , avishwe Pampers asijinyie surualini, acheze mdako na watoto wenzake?
Jadili madhehebu kijana mbona ndio tulicho kuwa tunajadili toka mwanzo acha kuwewesekaHakuna anayehangaika,imani yako ni ya muhimu sana katika mjadala huu.
Unajua imani za baadhi ya watu zimeathiri sana uwezo wa watu kufikiri.
Anyway kama unaogopa kutaja sio mbaya,pumzika.
Yesu ni kiumbe tu kilicho umbwa na Yehova acha kulazimisha ujinga wa utatu kwa mashahidi wa Yehova
Jadili madhehebu kijana mbona ndio tulicho kuwa tunajadili toka mwanzo acha kuweweseka
Sasa Yehova si ndio muumbaji wa kila kitu au hujui kuwa hata Yesu ni kiumbe tu kama weweYehova alimuumba Yesu lini na wapi??
Sasa Yehova si ndio muumbaji wa kila kitu au hujui kuwa hata Yesu ni kiumbe tu kama wewe
Kama shababi tamka tamka tamka leo ili ufe kafiri TAMKA....[emoji35]
HUO ndio Wepesi iliufe kafiri kuliko hicho unacho post post...[emoji35]
[emoji116][emoji116]
Sema walahi bilahi wa Talahi! Mwenyezi Mungu Atakalo Hawezi!
Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
Usikimbie mjadala hakuna alie uliza dhehebu lako hapa tunajadili misimamo ya kila dhehebu mbona umevurugwaNdio nimeuliza dhehebu lako,ama imani yako au huelewi kipi ni kipi??au nimeuliza size ya kiatu unachovaa[emoji38][emoji38][emoji38]
Unataka akuonyeshe wapi? Kwani alikuonyesha wapi aliumba malaika, umechanginyikiwa Yehova ndio Mungu muweza wa kila jambo sasa anashindwa kumuumba Yesu wakati ni kiumbe chakeMbona usijibu swali jepesi kabisa??alimuumba lini na wapi??
Usikimbie mjadala hakuna alie uliza dhehebu lako hapa tunajadili misimamo ya kila dhehebu mbona umevurugwa
Kwani wewe ukijadili uislamu unakuwa msuni? tulia unyooshwe kijana acha wenge, mashahidi wa Yehova wamekuvuruga sana , huu ndio ukweli Yesu anabaki kuwa mwokozi na mwana wa Mungu basi kwa mashahidi hakuna utatu maana ni UZUSHISijavurugwa useme umechanganyikiwa mpaka huelewi jibu utakalojibu litapelekea nini.
Kuna RC,JW,wasabato nk,weww lako ni lipi kati ya haya??au haupo kati ya hayo??
Utatu mtakatifu ni uzushi tu ndivyo mashahidi wa Yehova wanasema , wewe unasemaje?Achana Biblia Takatifu hawa Qadian wanatumia Quran!
Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
Unataka akuonyeshe wapi? Kwani alikuonyesha wapi aliumba malaika, umechanginyikiwa Yehova ndio Mungu muweza wa kila jambo sasa anashindwa kumuumba Yesu wakati ni kiumbe chake
Kwani wewe ukijadili uislamu unakuwa msuni? tulia unyooshwe kijana acha wenge, mashahidi wa Yehova wamekuvuruga sana , huu ndio ukweli Yesu anabaki kuwa mwokozi na mwana wa Mungu basi kwa mashahidi hakuna utatu maana ni UZUSHI
Acha bangi wakolosai imeeleza vizuri ni mtoto wa kwanza wa uumbaji acha ukichaa, au unafikiri watu hatujui maandiko , huyo kaumbwa tu , ndio maana mashahidi wa Yehova wamekataa utatu kwa akili mbovu kama zakoNdio sababu nikasema wewe kichwani umejaza maandazi.
John 8:58 alikuwa anazungumia kuwako wapi??
Wewe una amini kuwa utatu mtakatifu ni Uzushi?Mashahidi wa Yehova hawawezi nivuruga maana wanaamini ninachoamini.
Wewe na ujinga wako ndio umedanda teni na mini skirt ukidhania linakupeleka kijijini kwenu kwa mtume[emoji23][emoji23].
Acha bangi wakolosai imeeleza vizuri ni mtoto wa kwanza wa uumbaji acha ukichaa, au unafikiri watu hatujui maandiko , huyo kaumbwa tu , ndio maana mashahidi wa Yehova wamekataa utatu kwa akili mbovu kama zako
Wewe una amini kuwa utatu mtakatifu ni Uzushi?
BADO unaendelea kubishana na mashahidi wa Yehovah ?Mtoto wa kwanza wa uumbaji.
Nadhani pia imeeleza aliumbwa kwa kutumia nini sivyo??haya elezea.
Maana adamu alifinyangwa kwa udongo kama binaadam wa kwanza wakati huo Yesu akiwapo tayar.upo??
Nimekuulizwa swali wewe una amini utatu nini uzushi kama mashahidi wa Yehovah acha keleleSio tu naamini utatu ni practical kabisaa.
Kazi za Mungu zimefanyika ktk utatu.