Nimekuulizwa swali wewe una amini utatu nini uzushi kama mashahidi wa Yehovah acha kelele
BADO unaendelea kubishana na mashahidi wa Yehovah ?
View attachment 2641742
kiswahili ni lugha ya taifa sasa una muelesha nani kila jambo hapa liko wazi , kuchanganyikiwa kubaya sana, narudia HAKUNA MSINGI WA KIMAANDIKO UNAO THIBITISHA FUNDISHO UTATU , kwa herufi kubwa kuna mtu bado HAELEWINasisitiza.
Nakuelewesha wewe ambaye huelewi ulichokileta hapa.
JESUS WAS CREATED BY jEHOVAS , bado wewe na mashahidi wa Yehova mko pamoja?ahahahahahahaKipi ambacho hujaelewa hapo mpaka unasikia kelele na wakati tunaandika hapa[emoji23][emoji23][emoji23]
Bichwa lishachemka[emoji1787][emoji1787]
kiswahili ni lugha ya taifa sasa una muelesha nani kila jambo hapa liko wazi , kuchanganyikiwa kubaya sana, narudia HAKUNA MSINGI WA KIMAANDIKO UNAO THIBITISHA FUNDISHO UTATU , kwa herufi kubwa kuna mtu bado HAELEWI
View attachment 2641747
Mashahidi wa Yehova hawaitaji porojo zako kwao UTATU mtakatifu ni Uzushi, mbona wewe jamaa ni mwehu , watu hawataki utatu kwa kauli zao wewe unalazimisha wanataka wewe ni mwehuNdio maana nikasema wewe ni mpumbavu toka mwanzo.
Mimi nimesema kuna andiko!!!si toka mchana nakuelza hivyo kwamba maingi wa utatu uko katika kazi za Mungu na ufunuo wake si katika maandiko.
Bangi,njaa,punyeto,kuchungulia wazai.haya ndio matokeo yake.
JESUS WAS CREATED BY jEHOVAS , bado wewe na mashahidi wa Yehova mko pamoja?ahahahahahaha
View attachment 2641750
Mashahidi wa Yehova hawaitaji porojo zako kwao UTATU mtakatifu ni Uzushi, mbona wewe jamaa ni mwehu , watu hawataki utatu kwa kauli zao wewe unalazimisha wanataka wewe ni mwehu
Wewe jamaa ni mwehu unafikiri mpaka mashahidi wa Yehova wakaamini Yesu sio Mungu hayo maandiko hawayaoni? ahahaha kijana wamejiridhisha kuwa Yesu sio Mungu na utatu ni uzushi tuJohn 8:58
Hapa Yesu alikuwa anajizungumzia Yeye yupi??aliyezaliwa na mariam,au Mungu tunayemtaja sisi wakristo??
Ndio maana nikasema hii mada umeiparamia ila inakuzidi kimo mbali.
Mwenye hasira ana onekana sasa baba mzazi kafata nini hapa? Kwani mimi ndio nilisema Yehova kamuumba Yesu, tulia dawa ikuingie huu ndio msimamo wa mashahidi wa Yehova , HUNA cha kufanya dogo mashahidi wa Yehova wapo hapoMwehu baba ako mzazi.
Kukosa uwezo wa kuelewa jambo usiniletee hasira zako mimi[emoji28][emoji28].
Wewe jamaa ni mwehu unafikiri mpaka mashahidi wa Yehova wakaamini Yesu sio Mungu hayo maandiko hawayaoni? ahahaha kijana wamejiridhisha kuwa Yesu sio Mungu na utatu ni uzushi tu
Mwenye hasira ana onekana sasa baba mzazi kafata nini hapa? Kwani mimi ndio nilisema Yehova kamuumba Yesu, tulia dawa ikuingie huu ndio msimamo wa mashahidi wa Yehova , HUNA cha kufanya dogo mashahidi wa Yehova wapo hapo
View attachment 2641758
John 8:58
Hapa Yesu alikuwa anajizungumzia Yeye yupi??aliyezaliwa na mariam,au Mungu tunayemtaja sisi wakristo??
Ndio maana nikasema hii mada umeiparamia ila inakuzidi kimo mbali.
Mashahidi wa Yehova wamekuvuruga mpaka unaleta habari za wazazi aiseee , nenda kapumzike tu , utatu ni uzushi huna la kufanya, labda uwauwe masha woteMwehu baba yako mzazi.
Yesu ni Mwana wa Mungu,ambaye ni Mungu alishuka akaa nasisi tukauona utukufu wa Mungu,kama hutaki choo nikufunge bomu ukajilipue
Akili zenu ziko kwenye makalio yenu ?
Yaani Yohana 8 ;58 ni maneno kasema Nani hapo??
Akili nyengine mlizo nazo ndiyo hizi
Hivi mungu avuliwe suruwali , awe na fudu , waje viumbe vyake walivute govi na kulitoa , avishwe Pampers asijinyie surualini, acheze mdako na watoto wenzake?
Wakristo wenzako tu hawamtambui kama Mungu , ndio uje utuletee waislamu huo ujinga acha kuchanganyikiw, kiumbe cha Yehova huyoNa mama yako nitamuingiza,sababu wewe sio mjinga ni mpumbavu.
Yesu ni Mungu wa wote wewe na baba yako mzazi.
Mashahidi wa Yehova wamekuvuruga mpaka unaleta habari za wazazi aiseee , nenda kapumzike tu , utatu ni uzushi huna la kufanya, labda uwauwe masha wote
Basi ishi nayo tu kuwa kwa mujibu wa mashahidi wa Yehova OG, Yesu sio Mungu wala utatu mtakatifu HAUPO, tena marufuku kuwahusisha na hayo mambo narudia MARUFUKUSiwezi kuwaua wakristo wenzangu wale.
Hata wewe pia siwez kukuua ni dhambi.
Wakristo wenzako tu hawamtambui kama Mungu , ndio uje utuletee waislamu huo ujinga acha kuchanganyikiwq
Kuna ufala gani kama Mungu wako kutundikwa msalabani na watu alio waumba mwenyeweWaislam vilazaView attachment 2641766
Yaani mtu anayekuletea huu ufala unamsikiliza tena akikupa story nyingine[emoji23][emoji23].
Huyu jamaa aliwadharau sana.
Achana na mashahidi wa yehova wale sio waislam ni wakristo