Tuambie nyoka anae kula vumbi ameonekana wapi?
Bahati nzuri hata Biblia ya kiingereza imetumia neno EAT, sasa toka lini EAT ikawa kuburuzika?
View attachment 2642002


Nimekwambia tumia komwe kufikiri sio kubebea barghashia[emoji28][emoji28]

Andiko linasema pia naye nyoka amekuwa adui,atakuuma kisigino,hiyo ilikuwa laana,kwa kutambaa na tumbo atabugia vumbi.

Kama kawaida ram ndogo ushapagawa[emoji28][emoji28]
Huku Allah akiwa anamaanisha anachomwambia Mtume wake,1000% kapuyanga[emoji23][emoji23]
 
Umelogwa sio bure!
 

Attachments

  • VID-20230425-WA0020.mp4
    24.7 KB
Kama shababi tamka tamka tamka leo ili ufe kafiri TAMKA....[emoji35]
HUO ndio Wepesi iliufe kafiri kuliko hicho unacho post post...[emoji35]
[emoji116][emoji116]
Sema walahi bilahi wa Talahi! Mwenyezi Mungu Atakalo Hawezi na Ana mshauri!
 
Kula chuma ikooo.



Hata mungu wako pia ??

Akili zenu ziko kwenye makalio yenu ?
Yaani Yohana 8 ;58 ni maneno kasema Nani hapo??

Akili nyengine mlizo nazo ndiyo hizi

mungu avuliwe suruwali , awe na fudu lilozungukwa na minywele,waje viumbe vyake walivute govi na kulitoa , avishwe Pampers asijinyie surualini, acheze mdako na watoto wenzake?
Awe na dada , kaka, mjomba , shangazi , babu
 
Nimekwambia kuuma unakubali, ila linapo kuja suala la KULA MAVUMBI unajitoa akili, nimekwambia tuambie ni nyoka wa aina gani hapa duniani ANAKULA MAVUMBI?


Bwana Mungu akamwambia nyoka, Kwa sababu umeyafanya hayo, umelaaniwa wewe kuliko wanyama wote, na kuliko hayawani wote walioko mwituni; kwa tumbo utakwenda, na mavumbi utakula siku zote za maisha yako;

Mwanzo 3:14

Mbona kiswahili ndio kimetumika hapo ebu acha kuzunguka
 
Halafu nataka uniambie UPINDE (RAINBOW) kumbe Mungu wa Biblia alianza kuuweka wakati wa Nuhu, ebu tuambie hii ni sayansi ya wapi kuwa RAINBOW iliwekwa wakati wa Nuhu? Ahahahah ndio kwanza nimeanza


Mimi nauweka upinde wangu winguni, nao utakuwa ni ishara ya agano kati yangu na nchi.

Mwanzo 9:13
 

Shida yako mara zote nimekuwa nakwambia ni uwezo wako mdogo wa kufikiri.

Andiko linasema wazi kwa tumbo lako utatembea,nyoka anatembelea tumbo au magome???[emoji28][emoji28]

Mavumbi utakula,nyoka anakula vumbi??[emoji23][emoji23]

Nawe binaadam anyoka atakuuma kisigino,nyoka anauma kisigino peke yake[emoji23][emoji23]

Usitumie akili za daku,hapa ni laana alikuwa anapewa kuonyeshwa ni kwa namna gani anakwenda kupitia adha mbali mbali katika maisha yake sababu tu ya kosa alilofanya.
 

Hapa tatizo liko wapi??

Science inasema upinde unasababishwa na nini??

Bible inasema mara baada ya kwisha ghalika Mungu aliweka upinde wa mvua sio huo wa RGBTQ mnaoujua vijana wa sasa,kama ahadi kwamba hataleta ghalika tena.

So mbali na kwamba ni ahadi,lakini hata leo ukiuona upinde ujue hakuna hata mvua ya maana eneo hilo.
 
Hapa tatizo liko wapi??

Science inasema upinde unasababishwa na nini??
tunataka utuambie kabla ya Nuhu hakukuwa na sunlight na water droplet? Maana Yehova anasema ameweka upinde wake mbinguni wakati huu anaingia agano wakati wa Nuhu ahahahha
 
tunataka utuambie kabla ya Nuhu hakukuwa na sunlight na water droplet? Maana Yehova anasema ameweka upinde wake mbinguni wakati huu anaingia agano wakati wa Nuhu ahahahha

Wewe sasa kwa kupitia science utuambie kwamba kabla ya nuhu upinde ulikuwepo,si ni rahisi tu[emoji16][emoji16][emoji16]
Ingekuwa tatizo kama bible ingesema upinde wa mvua ni ukuta ya kuzuia shetani asiende mbinguni[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sisi bible imetwambia tukiona upinde ni ishara kwamba Mungu hata iharibu tena dunia kwa maji.
 
Sasa miongoni mwa laaana ni kula vumbi mbona unakimbia kimbia wewe, Tuambie ni nyoka aina gani anakula vumbi Na mimi nataka kumjua

Bwana Mungu akamwambia nyoka, Kwa sababu umeyafanya hayo, umelaaniwa wewe kuliko wanyama wote, na kuliko hayawani wote walioko mwituni; kwa tumbo utakwenda, na mavumbi UTAKULA siku zote za maisha yako;

Mwanzo 3:14

Nakwambia lazima utuambie nyoka anae kula VUMBI
KIINGEREZA ( EAT)
 
Sasa sunlight na water droplet zilianza wakati wa Nuhu? ahahahahah ni kwambie nini usiwe mjinga RAINBOW haijaanza wakati wa Nuhu ahahahahh, umedanganywa kilaza wewe
 

Endelea kuacha matako wazi[emoji28][emoji28]

Kila mtu anakushangaa,kwanini huelewi.


Utataka kusema adam alipoambiwa atakula kwa jasho,ilitakiwa awe anakula ugali kwa kutumia jasho kama mboga au kinywaji[emoji28][emoji28]

Stupidy.
 
Sasa sunlight na water droplet zilianza wakati wa Nuhu? ahahahahah ni kwambie nini usiwe mjinga RAINBOW haijaanza wakati wa Nuhu ahahahahh, umedanganywa kilaza wewe

Mjinga ni wewe na kilaza ni baba yako.

Hapa mbona hujatumia akili kabisa sasa auongo uko wapi[emoji23][emoji23]upinde kutoka kwa Mungu au upinde kutoka baada ya ghalika??
 
Mjinga ni wewe na kilaza ni baba yako.

Hapa mbona hujatumia akili kabisa sasa auongo uko wapi[emoji23][emoji23]upinde kutoka kwa Mungu au upinde kutoka baada ya ghalika??
Nakuuliza kabla ya Nuhu hao wanyama waliishi vip kama hakuna mwanga wa jua Na maji? Ahahaha eti Rainbow ilianza wakati wa Nuhu kilaza wewe , Rainbow ilianza siku ambayo viumbe hao viliqnza kuishi hii dunia maana ni lazima kulikuwa Na mwanga wa jua, maji, joto, mawingu , umedanyanywa kuwa eti rainbow ni agano wakati wa Nuhu bwege wewe
 

Bwege ni baba yako mzazi na mama yako.

Umekomaa kutukana hoja huna.

Swala la wanyama kuishi,hakuna mnyama anayetegemea upinde kuishi wewe kenge,sasa una uhusiano gani upinde na maisha ya viumbe kabla ya ghalika[emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…