Sisi tuna fahamu kuwa shape ya Allah haifanani chochote ndio maana ya “Other than they know” unataka tujue zaidi ya maandiko?
Allah ata awe kama pweza , amesema wazi ana shape , ana mguu ana mikono miwili upande wa kulia
 
Allah ata awe kama pweza , amesema wazi ana shape , ana mguu ana mikono miwili upande wa kulia
Sasa pweza si kiumbe tayari, umesha ambiwa hafanani na chochote mbona mgumu wa kiswahili
 
Allah haitaji usalama, usalama ni binadamu ambao wako hai wanatumia au kuwa karibu na maeneo hayo
Allah kasema yeye ndie anapiga watu na radi , imekuwaje binadamu wanamzuia ? hii ni wazi Allah ni muongo na wenyewe waarabu wameshaona wazuie radi baada ya kujua radi inavyotokea
 

Nijibu kitu gani na umenyofoa hadithi ili ulete ugovi wako wa ukafiri.

Hujasoma wewe wacha dharau na kiburi, otherwise usingaliandika kutumia akili ya govi hata huelewi unacho
 
Sasa pweza si kiumbe tayari, umesha ambiwa hafanani na chochote mbona mgumu wa kiswahili
Sawa ni creature asiye fanana na chochote ila ana mguu , mikono na ana shape isiyofanana
na atawajia na shape tofauti na mnayoijua

mliijulia wapi shape ya allah
 
Sawa ni creature asiye fanana na chochote ila ana mguu , mikono na ana shape isiyofanana
na atawajia na shape tofauti na mnayoijua

mliijulia wapi shape ya allah
Sasa akiwa na mguu si atafanana na binadamu? ukiona neno mguu au mkono kwa Allah ni lugha ya picha hafanani na yeyote, hivi ndivyo tunavyo jua shape ya Allah
 
kwani mbuzi hana miguu?
Sio mbuzi tu hata Punda, kwahiyo ukitaja miguu unataja viumbe wengi, Na sifa ya Allah hafanani kwa chochote na kiumbe yeyote, hivyo hizo ni lugha za picha tu sio viungo halisi
 
Sasa akiwa na mguu si atafanana na binadamu? ukiona neno mguu au mkono kwa Allah ni lugha ya picha hafanani na yeyote, hivi ndivyo tunavyo jua shape ya Allah
  • llah hapa anasema ametofautiana na shetani mikono ( shetani ana mikono miwili upande wa kushoto )
It was narrated from Abu Hurairah that the Prophet (ﷺ) said:
“Let one of you eat with his right hand and drink with his right hand, and take with his right hand and give with his right hand, for Satan eats with his left hand, drinks with his left hand, gives with his left hand and takes with his left hand.” Vol. 4, Book 29, Hadith 3266

  • Allah hapa anasema mikono yake miwili ipo kulia
It was narrated from 'Abdullah bin 'Amr bin Al-'As that:
The Prophet [SAW] said: "Those who are just and fair will be with Allah, Most High, on thrones of light, at the right hand of the Most Merciful, those who are just in their rulings and in their dealings with their families and those of whom they are in charge." Muhammad (one of the narrators) said in his Hadith: "And both of His hands are right hands."

  • Allah hapa anasema ana mguu mmoja
Narrated Anas:
The Prophet (ﷺ) said, "The people will be thrown into the (Hell) Fire and it will say: "Are there any more (to come)?' (50.30) till Allah puts His Foot over it and it will say, 'Qati! Qati! (Enough Enough!)'"Vol. 6, Book 60, Hadith 371


  • Allah ni mundi
Koran
68;42. Siku utakapo wekwa wazi mundi, na wataitwa kusujudu, lakini hawataweza,

  • Allah ni mfupi ,ananywele nyingi ila ametofautiana na dajjal macho( dajjal ana jicho moja allah ana macho zaidi)
Narrated Ubadah ibn as-Samit:
The Prophet (ﷺ) said: I have told you so much about the Dajjal (Antichrist) that I am afraid you may not understand. The Antichrist is short, hen-toed, woolly-haired, one-eyed, an eye-sightless, and neither protruding nor deep-seated. If you are confused about him, know that your Lord is not one-eyed.Sunan Abi Dawud 4320

  • Alla anajibaadilisha maumbo mbalimbali ( hapa tunaona waislamu watamkataa na umbile lake jipya)
...........Allah will come to them in a shape other than they know and will say, 'I am your Lord.' They will say, 'We seek refuge with Allah from you. .............
Sahih Bukhari Hadith No. 6573
 
Wewe kumbe huelewi sio anajibadilisha, hizo ni lugha za picha wewe ahahahhah Allah hafanani na kitu chochote , kwahiyo shape ya Allah hafanani na chochote na huu ndio ufahamu kuhusu shape hiyo , Sasa wewe ulitaka atumie lugha gani kuelewesha viumbe wake kama sio vile viungo wanavyo fanana navyo? Ibilisi (SHETANI) ameumbwa kwa MOTO sasa kuna moto wenye mkono? hii ni lugha ya picha kuwafundisha waumini namna ya kula chakula ,kuwa ulaji wa kutumia kushoto ni njia za shetani, unasafari ndefu kuelewa mambo haya kwa kweli


 

Attachments

  • 3114181A-BB96-4312-8EE5-C27B67183A70.jpeg
    112.4 KB · Views: 9
Wewe kumbe huelewi sio anajibadilisha, hizo ni lugha za picha wewe ahahahhah Allah hafanani na kitu chochote ,
Wapi nimesema allah anafanana na kitu ? hakuna lugha ya picha masheikh kibao wanakiri allah ana shape kama alivyosema yeye mwenyewe na wanakiri ana mikono ,

turudi kwenye mada nyingine hiyo nimeshamaliza
Kanini allah anajua snow au barafu zinatoka kwenye milima Iliyopo mbinguni?
Koran 24:43 And He sends down out of heaven mountains, wherein is hail,
 
Huyu Allah huyu atakuwa ni kiumbe cha kutisha sana.
a.k.a. Mundi.
 
Sasa umeshindwa kujadili maandiko unajadili ujenzi sasa? w
  • Kabla ya kuweka vizuizi , Muhammad alikuwa akisikia radi anasali
    • “O Allah, slay us not with your lightening and destroy us not with your punishment. But, preserve us before that.”Al-Adab Al-Mufrad 721
  • Badae mkaona ni ujinga mmeweka vizuizi
  • Kumbuka Muhammad alisema radi ni malaika,
    • "The Jews came to the Prophet (ﷺ) and said: 'O Abul-Qasim! Inform us about the thunder, what is it?' He said: 'An angel among the angels, who is responsible for the clouds. He has a piece of fire wherever that he drives the clouds wherever Allah wills.' They said: 'Then what is this noise we hear?' He said: 'It is him, striking the clouds when he drives them on, until it goes where it is ordered.' ...Jami` at-Tirmidhi 3117
 
Dini ya majini, mapepo na mashetani
 
Huyo Allah mbona naye ni shetani tu?
 
Ibilisi (SHETANI) ameumbwa kwa MOTO sasa kuna moto wenye mkono?
Ndugu zenu waislamu majini wameumbwa kwa moto pia na wanakula mavi na mifupa,

Jami` at-Tirmidhi 18
Abdullah bin Mas'ud narrated that :
Muhammad said: "Do not perform Istinja, with dung, nor with bones. For indeed it is provisions for your brothers among the Jinn."
 
Bado unaendelea kuonyesha hujaelewa kitu, hayo ni makatazo kuonyesha ubaya wa jambo kuchamba bila maji
 
Sasa haya maandiko yana uhusiano gani na kuweka vizuizi kwenye kaburi? Hakuna mahali popote kwenye hilo andiko kuwa kuna binadamu anakatazwa kuweka vizuizi vya radi, Mzee kama hauna cha kuuliza ni bora kunyamaza
 
1.HAKUNA sheikh anaeweza kukwambia Allah ana mikono na miguu, popote utakapo enda jibu ni moja hiyo ni lugha ya picha kwasababu hakuna mfanano wa Allah na viumbe wake kwa chochote kile, acha kuwalisha masheikh uelewa wako finyu wa maandiko

2. Sasa hii aya 24:43 ina shida gani hapo?


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…