Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 14,677
- 18,561
Jibu zuri sana Ustadh Mokiti,NAKUPA SWALI LA MUHIMU SANA UWEKE MAJIBU KWA UELEWA WAKO
JIBRIL alikuwa anavaa mwili wa kalbi (shoga) akaja kwa Muhammad
SWALI : Watu wangemuua kalbi wakati jibril yupo ndani yake wangekuwa wamemuuwa jibril au la ?
Jibu swala kwa jibu la ndio au Hapana usiweke maelezo zaidi
.................I did not know him more than any man among you. That was Jibril, peace be upon you, who came down in the form of Dihyah Al-Kalbi.'" Sunan an-Nasa'i 4991
Unajua taratibu za majadiliano ? ebu jibu swali Yesu alikufa au hakufa? halafu utauliza swali lako nitakufundisha acha kuruka ruka kama maharageNAKUPA SWALI LA MUHIMU SANA UWEKE MAJIBU KWA UELEWA WAKO
JIBRIL alikuwa anavaa mwili wa kalbi (shoga) akaja kwa Muhammad
SWALI : Watu wangemuua kalbi wakati jibril yupo ndani yake wangekuwa wamemuuwa jibril au la ?
Jibu swala kwa jibu la ndio au Hapana usiweke maelezo zaidi
.................I did not know him more than any man among you. That was Jibril, peace be upon you, who came down in the form of Dihyah Al-Kalbi.'" Sunan an-Nasa'i 4991
Mkristo mwenzako ndio kasema Yesu kafa kauliwa na wayahudi una mlazimisha wakati yeye ndio anajua hivyo ? wewe tulia, swali lako umelikimbiaMungu hafi wala hauliwi
Nani kakwambia kila anae rogwa anakwenda kwa Mganga kujua kuwa amerogwa? ebu jifunze kuuliza maswaliMuhamadi baada ya kurogwa alienda kwa mganga yupi kutibiwa na kujua kuwa amerogwa ,au na yeye alikuwa mshirikina ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mohamad kashindana na Yesu yupi? wakati kila mmoja alifanya kazi kwa wakati wake, Mohamad hakuchufua mtu yeyote, yaani biblia iandike Mungu wenu Yesu kapigwa makofi na kutemewa mate halafu lawama apewe Mohamad HAPANA mmejichafua wenyeweShida Muhammad alitaka kushindana na yesu na akaleta porojo nyingi za kijuaji eti mara kuluani imeshushwa na wakati waliandika wenyewe kwa mikono yao na wenzake
Yeye angekuja na sera ya kueneza dini tu kama uhindu, ubudha na dini zingine sio kuanza kuleta sera za issa kazaliwa chini ya mtende,mara aliuliwa mwingine na hakufa fulani ,yote ya nini hayo .
Ndo mana watu wakamshitumia mapema kuwa bwana mdi ana chuki binafsi .Dini yake aliyokuwa akiineza kwa upanga ilikuwa ngumu sana kukubalika kwa watu maana ni ya figusi mno na imekaa kimchongo sana.
Kaeneza makoro koro mengine mengi tu ya uongo kwa lengo la kuchafua walio mtangulia na walio itengeneza njia ya kumwelekea mwenyezi Mungu wa kweli kwa mapana zaidi.
Muhamadi ana makando kando mengi sana na kuluani yake,angejikita katika kufundisha dini yake kuliko kuchokonoa yasiyo mhusu na hali yake mwenyewe yanamshinda anaishia korogwa na wachawi wa hovyo hovyo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alisha kufa lakini , Mungu wangu mimi mauti hayawezi hata kujaribu kushindana nae ππππ wewe unakuwa na Mungu anauliwa na wakina NetanyauAlishinda mauti
Siwezi kuamini Mungu alie pigwa makofi na wahuni mimiMungu aliyeshinda mauti anaishi milele
Jibu hili swali utakuwa umejijibu swali lakoUnajua taratibu za majadiliano ? ebu jibu swali Yesu alikufa au hakufa? halafu utauliza swali lako nitakufundisha acha kuruka ruka kama maharage
Unajua uchawi alifundisha Allah ?Nani kakwambia kila anae rogwa anakwenda kwa Mganga kujua kuwa amerogwa? ebu jifunze kuuliza maswali
Soma maandiko utayaelewaSiwezi kuamini Mungu alie pigwa makofi na wahuni mimi
Alikuja kwa mfano ili tumtuate thus anaemfuata uyashinda mauti.Alisha kufa lakini , Mungu wangu mimi mauti hayawezi hata kujaribu kushindana nae ππππ wewe unakuwa na Mungu anauliwa na wakina Netanyau
Kupitia wale Majini wake wawili yaani Haluta na Maluta.Unajua uchawi alifundisha Allah ?
Musa alivyo mpiga vibaya mno Malaika wa kifo akamtoa jicho , jicho ni lugha ya picha au ?Allah hafanani kwa chochote na kiumbe yeyote, hivyo hizo ni lugha za picha tu sio viungo halisi
Tuonyeshe hiyo Torati, Zaburi, InjiliSisi tuna amini vitabu vilivyo pita kama Injili , taurati , Zaburi lakini hatuamini Mathayo mara Luka mara Yohana , hao ni watu walio kuwa wanaandika mambo yao, yaani unataka tuamini sijui waraka wa wakorintho wewe ebu acha utani
Allah Kazipoteza Zote.Tuonyeshe hiyo Torati, Zaburi, Injili
Waislamu wanadanganya watu, eti Yesu ndio lssa bin Mariam, lakini hawa ni watu wawili tofauti kabisa.
Yesu alizaliwa kwenye hori la ng'ombe na lssa bin Mariam yeye alizaliwa chini ya mtende.
Watu hawa wana tofauti nyingi sana, nawaomba ndugu waislam waache kumlinganisha Yesu na lssa.
Aiseee wewe jamaa kumbe ni zero kabisa wewe unaambiwa Allah hafanani na chochote kile ukiona unaambiwa mguu mara mkono kwa Allah jua hiyo ni lugha ya picha ,wewe unaleta habari ya Musa na malaika, sasa malaika ndio Allah? kama hauna cha kuandika ni vyema ukalala, suala la malaika kujibadilisha hiyo ni sifa ambayo Allah amewaumba nayo maana kuna muda lazima wakutane na wanadamu, hata Jibril alikuwa akijibadilisha ndio wameumbwa hivyo acha kuchanganya mambo wewe ahahahahaaMusa alivyo mpiga vibaya mno Malaika wa kifo akamtoa jicho , jicho ni lugha ya picha au ?
Imesimuliwa Abu Huraira:
Malaika wa mauti alitumwa kwa Musa na alipokwenda kwake, Musa alimpiga kofi kali, na kumwangusha moja la jicho lake. Malaika akarudi kwa Mola wake, akasema, "Ulinituma kwa mtumwa ambaye hataki kufa." Mwenyezi Mungu akarudisha jicho lake na akasema, "Rudi umwambie (yaani Musa) kuweka mkono wake juu ya mgongo wa ng'ombe, kwa kuwa ataruhusiwa kuishi kwa miaka kadhaa sawa na idadi ya nywele zinazokuja chini ya mkono wake (kwapa). . " (Basi malaika akamwendea, akamwambia vile vile).
Sahih al-Bukhari 1339
Ila story za waislamu π€£πππ€£π€£
Hakuna kwasasa zaidi ya masimulizi ila tuna amini kuwa ni vitabu ambavyo vilitumika na watu walio tutangulia kufundisha watu imani, lakini sio maandiko ya Marko, mara Mathayo mara luka mara waraka wa wakorintho hakuna kitu kama hikoTuonyeshe hiyo Torati, Zaburi, Injili
Ndio umeandika nini hapa?Alikuja kwa mfano ili tumtuate thus anaemfuata uyashinda mauti.
Maandiko yako wazi Mungu wako Yesu aliuwawa na wayahudi, na bahati nzuri yeye kama Mungu wako alikuwa hana option yeyote ya kuwaokoa watu alio waumba mwenyewe mpaka waje wampige makofi na kumtundika msalabani nonsense kabisaSoma maandiko utayaelewa