bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,343
- 25,329
Kaja Kwa maana ya maisha yetuMaandiko yako wazi Mungu wako Yesu aliuwawa na wayahudi, na bahati nzuri yeye kama Mungu wako alikuwa hana option yeyote ya kuwaokoa watu alio waumba mwenyewe mpaka waje wampige makofi na kumtundika msalabani nonsense kabisa
hakuwa na njia ya kuwaokoa watu alio waumba mwenyewe mpaka hao watu wampige makofi na kumtemea mate?ahahahahaKaja Kwa maana ya maisha yetu
Uungu wa Yesu uwachanganya sana wasio wakehakuwa na njia ya kuwaokoa watu alio waumba mwenyewe mpaka hao watu wampige makofi na kumtemea mate?ahahahaha
Hata wakristo wenzako Mashahidi wa Yehova wamegoma kutambua kuwa Yesu ni Mungu , ni imani ya ovyo sanaUungu wa Yesu uwachanganya sana wasio wake
Si maneno yetu bali maneno yake kuthibitisha uunga wakeHata wakristo wenzako Mashahidi wa Yehova wamegoma kutambua kuwa Yesu ni Mungu , ni imani ya ovyo sana
Tafsiri yako mbovu ndio tatizo lako yule sio Mungu muweza wa lolote lile , nenda kwa mashihidi wa Yehova watakufundisha na hiyo imani yako mbovu utaacha , nenda kajifunze huo ndio ushauri wangu hao mashahidi wa Yehova ni wakristo wenzakoSi maneno yetu bali maneno yake kuthibitisha uunga wake
Ilikuwaje allah akapoteza aliamua au alizidiwa na watu?Hakuna kwasasa zaidi ya masimulizi ila tuna amini kuwa ni vitabu ambavyo vilitumika na watu walio tutangulia kufundisha watu imani, lakini sio maandiko ya Marko, mara Mathayo mara luka mara waraka wa wakorintho hakuna kitu kama hiko
Zama zimeisha sasa hapoteze nini?Ilikuwaje allah akapoteza aliamua au alizidiwa na watu?
Kuna vitu unachanganya sana , vitabu vya ndani ya biblia havimtambui Allah hata kidogo, Allah alikuja kipindi cha Muhammad na kudai alikuwa na vitabu ila vilipoteaHakuna kwasasa zaidi ya masimulizi ila tuna amini kuwa ni vitabu ambavyo vilitumika na watu walio tutangulia kufundisha watu imani, lakini sio maandiko ya Marko, mara Mathayo mara luka mara waraka wa wakorintho hakuna kitu kama hiko
Inakuwaje hakuna ata mstari mmoja umebakia ? je mbali na koran kuna historia inasema vitabu vya allah viliwahi kuwepo?Zama zimeisha sasa hapoteze nini?
Ukristo ulinza lini na Imani yao kwa Yesu ilikuwaje?nenda kwa mashihidi wa Yehova watakufundisha na hiyo imani yako mbovu utaacha , nenda kajifunze huo ndio ushauri wangu hao mashahidi wa Yehova ni wakristo wenzako
Ukristo umekuwepo kabla ya uwepo wa hayo makanisa ya freemasonTafsiri yako mbovu ndio tatizo lako yule sio Mungu muweza wa lolote lile , nenda kwa mashihidi wa Yehova watakufundisha na hiyo imani yako mbovu utaacha , nenda kajifunze huo ndio ushauri wangu hao mashahidi wa Yehova ni wakristo wenzako
Nani amekwambia Allah anafana na chochote ? kuwa na miguu hakumfanyi hafanane na chochote ,Aiseee wewe jamaa kumbe ni zero kabisa wewe unaambiwa Allah hafanani na chochote kile ukiona unaambiwa mguu mara mkono kwa Allah jua hiyo ni lugha ya picha ,wewe unaleta habari ya Musa na malaika, sasa malaika ndio Allah? kama hauna cha kuandika ni vyema ukalala, suala la malaika kujibadilisha hiyo ni sifa ambayo Allah amewaumba nayo maana kuna muda lazima wakutane na wanadamu, hata Jibril alikuwa akijibadilisha ndio wameumbwa hivyo acha kuchanganya mambo wewe ahahahahaa
Mwanzilishi wa mashahidi ni member wa freemason hata kaburi lake lina muhuri wa freemason hata kesho.Ukristo ulinza lini na Imani yao kwa Yesu ilikuwaje?
Mashahidi wa Jehova wameanza lini ?
Jamaa ni mjinga , hajui ukristo ulivyo anza na imani ya ukristo juu ya Yesu , anafananisha na cult zilizo kuja juziUkristo umekuwepo kabla ya uwepo wa hayo makanisa ya freemason
Wewe binadamu ukienda kwa Allah utapiga mbupu hourisAiseee wewe jamaa kumbe ni zero kabisa wewe unaambiwa Allah hafanani na chochote kile ukiona unaambiwa mguu mara mkono kwa Allah jua hiyo ni lugha ya picha ,
Injili iko wapi niisome?Sisi tuna amini vitabu vilivyo pita kama Injili , taurati , Zaburi lakini hatuamini Mathayo mara Luka mara Yohana , hao ni watu walio kuwa wanaandika mambo yao, yaani unataka tuamini sijui waraka wa wakorintho wewe ebu acha utani
Hayo masimulizi tunayatoa wapi?Hakuna kwasasa zaidi ya masimulizi ila tuna amini kuwa ni vitabu ambavyo vilitumika na watu walio tutangulia kufundisha watu imani, lakini sio maandiko ya Marko, mara Mathayo mara luka mara waraka wa wakorintho hakuna kitu kama hiko