Hata wakristo wenzako Mashahidi wa Yehova wamegoma kutambua kuwa Yesu ni Mungu , ni imani ya ovyo sana
Hata Mayahudi na Wakristu waligoma kukubali zile hekaya za mabikra 72 yaani walikuwa wanacheka sana vistori vya jamaa
 
 
Hata Mayahudi na Wakristu waligoma kukubali zile hekaya za mabikra 72 yaani walikuwa wanacheka sana vistori vya jamaa
Hao ni dini tofauti na waislamu, ila Mashahidi wa Yehova ni wakristo hao , kwahiyo wanapo kataa kuwa Yesu sio Mungu wala utatu mtakatifu sio jambo la kimaandiko inavutia zaidi maana hao wote ni wakristo , pita kwa wakristo wenzako mashahidi wa Yehova waka kuelekeze kwanini Yesu hana vigezo vya kuwa Mungu
 
Ebu kasome tena hiyo aya halafu uje hapa , mbona iko wazi , nani kakwambia Allah anapiga mbupu hapo? “KAMA tungeli taka” kwahiyo unakuwa ushapiga mbupu ebu tulia mzee naona umechoka
 
Nani amekwambia Allah anafana na chochote ? kuwa na miguu hakumfanyi hafanane na chochote ,

Musa kampiga malaika ma kamtoa jicho hakuna lugha ya picha ni jico kamtoa ata kama halifanani na chochote
Akiwa na mguu maana yake anafanana na wenye miguu , hata wewe ukifanana na baba yako pua watu watakwambia jamaa kafanana na baba yake pua, Allah hafanani na chochote hana mguu wala mkono, hizo ni lugha za picha tu
 
Kuna vitu unachanganya sana , vitabu vya ndani ya biblia havimtambui Allah hata kidogo, Allah alikuja kipindi cha Muhammad na kudai alikuwa na vitabu ila vilipotea

ishia Allah alipoteza vitabu basi
Sasa anapotezaje vitabu ambavyo havina kazi? sio zama zake hizi kwahiyo havina kazi ndio maana ameleta Quran
 
Mwanzilishi wa mashahidi ni member wa freemason hata kaburi lake lina muhuri wa freemason hata kesho.
Ukristo umekuwepo toka miaka elf 2 iliyopita.
Acha propaganda unaweza kuthibitisha mwanzilishi wa Mashahidi wa Yehova ni freemason?
 
1.Watu gani wange muua Jibril ? hakuna binadamu wa kumuua Jibril , acha kupiga ramli mambo ambayo hayapo , unaleta mfano mfu hapa , Jibril hata angekuwa kwenye umbo la paka hakuna binadamu ambaye ange thubutu kumuua kwahiyo uliza vitu vya maana , hiyo imani yako ya Mungu wako kufa usituletee hapa katika Uislamu

2.Unaweza kuthibitisha kuwa Kalbi alikuwa shoga?
 
Ukristo ulinza lini na Imani yao kwa Yesu ilikuwaje?
Mashahidi wa Jehova wameanza lini ?
Mashahidi wa Yehova ni dhehebu kama Roman Catholic , suala la kuanza lini halina mashiko maana yote yameanzishwa na watu ambao wanaamini katika Biblia, jina “ Wakristo “ kwa mara ya kwanza lilianza kutumika Antiokia sio Vatican
 
Wewe jama lete uthibitisho kuwa mwanzilishi wa mashahidi wa Yehova ni freemason ?usiniambie maswala ya kaburi kwani yeye alijizika pale
Utawekewa vipi muhuri wa freemason Kama wewe sio mwanachama.
Hata kaburi la yule msanii bongo Lina muhuri wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…