Utawekewa vipi muhuri wa freemason Kama wewe sio mwanachama.
Hata kaburi la yule msanii bongo Lina muhuri wao
Kwahiyo huo muhuri ameweka yeye akiwa kafa? halafu nani kakwambia huo muhuri ni mali ya freemason?
 
Muda wa injili umepita kwahiyo haina kazi kwa zama hizi , soma Quran humo utapata habari mbali mbali za mambo ya kale na nyakati hizi
Ooooh maskini hiyo yenye aya za sheitwan.Nataka kutafuta rejea kwenye injili ya Issa
 
Mashahidi wa Yehova ni dhehebu kama Roman Catholic , suala la kuanza lini halina mashiko maana yote yameanzishwa na watu ambao wanaamini katika Biblia, jina “ Wakristo “ kwa mara ya kwanza lilianza kutumika Antiokia sio Vatican
Awaamini Uungu wa Yesu,awaamini utatu Mtakatifu,awaamini ufufuo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…